HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Ungesahau zingine ila sio RUWASA[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Usiiangalie kwa taasisi nyeti wanayoenda kufanyia kazi. Look it in another angle kuwa hawa raia walifaulu usaili kwa kupata pass mark. ila tu hawakuajiriwa kwa vile kuna wenzao walifaulu zaidi yao.

Kwa vile kuna taasisi nyingine inataka kuajiri na kuna watu wamefaulu wako database...kwa nini uitishe usaili mpya? Ni fair kuwachukua wale waliofikisha pass mark na kuingia kanzi data.

Na pia hakuna upendeleo wowote kwani hizo taasisi za serikali haziombi kibali cha kuajiri kwa wakati mmoja...kila moja huomba kuajiri kulingana na uhitaji na ratiba yao.
 
hvii mkuu,NPS status ilisomaje baada ya placement na baada ya kuchomoka kwenye database majuzi?
 
Kama hazina kazi kwanini after oral unapigwa not selected for null ya red
Mkeka ukitoka ndoige umekandwa
Wewe Kuna unachokijua? Graduate wote wameshindwa kujua maneno ya kiingereza cha kawaida....
 
Wakuu nina swali kdg hapa..

Kuna jamaa tulipiga nae Interview yeye alipiga ya TAA as Security officer. Hakupata nafasi ya placement ila kuna kila dalili yumo ktk Database.

Sasa swali langu ni hili.

1- Taasisi zipi zenye kada ya Security officer.
2- Je anaweza pangiwa kazi bila kuzingatia kada aliyoingia nayo Oral?

Nawasilisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…