HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hata hujatupitia hapa utusabahi mkuu.

Kila la kheri kwenye hatua inayofuata
 


Kila dalili??

Hebu share tujue ni dalili gani kuwa yuko kwenye kanzidata?
 
Kuna hatiahati ya wanaochukuwa barua wakachukua leo kwa asilimia kubwa na wakabakia wachache kwa siku zinazofuata,,,Mzee wa flash kaa mkao wa kulishusha jingine paipoe masijala ya wazi
 
Kila dalili??

Hebu share tujue ni dalili gani kuwa yuko kwenye kanzidata?
Hapoo ndipo kipengelee...

But mm kwa uelewa wangu mdogo dalili za kuwa database,

Status yako lazima ipitie mabadiliko sawa na wenzio waliopata placement katika kada yako,
Mfano.. Kama una mdau kapata placement na mlipiga nae oral moja hebu muulize Status yake ilipitia mabadiliko gani then fananisha na yako kama zimefanana mpk Leo Relax subiri chochote kituu kutoka database.

Huo n mtazamo wanguu
 
Serikalini kwa ngazi ya degree hakuna mshahara chini ya LAKI 7 mkuu. Hakuna graduate anaelipwa chini ya laki 7 iwe halmshauri/wizara/mashirika.
Hiyo sio serikali mkuu ni shirika nimefanya kazi hapo mimi hivi navokwambia usiongee kutumia uzoefu wa degree na malipo.

Kingine wana tangaza nafasi zao may be kwa kigezo cha diploma, O level na kigezo cha computer skills.

Nilikuwa napata mshahara mmoja na watu wa cheti na diploma.wakati nina bachelor.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…