Walimaanisha hawataki mambo mengi, walitaka mambo machache tu.Wakuu wenye uzoefu na mambo ya usaili hebu wanipe ufafanuzi hapa.
Nilipiga Oral sasa lile swali la INTRODUCE YOURSELF kuna wakati nilifika nikaambiwa ENOUGH...Twende swali la pili.
Mpaka naambiwa its enough, nilikuwa nimeelezea vitu vifuatavyo:-
1. Background yangu i.e jina na elimu.
2. Experience kwenye similar duties and responsibilities kama za nafasi ambayo nimeomba.
3. Achievements kwenye nafasi ambazo nimewahi kufanya.
Nilipofikia hapa. Wakati najiandaa kuelezea skills na strengths (ambayo ndiyo nilipanga iwe part ya mwisho kwenye inro yangu) ambazo ninazo. Nikaambiwa thank you, lets go to second question.
Hapa wakuu walimaanisha nini?
Ufafanuzi wakuu.
Okay...i will take that into consideration...- jitahidi ujue argumentative skills zitakusaidia huko mahakamani, msije mkaitia hasara serikali, poor argumentative skills.
Nashukuru Mkuu....Walimaanisha hawataki mambo mengi, walitaka mambo machache tu.
Mimi kwenye uzoefu nilitaja sehemu niliyofanyia mafunzo kwa vitendo, nikaishia hapo ingawa kulikuwa na sehemu nyingine niliyokuwa nimejishikiza(sikuitaja)
Then, uzoefu wataujua zaidi wakati unajibu maswali mengine ambayo mwngine ni ya Darasani.
Nashukuru Mungu maswali ya darasani(ya kada yangu) nilijibu vizuri hadi point zikawa zinamwagika zaidi ya 5 wanazotaka wao. Nikimaliza nawaambia tayari wananipa swali lingine. Sasa hapa kwenye kujibu haya maswali ambayo yalionekana ni vitendo tayari walijua nina kauzoefu fulani.
Ambao bado hamjawahi kufanya oral nawasihi muwe mnapitia huu uzi mnapata hints za kwenda kujibu oral
Nadhani muda uliotengewa kwa hilo swali ulikuwa umeshaisha.Wakuu wenye uzoefu na mambo ya usaili hebu wanipe ufafanuzi hapa.
Nilipiga Oral sasa lile swali la INTRODUCE YOURSELF kuna wakati nilifika nikaambiwa ENOUGH...Twende swali la pili.
Mpaka naambiwa its enough, nilikuwa nimeelezea vitu vifuatavyo:-
1. Background yangu i.e jina na elimu.
2. Experience kwenye similar duties and responsibilities kama za nafasi ambayo nimeomba.
3. Achievements kwenye nafasi ambazo nimewahi kufanya.
Nilipofikia hapa. Wakati najiandaa kuelezea skills na strengths (ambayo ndiyo nilipanga iwe part ya mwisho kwenye inro yangu) ambazo ninazo. Nikaambiwa thank you, lets go to second question.
Hapa wakuu walimaanisha nini?
Ufafanuzi wakuu.
Duniani kuna watu wa aina mbalimbali. He is one of a kind.Huyo jamaa ana dharau kk...fuatilia comments zake huko nyuma ndo utajua ni mtu wa sampuli gani
Asante....Hii ina effect gani kwa msailiwa?Nadhani muda uliotengewa kwa hilo swali ulikuwa umeshaisha.
kwenye panel yetu sisi tulikuwa limited kwenye kujibu hili swali. yaani hawataki useme vitu vingi sana.Wakuu wenye uzoefu na mambo ya usaili hebu wanipe ufafanuzi hapa.
Nilipiga Oral sasa lile swali la INTRODUCE YOURSELF kuna wakati nilifika nikaambiwa ENOUGH...Twende swali la pili.
Mpaka naambiwa its enough, nilikuwa nimeelezea vitu vifuatavyo:-
1. Background yangu i.e jina na elimu.
2. Experience kwenye similar duties and responsibilities kama za nafasi ambayo nimeomba.
3. Achievements kwenye nafasi ambazo nimewahi kufanya.
Nilipofikia hapa. Wakati najiandaa kuelezea skills na strengths (ambayo ndiyo nilipanga iwe part ya mwisho kwenye inro yangu) ambazo ninazo. Nikaambiwa thank you, lets go to second question.
Hapa wakuu walimaanisha nini?
Ufafanuzi wakuu.
Haina effect kama utakuwa ulishagusia mambo wanayoyataka. Na mara nyingi hili swali nadhani wengi hulijibu vyema. Hata kama uligusia na mengine ila uligusa points zao.Asante....Hii ina effect gani kwa msailiwa?
Sio dalili ya kuzingua?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sisi hatukupewa limitations. Waliuliza swali na mtu inabidi ujielezee. Ndipo katikati ya maelezo wakanikatisha tu wakasema inatosha.kwenye panel yetu sisi tulikuwa limited kwenye kujibu hili swali. yaani hawataki useme vitu vingi sana.
Kwenye education background interviewer anakupa limits kuwa anzia level fulani hadi fulani...kwenye working experience napo anakulimit kuwa tunataka hivi na vile.
Nilikuwa nimejipanga kujibu kwa mtindo mwingine ambapo hapo kwenye experience ningeeleza vitu kadhaa...ila ikabidi ku switch kwenda kwenye muongozo wa interviewer.
Asante sana mkuu..Haina effect kama utakuwa ulishagusia mambo wanayoyataka. Na mara nyingi hili swali nadhani wengi hulijibu vyema. Hata kama uligusia na mengine ila uligusa points zao.
MahagamaWaziri yupi unanhitaji??
Labda fuatilia namba yake kabisa umtafuteMahagama
OkayLabda fuatilia namba yake kabisa umtafute
- nikutumie na vitabu vya kusoma?Okay...i will take that into consideration...
There is a way for it to be said politely so that the interviewer will not feel offended. It was said in the course of conversation. Not in rude or harsh manner...but it was in a situation where the interviewer was compelling me to answer the question three times. Strangely, i knew the answers but in that very moment they had vanished into thin air.Sina neno, najaribu kuimagine mbele ya panelist unasema hivyo I will just waste your time [emoji1787]
Wewe subiri tuu, ukishaona placements za post uliyoomba haumo, unajipa moyo nitakuwepo kwenye database.Hivi mtu unakua na uhakika gani kua upo database
Acha sifa, wakili msomi unamfundisha jinsi ya kuargue? Unaijua legal reasoning? Unaijua kozi inaitwa jurisprudence? Huwez kua smart kumzidi jamaa nakataa- nikutumie na vitabu vya kusoma?
- Mimi na CPA yangu namzidi huyo wakili wenu, Nina Diploma ya law,degree accounting,msc finance na CPA, hiyo jurisprudence nimeisoma kwenye diploma ya lawAcha sifa, wakili msomi unamfundisha jinsi ya kuargue? Unaijua legal reasoning? Unaijua kozi inaitwa jurisprudence? Huwez kua smart kumzidi jamaa nakataa