Fikiria kwenye database kuna mtu ana passmark ya 50 halafu umeita interview kuna mwamba kacharaza 90. Hapo utachukua wa database au huyu mpya?kama wataalam wa hiyo kada wapo database haina haja yakuitisha usaili mwingine. wachukue huko database tu watu wapate kazi...
Unaongea nn kijana?zile pepa za utumishi zinapima exprience?au ni notes za darasani umeze ukafauluSasa kama ana uzoefu kwa nn ashindwe written? Yani kisa graduate hana experience ndo asipewe kazi? Are you being fair mkuu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kanuni zinasema Kama database ina mtu utumishi hawaruhusiwi kutangaza tena ajira ya hiyo Kada.Fikiria kwenye database kuna mtu ana passmark ya 50 halafu umeita interview kuna mwamba kacharaza 90. Hapo utachukua wa database au huyu mpya?
Ubarikiwe sana mkuuOndoa sana hofu ndugu, Mimi Kwa mara ya kwanza nimeingia oral interview mwaka huu hizi za TRA, na kwenye Hilo swali la tell us about yourself kimenitokea kama kilichokukuta, kabla sijamaliza swali nkaambiwa inatosha, lakini Mungu ni mwema pdf la placement nimo kama customs officer, Cha msingi maswali mengine uwe umejibu vizuri......Nakumbuka baada ya Ile oral nilikuwa Nina hofu kama wewe, maana mi nilianza kuelezea elimu kuanzia primary
sio huruma serikali kwann ajira za afya wanaanza kuajiri kwa waliomaliza zaman kwanza na huwa wanasema kabisaMkuu ukitegemea huruma katika maisha yako utateseka sana. Cha msingi pambana fanya maandaiz vizuri, muombe Mungu wako hakika wakati wako ukifika utapata tu
mfano mtu ni doctor kajishikiza five years na mwingine kafanya intern one year to assume ww ndie utumishi unahitaji mtaalam wa afya utamchukua yupi kati ya hao wawili kuwa mkweli kakaExperience sio competence kaka.
issue sio kisa ni graduate hasipate kazi kuwa na methodology nzuri kupunguza hata watu kurundikana kufanya saili za writtenSasa kama ana uzoefu kwa nn ashindwe written? Yani kisa graduate hana experience ndo asipewe kazi? Are you being fair mkuu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo mana kuna oral, kazi zinafundishika hata huyo asiye na experience akiwa trained vizuri ataweza perform... Cha msingi watu wapambane wavuke written either awe na experience ama asiwe na experience wakutane oral hio ndo fairness.Unaongea nn kijana?zile pepa za utumishi zinapima exprience?au ni notes za darasani umeze ukafaulu
kanuni zao zinasemaje. hawapaswi tangaza nafasi ambazo wataalam hizo nafasi wapo kanzidata. labda wafanye re-advertisement kama hao wataalam walifeli oral woteFikiria kwenye database kuna mtu ana passmark ya 50 halafu umeita interview kuna mwamba kacharaza 90. Hapo utachukua wa database au huyu mpya?
Ukiona hivyo ujue below 50 ilikuhusu.Anza upya jipangeWanasema waliokwisha fanyiwa usaili hawakufikisha vigezo htajika
Ndo knapelekea kuitisha wengine zaidi
Kabla ya kufikiria, kwanini uite interview wakati kuna aliyefaulu tayari yupo kanzidata.Fikiria kwenye database kuna mtu ana passmark ya 50 halafu umeita interview kuna mwamba kacharaza 90. Hapo utachukua wa database au huyu mpya?
mfano mtu ni doctor kajishikiza five years na mwingine kafanya intern one year to assume ww ndie utumishi unahitaji mtaalam wa afya utamchukua yupi kati ya hao wawili kuwa mkweli kaka
Mkuu watu wanaongelea madaktari, wewe unatoa mifano ya wafanya usafi[emoji119]Nitaangalia crteria zote kwa maana ya knowledge, skills, uwezo wa kiakili, urahisi wa kufundishika na kujifunza, compliance kwenye miiko ya udaktari, midnset ya kupanua wigo wa elimu na ujuzi etc. Huwezi kumchukua mtu aliyezoea kufanya kazi business as usual kwa kigezo cha experience ukaacha talented young doctors
Kumbuka, hata ukimchukua muuza bucha ukamuweka hospitali, mwisho wa siku atajua vitu vingi unaweza dhani ni daktari.
Angalia wafanya usafi wengi wa mahospitalini hua wanajua a lot of medical things.
Kama kweli sasa mtu utakosa 50 kweli kwa maswali matano oral uliingiaje kwa mfano mtihani wa uchumi wa oral hata form five eca na egm na hge wanaujibu, maswali ya oral tra yakukosa 50, what is tax compliance, au afisa hesabu what bank reconciliation, payments vouchers, journal , ledger, hapana aisee written ulipitaje???Ukiona hivyo ujue below 50 ilikuhusu.Anza upya jipange
Nani huwa anakagua huko kwenye oral results kujua umepataje na nn kilifanyika??
Yaaan unakuta mtu kapiga oral hadi 3+ kweli jaman
Kla usaili anafanyaga na kufikia oral
Kwanza waanze kupunguza watu walomaliza vyuo miaka ya 2015 huko hadi 2019 kwanza
Watu watazeekea makwao[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
Mkuu watu wanaongelea madaktari, wewe unatoa mifano ya wafanya usafi[emoji119]
Kufaulu sana pia sio kigezo mimi nilifanya usaili wa kada za ustawi wizara ya afya katika usaili niliongoza written kwa kupata 89 Kati ya watu 363 mwaka jana na oral ilikuwa fair sanaNdo mana kuna oral, kazi zinafundishika hata huyo asiye na experience akiwa trained vizuri ataweza perform... Cha msingi watu wapambane wavuke written either awe na experience ama asiwe na experience wakutane oral hio ndo fairness.
Sent using Jamii Forums mobile app