HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Bongo hii ukiwa nje ya mfumo lazima ujae lawama,upauke kwa msoto. utanyamaza tu pale mambo yameenda upande wako,kijana niseme tu hakuna wakukusikiliza maoni yako kwa sasa endelea kupambana
 
Bongo hii ukiwa nje ya mfumo lazima ujae lawama,upauke kwa msoto. utanyamaza tu pale mambo yameenda upande wako,kijana niseme tu hakuna wakukusikiliza maoni yako kwa sasa endelea kupambana
Kbsa ukiwa nje y mfumo utalaumu mpaka visivyofaa kulaumu ndo wanadamu tulivyo...tupambane tuingie huko kwenye mfumo na kuacha kulia lia ovyo
 
Nadhani hakuna tofauti na nilichoeleza hapo, ina maana huyo bwana mdogo ameona hilo na kaamua isiwe shida kaamua kuleft group la familia ambalo halina msaada na kukomaa kivyake huko.
Upo sahihi unaemtegemea Yeye Hana Mpango na we
 
Kuna mtu humu analaumu hao wanzibari wamepewa hizo nafasi, yeye kaingia kwenye usaili nafsi zipo zaidi ya 25 kashindwa kutoboa sas analaumu hizo nafsi 3 wa wapemba...tuache hizi mambo tupambane
Sidhani km kuna mtu analaumu watu kupata nafasi lkn wangefanya km last time ( ndy unajua wataoenda Zanzibar lkn wachanganye kweny PDF Moja na Majina Yao yakiwemo) ss hii ya kutoka kivyake vyake ndy watu wanadought wkt Usahili walifanya Pmj
 
Bhn kuna wakristu kibao tu wanaishi Zanzibar ndy najiuliza ilikuwa Je kuwa Je
Kuwepo Kwa wakristo Zanzibar, haimanishi kuwa ndio watapata Ajira. Vigezo ni Vingi vinaweza kuwapungunza.
Mchakato wa Ajira si Open sisi kujua kwanini hakuna wakristo kwenye hizo placement.

BTW, nashauri huu mjadala tuuache, si Salama kwa uhai wa Uzi.
Utatutenganisha.
 
Sidhani km kuna mtu analaumu watu kupata nafasi lkn wangefanya km last time ( ndy unajua wataoenda Zanzibar lkn wachanganye kweny PDF Moja na Majina Yao yakiwemo) ss hii ya kutoka kivyake vyake ndy watu wanadought wkt Usahili walifanya Pmj
Ukiona hvyo kuna sababu iliyoplekea so jambo la msingi ni kufuatilia ujue kwa nn wametoa mkeka wa wapemba peke yao
 
Ni wanzibari au wanaishi tu huko?
Yan mtu kazaliwa huko na Kuishi huko unataka tuseme sio Mzanzibari kisa haitwi Juma (Sema 7b za kuzaliwa kule ndy inaweza kuwa n movement za wazazi wake ilo Mi sijui)
 
Ishu sio dini, ishu ni majina kutoka tofauti.

Mchakato wa usaili ukibadilika kunatokea sintofahamu kama hizi.

Vipi kama hao waliopewa hizo nafasi wamepachikwa na sio wale wazanzibar wa mwanzo waliofanya usaili wa oral?
 
Ukiona hvyo kuna sababu iliyoplekea so jambo la msingi ni kufuatilia ujue kwa nn wametoa mkeka wa wapemba peke yao
Yanin Mie kufatilia Mambo ya Kiserikali 🤣🤣🤣 utaratibu ni wao ?
 
Wewe pmbana upate kazi...kazi hazigaiwi kwa misingi ya udini...acha lawama ziszo na kichwa wala miguu
Ndg yng mbn unaenda Mbali sn nikiwa naongea/naandika naongea/naandika Kwa niaba ya Nafasi nyingine sio Mi tena.

Binafsi na pambana kivyangu na wala sijari Lolote nipate nikose Kwangu Sawa tu (Wengine tulishajua uwepo wetu duniani ni kusindikiza wengi waishi)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…