HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
- Mimi na CPA yangu namzidi huyo wakili wenu, Nina Diploma ya law,degree accounting,msc finance na CPA, hiyo jurisprudence nimeisoma kwenye diploma ya law
Hakuna siku utamzidi wakili reasoning hata akiwa kilaza vipi, wakili atazidiwa na wakili mwenzie
- Mimi na CPA yangu namzidi huyo wakili wenu, Nina Diploma ya law,degree accounting,msc finance na CPA, hiyo jurisprudence nimeisoma kwenye diploma ya law
Wakili ambaye ukitaka talaka twende, umelawitiwa twende, umekatika mkono kazini twende, bima wanakuzingua twende, umefukuzwa kaz twende, unatuhumiwa uhujumu uchumi twende, umedhurumiwa ardhi twende, unadai mirathi twende, unataka kuacha kaz twende, jirani anapiga mziki mkubwa twende, umeshikwa na madawa ya kulevya twende etc wewe umzidi logic reasoning pamoja na arguments skills?!!! Jitafakari huyu atazidiwa na wakili mwenzie
 
- unadhani hivyo vitu Mimi sivijui?
 
Imefunguka,hamna jipya
Nam naona imefunguka
Wanacheza na akili zetu hawa

Hv hawaona web inavyotembelewa mno

Laiti kama wangekuwa na namna ya kujua misonyo ya vijana baada ya kukuta wanachowish kuona hakipo wangeleta PDF kama zote[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Usiombe[emoji2357][emoji2357][emoji2357][emoji2357]
Unaweza changanyikiwa
Hasa ukiwaza kuanza upyaaaa
 
HolaπŸ˜‚πŸ˜‚

Nam naona imefunguka
Wanacheza na akili zetu hawa

Hv hawaona web inavyotembelewa mno

Laiti kama wangekuwa na namna ya kujua misonyo ya vijana baada ya kukuta wanachowish kuona hakipo wangeleta PDF kama zote[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
watupie pdf ya leo wakusubir tusubir wakufurah wafurah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…