HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Written wa kwanza alipata ngapi mkuu.
 
Namimi nimetoboa Taec , Mungu mkubwa , nimeona aiseee ,Dah ! Nimetoboaaaa Utumishi ,
Hahaaaa nimetoboa kwenye ndoto lakini , ,[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji85][emoji85] heheeee
Hongera ukawe mtumishi mwema
 
Pole mkuu kuna watu wanakosaga sehemu walizoomba sio kwamba wamekosa ila wanakuwaga tayari washapangiwa sehumu nyingine bila hata wao kujua mpka siku waone majina yao.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Next time is our time, turudi tukiwa imara zaid.
 
Subiri keka la database 1700+ linakuja mkuu
 
Wakati wa Mungu ni wakati sahihi usikate tamaa amka omba Mungu kila kitu kitakuwa sawa wakati wako hupo na utafika tu
 
Probably kuna mwenzako kajibu vzr zaidi ndo kapewa shavu...next time mkuu ur chance is comming
 
Kuna kila aina ya dalili mkeka wa pili kuanguka jion au usiku, jiandaeni kisaikologia🤔🤔🤔🤔🤔🤔.
sawa kiongozi mtupatie pia na updates za pdf gani la ajira linanukia kutangazwa pia watu mpo vizuri sana kwenye upande wa prediction kwa nyie ma legend humu
 
Labda kuna walio fahuru zaidi yako usikate tamaa ndugu yangu wakati wako hupo one day yes
Ndomana nilimuuliza wa kwanza kapata ngapi ila nilkosea badala ya kumuuliza prac nikauliza written,na nafas zilikua ngapi na wawo ratio yao ilikaje, huenda alifaulu but competition ni kubwa, anaonekana yupo vizur asikate tamaa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…