Nyerere kuna vitu vingi aliingizwa King na karume asee. Tunaoumia ni sisi tusiokua na connection.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], huu muungano umekaa kimtegomtego aiseee
Mbichiii mnooooYaan hata ukisema ujumlishe DATABASE na Placement za kawaida hawajafika watu 1769 huu mwezi.
Hesabu ya Database bado. Mbichiii
Hizi za MDA Siku yetu tulifanya oral walisema baada ya wiki tatuNtio ntiooo,sema august umetupeleka mbali sana boss,em tujinenee mema around May/June jikeka litatemwa
Wewe umepewa nafasi 29+ wenzio wamepewa 3 bado unaumia mkuu duu...acha roho ngumuLakini kwenye usaili wetu wazanzibar tulikuwepo nao huu muungano haufai
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Hapa sijakupata mkuu, unamanisha nn.
Taasisi yako ipii au tayariHapa sijakupata mkuu, unamanisha nn.
Nipo apo kaka Nov 28, siku nikileta mrejesho utaijua tu.Hapa sijakupata mkuu, unamanisha nn.
Wacha tusubiri Mwezi upinduke huuu tuanzishe VuguvuguPiga spana piga spana mbona keka lingetoka na 1900 ili mpira urudi kwao..maana bila hivyo mpira hatutouona kati hata siku moja,utakuwa unachezewa kwetu tu
Nashukuru sana but ckua na ifahamu vyema.. na ndo ilikua usahili wangu wa kwanza kuingia oral kati ya interview 10..Hongera sana mkuu kwa kulamba asali huko, hiyo ni taasisi nzuri sana.
Nimejikuta nacheka kwa sauti, vyao vyao na vyakwetu ni vya wote siyoLakini kwenye usaili wetu wazanzibar tulikuwepo nao huu muungano haufai
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Atoe hilo keka kubwa la databaseTuendelee kulamba asali mama anaupiga mwingi sana ...naona shuhuda za kulamba asali ni nyingi hongereni sana. Mama ni mshindi kwakweli na ameweza sana
ha ha ha, nikikumbuka my moment kwenye panel..nilikuwa natumia trick moja....akishauliza swali naanza kulitafakari fasta na ku formulate majibu halafu kabla sijajibu...namuambia interviewer arudie tena swali...."please come again.."[emoji23][emoji23][emoji23] tuliobahatika kuingia Kweny oral kuna kupa experience aisee [emoji23][emoji23]
Mfn.. unaulizwa swali linataka point 5 haliitaji kiingereza kingi ni just mention n go ,lkn unajikuta unajua point moja nyingine hola unafikiri UTATOBOA kwa kiingereza Cha kudanganya majibu hapo ,,wanachofanyaga wakandaji ni kujaza tu marks zao ,ukimaliza ni kukushukuru kwa muda wako[emoji23][emoji23]
hongeraa, status ilikua inasomaje mkuu, maana nakumbuka ulisema ulichomokea kwenye data base?ha ha ha, nikikumbuka my moment kwenye panel..nilikuwa natumia trick moja....akishauliza swali naanza kulitafakari fasta na ku formulate majibu halafu kabla sijajibu...namuambia interviewer arudie tena swali...."please come again.."
Anapoanza kusoma tena swali...nakuwa napata wasaa wa ku process swali upya kuwa nimelisikia vyema na majibu niliyo formulate ndiyo yenyewe..then natiririka.
Kuna moja la kutaja mambo matano..mimi nikaishia kwenye mbili tu. Interviewer ananishawishi niendelee kutaja kwani hivyo vitu ni virahisi sana...wakati huo mimi majibu yamesha evaporate...ila majibu nayafahamu lakini najikuta nimesahau na siwezi ku recall pale.
Nikamchana tu interviewer kuwa hilo swali nimeishia hapo next question please...akanishawishi tena kuwa taja mbona ni rahisi! Nikamwambia i will just waste your time...hata kama ungenipa masaa sitoboi..nimestuck.
Hiyo hali ya kushindwa kujibu vipengele vyote vitano vya swali lile ilinitesa soon after oral nikawa napata hisia kuwa nimeshaharibu. Ilichukua siku kadhaa kuisha.
Ila Mungu ni mkuu...nilifaulu usaili and the rest is history.
Hongera sana, swali langu mm la kwanza tu nilijibu point 3 za uhakika na nikazielezea zote japo niliambiwa mention, by the time akija kustuka kusema just mention mi nishamaliza kuelezea. Ila sikuweza maliza tano zote😥😥😥😥.ha ha ha, nikikumbuka my moment kwenye panel..nilikuwa natumia trick moja....akishauliza swali naanza kulitafakari fasta na ku formulate majibu halafu kabla sijajibu...namuambia interviewer arudie tena swali...."please come again.."
Anapoanza kusoma tena swali...nakuwa napata wasaa wa ku process swali upya kuwa nimelisikia vyema na majibu niliyo formulate ndiyo yenyewe..then natiririka.
Kuna moja la kutaja mambo matano..mimi nikaishia kwenye mbili tu. Interviewer ananishawishi niendelee kutaja kwani hivyo vitu ni virahisi sana...wakati huo mimi majibu yamesha evaporate...ila majibu nayafahamu lakini najikuta nimesahau na siwezi ku recall pale.
Nikamchana tu interviewer kuwa hilo swali nimeishia hapo next question please...akanishawishi tena kuwa taja mbona ni rahisi! Nikamwambia i will just waste your time...hata kama ungenipa masaa sitoboi..nimestuck.
Hiyo hali ya kushindwa kujibu vipengele vyote vitano vya swali lile ilinitesa soon after oral nikawa napata hisia kuwa nimeshaharibu. Ilichukua siku kadhaa kuisha.
Ila Mungu ni mkuu...nilifaulu usaili and the rest is history.
Mambo ya riziki t hyo mkuu...unawez jibu zote na ukakosa kaz na unaweza ukajibu 2 ukapat kz piaHongera sana, swali langu mm la kwanza tu nilijibu point 3 za uhakika na nikazielezea zote japo niliambiwa mention, by the time akija kustuka kusema just mention mi nishamaliza kuelezea. Ila sikuweza maliza tano zote😥😥😥😥.
Kweli kaka.Mambo ya riziki t hyo mkuu...unawez jibu zote na ukakosa kaz na unaweza ukajibu 2 ukapat kz pia