HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hapo mkuu, qualifications zako haziendani na qualifications zinazotakiwa kwa hiyo post.
Mkuu mbona sifa zote ninazo na vyeti vipo. Mwanzoni ilikua hainiletei hivyo Ila baada ya ku edit referees mmoja ndio nikaona inaleta hivyo nikaamua kurudisha Tena Kama mwanzo lakini bado naona inagoma
 
Make mimi kwenye Oral interview niliyofanya jumla yalikuwa maswali matano plus ilo la kujitam
Nakumbuka swali LA utambulisho lilikuwa " Please tell us about your History, Education background and Work experience"
Hapa jamii forum forum wadau wakasema uanze moja kwa moja elimu ya chuo na uzoefu kazini. Mimi nilipotafakari nikaona hili swali linahitaji vitu vitatu tofauti.
Nilielezea 1. Kuzaliwa
2. Elimu msingi hadi chuo
3. Uzoefu kazini
Nasubiri nione kama akili yangu itanipa kazi au akili ya wanajamii forum itanikoaesha kazi
 
Hhh database naona watu wa agro - economic mtakula shavu sana, coz nyie n vilaka sehemu nyingiii.

Na Kilimo pia bado kinataka watu wengi sana hizo miradi za kilimo huko vijijini n mingi sana hyo intake ya wizara ya kilimo iliyochukuliwa juzi naona haitoshi.

Nimejaribu kuwaza kwa sauti ni ubashiri wangu, Hebu wewe nipe wako.....
 
Na mimi nilijubu kama wewe mkuu!
 
Kwa hyo mwezi unafungwaje leo??
Hivi hivi kizembe zembe?
 
  • Itoshe kusema kuwa Waziri wa UTUMISHI amedanganya/ ametoa taarifa za Uongo kuhusu kuajiri watu 1700s,
  • Waziri alitoa taarifa kufurahisha genge.
Siku haijaisha...pia sidhani kama alikusudia lazima mkeka utoke mwezi wa pili alisema wataanza kuchukua wasailiwa waliofaulu kutoka kanzidata mwezi huu wa pili
 
Siku haijaisha...pia sidhani kama alikusudia lazima mkeka utoke mwezi wa pili alisema wataanza kuchukua wasailiwa waliofaulu kutoka kanzidata mwezi huu wa pili
- acha kujipa moyo Kwa mambo ambayo hayawezekani, Kwa Akili ya Kawaida unadhani UTUMISHI wanaweza kutoa leo PDF lenye majina 1000s ?
 
umetowa mawazo mazuri yenye faraja ama kweli, WEWE NI GENTLEMAN
 
Soma comment vzr ndo utoe maoni yako ...hapo nimesema lzm watoe leo?
Nadhani uko sawa mkuu...maneno ya waziri haimaanishi ni sheria isiyobadilika..kama alisema ni mwezi wa pili na mazingira fulani huko serikalini yakasababisha isiwezekane hao watu kuajiriwa huo mwezi wa 2...

Basi hao watu wa kanzi data wanaweza kuendelea kuajiriwa hata miezi inayofata kwa vile maelekezo ya waziri bado ni halali.

Kwa hiyo hilo Pdf lisipoonekana leo..wadau waendelee kuwa na subira tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…