HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Sina neno, najaribu kuimagine mbele ya panelist unasema hivyo I will just waste your time [emoji1787]
 
Kingereza Kwa kweli n taabu na wao uzuri wanaelewa, kuna interview ya internship nimewahi kuhudhuria swali niliulizwa kiswahili mm natakiwa nijibu kingereza, uhu !
 
Kingereza Kwa kweli n taabu na wao uzuri wanaelewa, kuna interview ya internship nimewahi kuhudhuria swali niliulizwa kiswahili mm natakiwa nijibu kingereza, uhu !
Pole sana, natumaini uliwajibu ilivopaswa.
 
Hongera sana Mkuu, wakati wako ukiwa umefika hata ukijibu maswali mawili tu Mungu anakuinua
 
mawazo yako ni positive sana mm mwenyewe huwa napenda kuamin kwwnye mitizamo chanya. kiukwel jamaa hasikate tamaa kabisa amtegemee Mungu kwa kila jambo na ajikabidhi kwa Mungu kwa hiari yake yote.hayo ya mtu sijui ameshikilia nyota sijui bahati sijui amekufungia kamba sijui nn binafsi huwa siyaoni kama ni mambo ya kuyapa kipaumbele kabisa

ukianguka simama inuka anza kukimbia tena kwa matumaini makubwa ya kufika uendako

na mm ni mawazo yangu binafsi pia
 
Wakuu mbona nikitaka ku aplly nafasi ya kazi ajira portal inanigomea Kuna mtu aliyewahi kukutana na changamoto Kama hii, nimejaribu kuwapigia sim kwa kupitia namba iliyopo kwenye website yao lakini simu inaitaga weeeeee haipokelewi. Sifa na vigezo vyote ninavyo, Mwanzoni haikua inagoma ilikua inafika Hadi sehemu ya mwisho ambayo ilinitaka niweke barua ya maombi ya kazi Sasa kabla ya ku attach barua nikasema ngoja ni edit referees nilivyo edit tu ndio likawa kosa. Msaada kwa anaejua tafadhari
 

Attachments

  • Screenshot_20230223-232753_1.jpg
    67.5 KB · Views: 30
Hapo mkuu, qualifications zako haziendani na qualifications zinazotakiwa kwa hiyo post.
 
Hapo kuna sababu nyingi tu, system ya psrs imeshake, qualification haziendani kivile.

Kama umesema qualification zinamatch jaribu tena na tena.

Kama ikizingua badilisha course yaani uidanganye system kama prog. Yako ni BBA, na kwenye list kuna Bs.AEA, basi edit prog iwe A.E.A, ukishamaliza unarudisha prog. Yako ya BBA.

Implocation yake unaweza itwa interview, na wakukatae kwamba degree prog. Yako haikuorodheshwa na uwa wapo simpo hivyo ila interview haifanyi ng'o.
 
Mkuu namie nakuuliza swali hapo hapo.

Mfano kama post inataka bacheor's degree in electrical engineering or equivalent na mie nimesoma bachelor's degree in electrical and electronics engineering,

Nikafanikiwa kuitwa katika usaili wa kuandika nikafaulu nikaingia mpaka oral.

Je katika placement wanaweza kunichukua ikiwa nitafaulu oral.

Ukizingatia niliidanganya system kwa cheti changu kiliandikwa bachelor's degree in electrical and electronics engineering make ukizingatia system kama system haitambui equivalent qualifications katika uombaji ijapokuwa katika post waliandika na equivalent qualifications?
 
Au kuna mtu aliwahi kupata kazi ya equivalent qualifications?
 
System kuna muda inacheza, fanya kuwa unajaribu kila baada ya muda flani. Hata mimi ilishawahi kunitokea ila badae ikakubali.
 
Kesi ya Nyani unampelekea ngedere?

CDM na wanaharakati uchwara wanatakiw walivalie njuga hili swala. Iweke mbivu na mbichi. Wa database walioajiriwa ni wangapi na wakina nani.. Au WAZIRI alidanganya UMMA?
We jamaa unasema wanaharakati uchwara wakati huo huo unataka wakusaidie kupaza sauti, sasa si bora watafutwe wanaharakati halisi walivalie njuga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…