HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hata ninyi navyo ilichukua kama mwezi hivi kuitwa.

Wasomi wa Cuba tupo pamoja?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Chagua moja kati ya haya mawili.

1. Uitwe mapema ukalie na njaa?
2. Uchelewe kuitwa ukachekeleee Dimbwi la Asali?

They are cooking something delicious!
Mkuu naona "asali effect" haidanganyi, tunatupia tu comment kwa lugha mbili,.🤪
 
-sasa wale wengine si kihere here Chao Cha kufaulu 🤣
 
Kitu ninachokipenda humu hata ukikosa placement utapewa matumaini kuwa wewe upo kwenye database any time unaweza pata tengo alafu wanakwambia unaweza pata sehemu yoyote ile utakayo fit ata kama mara ya kwanza haukufanya interview yake na kiingne wanakwambia unaweza pata asali tamu kuliko ile uliyoitaka,

Yaan hata ukiwa na status imeeandkiwa NOT SELECTED for.... after Oral watakufariji kuwa Status after oral haina maana

Sasa mm nitoke Jf niendeee wapiii, humu kunafaraja kama vile kanisani au msikitini napenda sanaaa...
 
Hahaha humu kuna watu wengi wanafarijika japo 98 ya wadau wa huu uzi sio wachangiaji ila kila comment ina views wengi tu .

Wacha tuishi kwa matumaini japo kiza ni kizito

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Sawa tatzo ni kwamba wangejumuisha watu waliokua kazindata hao waliofeli pia wangelaumu wameweka watu wao Ata mwaka Jana ilikua hvo hvo post ya system administrator waliitwa wachache pdf ya kwanza iliokuja Mara ya pili ikachua wote walokua database
Kwa taasisi gani?
 
Mkuu naona "asali effect" haidanganyi, tunatupia tu comment kwa lugha mbili,.[emoji2957]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nipo pamoja na Wasomi wa Cuba kabisa
 
Ahsante kwa kutambua hilo mkuu.

Kuna mtu namfahamu, alifanya sahili ya NHC, akaja akapata RUWASA kupitia database
 
Kesho wadau naona kama harufu ya asali, wiki nzima hii ya kesho mapidiefu ya asali natumai yatatolewa.

Hemu tusaidiane kuorodhesha taasisi zote tulizofanya usaili ambazo tayari zishapitiwa na mwezi au zaidi ya mwezi tokea tufanye oral naanza 👇

#CPB
#TAEC
#NEMC
#TPDC
#OUT
#MoF
#MWAUWASA
#RUWASA
#
#
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…