HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Jua kutofautisha kati ya kukariri na kuelewa. Uelewa wa mwanachuo huwezi kuulinganisha na uelewa mtu wa advance
 
Jua kutofautisha kati ya kukariri na kuelewa. Uelewa wa mwanachuo huwezi kuulinganisha na uelewa mtu wa advance
Set ya maswali ya utumishi Oral hayapimi uelewa, ni kukariri kwako tu. Labda uje na hoja nyingine.
 
Hajui anachokiongea sasa unaulizwa what is tax evasion sasa hili swali lina kipimo cha uelewa gani? Aliyelewa na aliyekariri kwa swali hili wote mko sawa

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Hili hili swali katika kujibu kuna ambao watajibu based na definition(wale waliokariri) na kuna ambao watajibu based na uelewa(ambapo siyo lazima iwe definition)
 
Tuliwahi kufanya usalihii chuo kikuu cha sua written tulifanya watu kama 200 hivi oral tukafanya 10 cha ajabu katika 10 hawa hakuna aliyeitwa kazini wakachukua ndugu yao aliyekuwa anajitolea ambaye written alifeli sasa sijui kama kumi bora wote tulikuwa hatuna uelewa alifeli written ndio ana uelewa mpana kuliko wale kumi

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Ndg akushike Mkono kabsa Mmmmmmh kuna muda uwaga tunakubali kukaa kmya tu na Kuacha Mungu atendee Miujiza yake sio kila Shida au Changamoto yako Unaweza iwakilisha Kwa ndg.

Wengine kuiona Hela ya Ndg ni mpaka uwe na Shida ya Msingi na Mara nyingi ni hizi Nauli za Kuja kufanya interview (Lkn piah zisifatane maana ikitokea hivyo utachagua we mwenyewe ipi uache ipi ufanye) utachangisha ndg lkn Hela ni ya Sahili moja wengine ndy Kabsa hata Simu hazipokelewi (tunaonekana ni watu wa shida)
 
Hili hili swali katika kujibu kuna ambao watajibu based na definition(wale waliokariri) na kuna ambao watajibu based na uelewa(ambapo siyo lazima iwe definition)
Hiyo ni kwa upande wako, vipi kwa upande wa panelists, watatoa marks nyingi kwa yule aliyejibu kwa ku-base na definition au kwa huo "uelewa"?
 
Huu mwaka kama nawaona watu wa agro - economic mtakula shavu sana, mliopo database coz nyie n vilaka sehemu nyingiii.

Na Kilimo pia bado kinataka watu wengi sana hizo miradi za kilimo huko vijijini n mingi sana hyo intake ya wizara ya kilimo iliyochukuliwa juzi naona haitoshi.

Nimejaribu kuwaza kwa sauti ni ubashiri wangu, Hebu wewe nipe wako.....
 
Nadhani hakuna tofauti na nilichoeleza hapo, ina maana huyo bwana mdogo ameona hilo na kaamua isiwe shida kaamua kuleft group la familia ambalo halina msaada na kukomaa kivyake huko.
 
Ni kweli watu wa kilimo watakula shavu sana naona database itabeba watu wengi wa kilimo kada zingine sie za post moko moko tuendlee kusali na kuomba
 
Marekebisho kidogo Zanzibar Wana ZRB (Zanzibar Revenue Board) na overseas wao bado ni HQ (TRA ya Mapato House)

Bahati Mby zaidi hicho KiPDF cha Kipemba kilinishangaza Sana. Maana last time(PDF ya April 9 2022) kulikuwa hakuna kitu km hicho sababu Miongoni mwa walioramba Asali wapo walioajiriwa huko Zanzibar (Sijajua Upande wa TMO lkn Custom Officer wapo) .

Mashaka yanakuja PDF la written kutoka nahisi lilitaka watu wote waliofanikiwa kupata Pass Mark Watafanya ORAL interview DODOMA (Japo Sahili za mchujo Kwa wote zilifanyika Kikanda nao Zanzibar walipata nafasi hiyo) km nipo sahihi nahisi hakuna Oral iliyofanyika nje ya Dodoma (,sidhani km znz walifanyia znz) yote 9 kutoa PDF ya Kipemba sio Shida tatizo ni kwanini hakuna Jina la Kikristu kwenye PDF Yao (Swali Je watu waliofanya kutoka Zanzibar wote ni waislamu , Je Zanzibar ni Non Secularism state kitu ambacho sio Kweli 7b kule Piah kuna makanisa)

Na Swali lako la Utofauti Kati ya ZRB na TRA (Upo lkn ni mdg sn na mara nyingi upo Kwenye Baadhi ya tozo ambazo utozwa Zanzibar huku bara hazipo) lkn maslai ya TAASISI na utendaji Kazi wote wapo sawa
 
Sasa kama post hizo ni za wazanzibari jina la kikistru litatoka wapi?au hujui kama majority ya wakazi wa zanzibar ni waislamu?
 
Kwa hiyo ufeli written tukuite kisa unauzoefu 🤣🤣🤣🤣🤣 wa kazi hiyo ebu acheni kupigia Upatu Uzoefu ni kuwanyima fursa Freshers
 
Suala la msingi la kuhoji ni ufafanuliwe kwa nini wanzibari wapewe hizo nafasi wao kama wao na sio habri ya kutoona jina la kikristu...usaili wafanye mkoa uliojaa wamasai alfu uhoji mbona majina yote ni wamasai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…