Taaluma ndio inayoangaliwa jinsi inavyofit kwenye nafasi mbalimbali za kaziWakuu nina swali kdg hapa..
Kuna jamaa tulipiga nae Interview yeye alipiga ya TAA as Security officer. Hakupata nafasi ya placement ila kuna kila dalili yumo ktk Database.
Sasa swali langu ni hili.
1- Taasisi zipi zenye kada ya Security officer.
2- Je anaweza pangiwa kazi bila kuzingatia kada aliyoingia nayo Oral?
Nawasilisha.
Ok nimekupata.Taaluma ndio inayoangaliwa jinsi inavyofit kwenye nafasi mbalimbali za kazi
taasisi zwnye security officer kuna KADCO, TPA zipo kibao tu me najua baadhiWakuu nina swali kdg hapa..
Kuna jamaa tulipiga nae Interview yeye alipiga ya TAA as Security officer. Hakupata nafasi ya placement ila kuna kila dalili yumo ktk Database.
Sasa swali langu ni hili.
1- Taasisi zipi zenye kada ya Security officer.
2- Je anaweza pangiwa kazi bila kuzingatia kada aliyoingia nayo Oral?
Nawasilisha.
Hapa umemaanisha nn mkuu?Wewe Kuna unachokijua? Graduate wote wameshindwa kujua maneno ya kiingereza cha kawaida....
Halafu hizi taarifa za rafiki, rafiki,.. Natumai wamekupa mwongozo.Wakuu nina swali kdg hapa..
Kuna jamaa tulipiga nae Interview yeye alipiga ya TAA as Security officer. Hakupata nafasi ya placement ila kuna kila dalili yumo ktk Database.
Sasa swali langu ni hili.
1- Taasisi zipi zenye kada ya Security officer.
2- Je anaweza pangiwa kazi bila kuzingatia kada aliyoingia nayo Oral?
Nawasilisha.
Anamanisha kuwa pamoj n degree zetu tumeshindwa kujua maneno ya status ya kingereza cha kawaida🤣🤣🤣🤣🤣🤣.Hapa umemaanisha nn mkuu?
Amewatusi "hao graduate" kama amemaanisha hivo, any way, niko namsubiri hapa atoe ufafanuzi.Anamanisha kuwa pamoj n degree zetu tumeshindwa kujua maneno ya status ya kingereza cha kawaida🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
Mm ndo nimeelewa ivooo.z
🤣🤣🤣🤣 ata mm naomba niwe nilimwelewa vibaya, pale kwenye """ graduates wote"" pana sikitisha sana.Amewatusi "hao graduate" kama amemaanisha hivo, any way, niko namsubiri hapa atoe
Uzuri jamaa ni mkongwe katika uzi huu, atakuja hapa bila shaka kwa ufafanuzi, iwe kwa lugha ya kigeni au hii hii tutamuelewa.🤣🤣🤣🤣 ata mm naomba niwe nilimwelewa vibaya, pale kwenye """ graduates wote"" pana sikitisha sana.
Inaezekana mkuu, lakini tuwe wapolemkeka wa database bdo siku mbili, je usipo toka tutafanyaje, ama mhagama atakua kalidanganya bunge??
Kuna taasisi na halmashauri hazipo hapo, subiri pdf zianze kutoka ndo utaamini kuna nyingine ulizisahau. Utumishi wao ndo wanarecord yake.Kesho wadau naona kama harufu ya asali, wiki nzima hii ya kesho mapidiefu ya asali natumai yatatolewa.
Hemu tusaidiane kuorodhesha taasisi zote tulizofanya usaili ambazo tayari zishapitiwa na mwezi au zaidi ya mwezi tokea tufanye oral naanza [emoji116]
#CPB
#TAEC
#NEMC
#TPDC
#OUT
#MoF
#MWAUWASA
#RUWASA
#
#
TANESCO na TRA piataasisi zwnye security officer kuna KADCO, TPA zipo kibao tu me najua baadhi
Yap, upo sahihiAnamanisha kuwa pamoj n degree zetu tumeshindwa kujua maneno ya status ya kingereza cha kawaida🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
Mm ndo nimeelewa ivooo.z
kivip mkuuNaona saivi ni upepo wa database ss
Sijatukana bali nilitaka kumaanisha kua status hazina maana ya moja kwa moja, ndiyo maana graduates wote hawana jibu moja kwa maneno ya kiingereza cha kawaidaUzuri jamaa ni mkongwe katika uzi huu, atakuja hapa bila shaka kwa ufafanuzi, iwe kwa lugha ya kigeni au hii hii tutamuelewa.
Kbsa mkuu now wale second chance tunasbria mzigo wa database ssNaona saivi ni upepo wa database ss
Sasa sio graduates wote hawan majibu, ndomana mm n muumini wa status, nazielewa, usitumie neno "" graduates wote""" apo unatukosea wengine.Yap, upo sahihi
Naona leo dalili ya placement hakuna tusubir kesho funga mwez wako kwenye maandaliz ya kupokea uongozi mpyaSijawahi kuona TRA wamechukua watu wa data base. Nakumbuka 2019 baada ya kuajiri waliita tena watu wengine kazinj ambapo waliita majina ya nyongeza