HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Yah kbsa tusiwe negative muda wote...tuwe na subira
 
  • Yaani na wewe unarukia hoja hata bila kuelewa Waziri alisemaje,
  • Waziri alitoa commitment kwamba mwezi huu wa pili watachukua watu 1700s kutoka database, hiyo Kwa tafsiri ni commitment tayari
  • Hayo mazingira unayosemea kutoka huko serikalini umebambikwa na Nani? ni hadi tena Waziri aje atoe sababu ya kutoajiri watu 1700s usimsemee Waziri/ Wizara, je kama Waziri alitoa taarifa ya Uongo?( Kwa sababu Mawaziri kuongea Uongo sio jambo la ajabu hapa Tanzania)
  • Kwa hoja zako zilivyokuwa dhaifu, halafu 'naambiwa ' wewe umekuwa mwendesha mashtaka ni Utopolo mtupu, ukikutana na kina Kibatala,Dickson Matata, nadhani hutaweza kujibu hata Hoja moja!
 
Duuh mbona kama umepanick mkuu. Haunijui, sikujui. Tuko hapa ku socialize. Nilikuwa natoa tu maoni yangu mkuu. Kama yamekukwaza basi niwie radhi. Usini attack personally...haunijui mkuu.
 
Wakuu wenye uzoefu na mambo ya usaili hebu wanipe ufafanuzi hapa.

Nilipiga Oral sasa lile swali la INTRODUCE YOURSELF kuna wakati nilifika nikaambiwa ENOUGH...Twende swali la pili.

Mpaka naambiwa its enough, nilikuwa nimeelezea vitu vifuatavyo:-

1. Background yangu i.e jina na elimu.
2. Experience kwenye similar duties and responsibilities kama za nafasi ambayo nimeomba.
3. Achievements kwenye nafasi ambazo nimewahi kufanya.

Nilipofikia hapa. Wakati najiandaa kuelezea skills na strengths (ambayo ndiyo nilipanga iwe part ya mwisho kwenye inro yangu) ambazo ninazo. Nikaambiwa thank you, lets go to second question.

Hapa wakuu walimaanisha nini?

Ufafanuzi wakuu.
 
Duuh mbona kama umepanick mkuu. Haunijui, sikujui. Tuko hapa ku socialize. Nilikuwa natoa tu maoni yangu mkuu. Kama yamekukwaza basi niwie radhi. Usini attack personally...haunijui mkuu.
- jitahidi ujue argumentative skills zitakusaidia huko mahakamani, msije mkaitia hasara serikali, poor argumentative skills.
 
Uliweka mambo mengi mkuu wale wanatka straight and clear points
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…