Kumbe ni ww...Hahaaaa mshua ananipigisha kazi zaidi ya manamba wa enzi za mkoloni mjerumani ,halafu mwamba nimepanga geto ,posho mpaka umkabe roba ya mbao ,haloo
Nyie
Ni huwa nacheka sana hili life sometimes .
Tucheke na kufurahi huku tukipambana ,hahaaa[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Alisema mwez wa 2 kesho mwezi wa 3Eee litatoka tuu.
Washaanza kuchukua mkuu...ni zoezi endlevu mpka idadi hiyo itimieAlisema mwez wa 2 kesho mwezi wa 3
Hata mimi Nadhani itakuwa hivyo , itakuwa zoezi endelevu na si mkeka mmoja kama alivyosema yule Maza , anyway ngoja tuone watakachofanya.Washaanza kuchukua mkuu...ni zoezi endlevu mpka idadi hiyo itimie
Sawa, hata hivyo siku bado haijaisha tuvute subra wandugu..si unajua kuna mgeni mpya ofisini pia.Alisema mwez wa 2 kesho mwezi wa 3
Kwan kuchukua watu kutoka kwenye database haijawahi kuwa kazi endelevu??Washaanza kuchukua mkuu...ni zoezi endlevu mpka idadi hiyo itimie
Bado naona placement zote hizo wamefanya usahili wanatakiwa watoe PDF yenyewe Kama kipind cha nyumaWashaanza kuchukua mkuu...ni zoezi endlevu mpka idadi hiyo itimie
Alisema February tutachukua 1767 kutoka kanzidata lakin had Leo hamna kituKwan kuchukua watu kutoka kwenye database haijawahi kuwa kazi endelevu??
Imani ndio nguzo ya kwanza ya maisha yaliyopo na yajayoYan mnaoweka matarajio kwenye database mna moyo sana.
1.hujui kama hata upo kwenye database
2.hujui watakua wanapachika kila nafas zikitoka or wataleta separate pdf
3. Hujui ni lin hata watatimizq walichokisema
Nawapongeza mna moyo sana,binafsi sidhan kama ningetilia maanan hata.
Mambo ya mchakato mkuu...vuta subra mkeka utatoka tuAlisema mwez wa 2 kesho mwezi wa 3
subira ndo kila kitu lkn vijana tunateseka.Mambo ya mchakato mkuu...vuta subra mkeka utatoka
Naam...tuendelee kuvuta subira.subira ndo kila kitu lkn vijana tunateseka.
kibaya zaidi tunadanganywa oooh week 3 tena kwa msisitizo alafu hola, mwezi wa kwanza, wa pili, watatu. duh lkn ngoja tuendelee kusubir siku moja tutasahau haya.
Hata mm najiulizaKwa mfano hizi post zinazotangazwa saa hizi mara zinataka watu wa 5, sijui 10, ina maanisha kwenye database hawapo hao watu
Ndio ushangae watu kibao washafanyia usahiliKwa mfano hizi post zinazotangazwa saa hizi mara zinataka watu wa 5, sijui 10, ina maanisha kwenye database hawapo hao watu
Wanasema waliokwisha fanyiwa usaili hawakufikisha vigezo htajikaNdio ushangae watu kibao washafanyia usahili
Huenda waliopo hawatoshiKwa mfano hizi post zinazotangazwa saa hizi mara zinataka watu wa 5, sijui 10, ina maanisha kwenye database hawapo hao watu