plumber hydrogen
JF-Expert Member
- Feb 17, 2022
- 913
- 1,591
Kikubwa asikate tamaa one day yesNdomana nilimuuliza wa kwanza kapata ngapi ila nilkosea badala ya kumuuliza prac nikauliza written,na nafas zilikua ngapi na wawo ratio yao ilikaje, huenda alifaulu but competition ni kubwa, anaonekana yupo vizur asikate tamaa tu.
Nilikuwa natuma kwa njia ya email, hii nimeomba kwa portal yaoDuh hatari uliomba kwa njia gani mkuu?
Na hizo za nyuma ulikua ukiomba kwa njia gani?
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Kukata tamaa ni kosa kubwa sana, relax mkuu.Mrejesho
Jamani nimekosa nafasi kwenye mkeka uliotoka leo.
status kwenye web na app; selected for oral interview.
nakumbuka written nilipata 80+, prac 75+ , oral nilijibu maswali yote kwa usahihi tena yale ya taaluma sikuacha ata point.
Nimekandwa, labda ntaponea kwenye mkeka wa database.
nimekata tamaa kufanya interview za utumishi.
Daaaaa kweli majeshi hayakua riziki yako mkuuNamimi nimetoboa Taec , Mungu mkubwa , nimeona aiseee ,Dah ! Nimetoboaaaa Utumishi ,
Hahaaaa nimetoboa kwenye ndoto lakini , ,😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃🙈🙈 heheeee
ifeel ure painnime give up.. sintofanya tena. aiwezekani nifaulu vile alafu nikose nafasi
goodbye Sekretarieti ya Ajira
Ipo shida mahaliNamimi nimetoboa Taec , Mungu mkubwa , nimeona aiseee ,Dah ! Nimetoboaaaa Utumishi ,
Hahaaaa nimetoboa kwenye ndoto lakini , ,[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji85][emoji85] heheeee
nime give up.. sintofanya tena. aiwezekani nifaulu vile alafu nikose nafasi
goodbye Sekretarieti ya Ajira
Kuna watu wana miaka mingi hawajapata ajira hawakati tamaa,vumiliakukosa ajira kusikie tu kwa mtu anavosimulia, nimehitimu juzi juzi tu lakini unaweza niona mstaafu kwa jinsi nilivopauka na jua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ipo shida mahali
nikiona Mfwende nakumbuka tu kale sentensi" Mfwende rudi nyumbani mwanangu" na hilo jina la Mfwende ahahahaahahkukosa ajira kusikie tu kwa mtu anavosimulia, nimehitimu juzi juzi tu lakini unaweza niona mstaafu kwa jinsi nilivopauka na jua
Huu mwaka ni wetu mkuu lazima tubwie asali ,afe ng'ombe afe mmasai asali lazima ilambwe mzee ,Hongera ukawe mtumishi mwema
Mfwende umehitimu juzi juzi tu kama wewe unavyosema una maumivu ya aina hiyo kuna watu wamehitimu 2014/2015 unadhani wana maumivu kiasi gani ?kukosa ajira kusikie tu kwa mtu anavosimulia, nimehitimu juzi juzi tu lakini unaweza niona mstaafu kwa jinsi nilivopauka na jua
Usiogope mkuu, hakuna namna nikusubiria matokeo kuvuna umevuna nini? Maana bila ya hivyo utaendelea kuwakiwa na jua la kitaa.Wengine tukiskia tu kapdf tumbo joto, owh tutafika tumechoka sana[emoji28]
Nahisi itagusa kada nyingi.....Wadau naomba kuuliza hiyo database inayozungumziwa italenga hasa kada gan je ICT itakuwepo? Mbn mm naona watu wa kilimo ndo wanakupa shavu?
[emoji4][emoji4], unajipa moyo mkuuuNipo mkuu, nilikua napitia comment zenu nikitokea nje. Mwezi huu pdf zimeshuka sana. Usithubutu kukutwa na bwana pepsi, yaani pdf lishuke, jina lisiwepo.
Usikate tamaa mkuu, jipe moyo.Mrejesho
Jamani nimekosa nafasi kwenye mkeka uliotoka leo.
status kwenye web na app; selected for oral interview.
nakumbuka written nilipata 80+, prac 75+ , oral nilijibu maswali yote kwa usahihi tena yale ya taaluma sikuacha ata point.
Nimekandwa, labda ntaponea kwenye mkeka wa database.
nimekata tamaa kufanya interview za utumishi.