HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], kaka sisi tulioongoza oral unajua tunajisikiaje now.
[emoji23][emoji23][emoji23] tuliobahatika kuingia Kweny oral kuna kupa experience aisee [emoji23][emoji23]
Mfn.. unaulizwa swali linataka point 5 haliitaji kiingereza kingi ni just mention n go ,lkn unajikuta unajua point moja nyingine hola unafikiri UTATOBOA kwa kiingereza Cha kudanganya majibu hapo ,,wanachofanyaga wakandaji ni kujaza tu marks zao ,ukimaliza ni kukushukuru kwa muda wako[emoji23][emoji23]
 
We unawasanifu jobless ,we mtumishi ORCI ,kwenda zako
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️, hawawez kukuamin mm ni jobless mwenzao na wanalijua hilo.
 
Kwa sahili za teaching lugha inaangaliwa nadhani Maana kuna kufanya presentation ,,lkn kwa kada za non-teaching sahili zake nyiingi nadhani hazihitaji kiingereza sana ni mfn give us 5 points of .... Zen twende swali jingine Ujikute unajua points mbili ,wao wanataka at least 5 points .. ndio utajua itakuwa na Matumaini ya angalau kupata au kupigwa ko
 
 
Namimi nimetoboa Taec , Mungu mkubwa , nimeona aiseee ,Dah ! Nimetoboaaaa Utumishi ,
Hahaaaa nimetoboa kwenye ndoto lakini , ,[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji85][emoji85] heheeee
Hongera sana mkuu, ukawe Mtumishi mwema
 
Pole sana mkuu, una nafasi yako special, muda bado haujafika, kuwa na subira, utafurahi muda ukifika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…