Bt msiwalaumu mabinti...Huyu binti nahisi bado mdogo sana na pia hajawai kutana na challenges za maisha pia inaonekana ana Back up nzuri akikwama kidogo kuna watu wanajazia vinavyopelea bado ana mambo mengi sana ya kujifunza kuhusu maisha na harakati za kijana wa kitanzania.
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Yes mabinti uwa tunawalea mi binafsi pamoja na magumu nayopia ila uwa nakua responsible sana inapotokea mdogo wangu wa kike ana changamoto yeyote inayohitaji pesa nadhani inaaply kwa watu wote.Bt msiwalaumu mabinti...
Hustling zao ni tifauti kabisa na za wanaume...
Yeye anaweza bahatika akapata mwenza ambae tyr keshajikamilisha kwa nyanja zote
So aajiriwe asiajiriwe kwake binti sio ishu
Lkn hata malezo....wa kiume ukimaliza chuo kwenu hawawezi kuendelea kukutimizia mahtaji yako kwa kiasi kikubwa ila mabinti kwa kiasi chake wanatimiziwa hadi hapo watakapokuwa wameweza kusimama wenyewe au ndo wamepata wenza wao tofauti na mvulana uwe ushajiweza kusimama mwenyew au hapana lazima kijasho kianze kukutoka na usiombe wazee wawe kuna jina jamaa alitumia kule juu lmenitoka....kwamba mzee wake anamfanyisha kazi balaaa kuzidi hata wafanyakazi wake...huo ni ujumbe kwamba umekua sasa tafuta vyako[emoji85][emoji85]
Mdogo wetu tunamlea bwana jf ni platform ya magreat thinker
Wakuu wenye uzoefu na mambo ya usaili hebu wanipe ufafanuzi hapa.
Nilipiga Oral sasa lile swali la INTRODUCE YOURSELF kuna wakati nilifika nikaambiwa ENOUGH...Twende swali la pili.
Mpaka naambiwa its enough, nilikuwa nimeelezea vitu vifuatavyo:-
1. Background yangu i.e jina na elimu.
2. Experience kwenye similar duties and responsibilities kama za nafasi ambayo nimeomba.
3. Achievements kwenye nafasi ambazo nimewahi kufanya.
Nilipofikia hapa. Wakati najiandaa kuelezea skills na strengths (ambayo ndiyo nilipanga iwe part ya mwisho kwenye inro yangu) ambazo ninazo. Nikaambiwa thank you, lets go to second question.
Hapa wakuu walimaanisha nini?
Pole sana mkuu ila hata kuitwa interview ni ushindi.Sometimes tunaonekana wazembe sana kumbe mazingira yetu na gharama za maisha kuacculate capital ya kukupeleka juu ni ngumu sana asee kiukweli utumishi kama mnatusikia vijana hasa sisi yatima, maskini tuzingatieni mi niko tayari hata kufanya kazi miaka miwili tu nikajiajiri nikawaachia nafasi wengine kama ntapata mtaji naotaka.
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Website inakuwa nzito kwa sababu kila mmoja anaingia kuvhungulia mkeka wa Mama mhagama.Website ya utumishi ni nzito sana na haifunguki kwa Sasa. Bila shaka Kuna kitu kinafanyika sio bure[emoji2]
Ni wale pekee waliopita hii njia ndiyo wanaweza kujua kile ukisemacho.Kwa jinsi maisha yanavyotupiga lazima tujifariji dadangu bora kuishi hivyo kuliko kukosa tumaini kama bado uko kwenu na huna majukumu huwezi elewa hii feelings.
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Kitendo cha wao kukuambia "inatosha" ilionekana umejibu mambo mengi.Nashukuru Mkuu....
Lakini kutaja elimu yako, experience na some achievements tu ambazo unazo tena kwa muda wa chini ya dakika 2 ni mambo mengi hayo?
Anyway, Mungu anajua zaidi na Pengine ngoja tusubiri Majibu
"Hata kwenye group la familia kaleft" Jaribu kumfuatilia hizo ni hasira na uchungu inawezekana kati yenu kamuona ana uwezo fulani ambao anahisi kabisa anaweza kumsaidia lakini inaonekana hawana msaada kwake/wamefunga vioo. Jaribu kuwa karibu naye au mshirikishe unayemuona kati yenu ana uwezo amshike mkono kabla mambo hayajawa mabaya.Pole sana mkuu ila hata kuitwa interview ni ushindi.
Mimi nina mdogo wangu wa pili kutoka mwisho yeye hata kozi yake aliyosoma hata kazi zake sijaona zikitangazwa mwaka wa tatu huu. Dogo hata kwenye group la familia kaleft sema bado anapambana kitaa mjanja mjanja wa mjini
Ndio maana wakasema, " Wanaume tumeumbwa mateso na kuhangaika".Bt msiwalaumu mabinti...
Hustling zao ni tofauti kabisa na za wanaume...
Yeye anaweza bahatika akapata mwenza ambae tyr keshajikamilisha kwa nyanja zote
So aajiriwe asiajiriwe kwake binti sio ishu
Lkn hata malezi...wa kiume ukimaliza chuo kwenu hawawezi kuendelea kukutimizia mahtaji yako kwa kiasi kikubwa ila mabinti kwa kiasi chake wanatimiziwa hadi hapo watakapokuwa wameweza kusimama wenyewe au ndo wamepata wenza wao tofauti na mvulana uwe ushajiweza kusimama mwenyew au hapana lazima kijasho kianze kukutoka na usiombe wazee wawe kuna jina jamaa alitumia kule juu lmenitoka....kwamba mzee wake anamfanyisha kazi balaaa kuzidi hata wafanyakazi wake...huo ni ujumbe kwamba umekua sasa tafuta vyako[emoji85][emoji85]
Asante. Je kwa upande mwingine inaweza kumaanisha kuwa nimezingua?Kitendo cha wao kukuambia "inatosha" ilionekana umejibu mambo mengi.
Mimi nakumbuka hata dk haikuisha, nilipomaliza kujibu hilo swali, nilimwaambia "hii ndio historia yangu fupi ya maisha ya shule", kutokana na hitimisho langu hilo endapo wangehitaji maelezo zaidi wangeniambia, endelea huku wakijikita kwenye jambo wanalotaka niwaambie.
Yan mnaoweka matarajio kwenye database mna moyo sana.
1.hujui kama hata upo kwenye database
2.hujui watakua wanapachika kila nafas zikitoka or wataleta separate pdf
3. Hujui ni lin hata watatimizq walichokisema
Nawapongeza mna moyo sana,binafsi sidhan kama ningetilia maanan hataMais
Maisha ni matumaini, ukiwa nayo siku zinaenda, ni nani aliye na uhakika na kesho yake?Yan mnaoweka matarajio kwenye database mna moyo sana.
1.hujui kama hata upo kwenye database
2.hujui watakua wanapachika kila nafas zikitoka or wataleta separate pdf
3. Hujui ni lin hata watatimizq walichokisema
Nawapongeza mna moyo sana,binafsi sidhan kama ningetilia maanan hata.
Ondoa sana hofu ndugu, Mimi Kwa mara ya kwanza nimeingia oral interview mwaka huu hizi za TRA, na kwenye Hilo swali la tell us about yourself kimenitokea kama kilichokukuta, kabla sijamaliza swali nkaambiwa inatosha, lakini Mungu ni mwema pdf la placement nimo kama customs officer, Cha msingi maswali mengine uwe umejibu vizuri......Nakumbuka baada ya Ile oral nilikuwa Nina hofu kama wewe, maana mi nilianza kuelezea elimu kuanzia primaryAsante. Je kwa upande mwingine inaweza kumaanisha kuwa nimezingua?
Hilo siwezi kujua mkuuAsante. Je kwa upande mwingine inaweza kumaanisha kuwa nimezingua?
Eee litatoka tuu.Jaman PDF la database litatoka kweli
Lipo njiani kuchota watu 1700 na kuwapngia kz sio jambo jepsi sana....tuwape muda wataliachia pdf lenye nyomi kutoka databaseEee litatoka tuu.
Hahaaaa mshua ananipigisha kazi zaidi ya manamba wa enzi za mkoloni mjerumani ,halafu mwamba nimepanga geto ,posho mpaka umkabe roba ya mbao ,halooBt msiwalaumu mabinti...
Hustling zao ni tofauti kabisa na za wanaume...
Yeye anaweza bahatika akapata mwenza ambae tyr keshajikamilisha kwa nyanja zote
So aajiriwe asiajiriwe kwake binti sio ishu
Lkn hata malezi...wa kiume ukimaliza chuo kwenu hawawezi kuendelea kukutimizia mahtaji yako kwa kiasi kikubwa ila mabinti kwa kiasi chake wanatimiziwa hadi hapo watakapokuwa wameweza kusimama wenyewe au ndo wamepata wenza wao tofauti na mvulana uwe ushajiweza kusimama mwenyew au hapana lazima kijasho kianze kukutoka na usiombe wazee wawe kuna jina jamaa alitumia kule juu lmenitoka....kwamba mzee wake anamfanyisha kazi balaaa kuzidi hata wafanyakazi wake...huo ni ujumbe kwamba umekua sasa tafuta vyako[emoji85][emoji85]