HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Wakuu kwema humu..?
mazaga one na wengine wote mnasubiria placements na hata Wala wanasikilizia bahati zao kwenye database nawatakia Kila la kheri.
Binafsi Nashukuru Leo nishachukuwa barua mapema ofisi za PSRS.

Mungu awasaidie Nanyi muingie kwenye mirija ya asali
 
Ahsante sana kaka ukawe mtumishi mwema uko uendako ukikutana na vijana wanaojitolea ofisini kwako wapende wabebe usiwaone wazembe wape moyo yale maneno ya kajiajiri msiwaambie

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Hongera sana, Mungu akuongoze kwa kila hatua unayoiendea
 
Mapema sana hahaa!
 
Kumbe ndo ww...
Mm ndo nmekusainisha barua yako[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mungu ni mwema,tuko salama kaka.Tunazidi kusubiri na kuomba Mungu abariki kwenye Placements tunazosubiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…