Tatizo watu hawaelewi.Ishu sio dini, ishu ni majina kutoka tofauti.
Mchakato wa usaili ukibadilika kunatokea sintofahamu kama hizi.
Vipi kama hao waliopewa hizo nafasi wamepachikwa na sio wale wazanzibar wa mwanzo waliofanya usaili wa oral?
🤣🤣🤣🤣🤣 Napohisi sio Sawa lzm nizungumze hakuna namnaKaa kwa kutulia bs acha kuhoji hoji
Blessed BroBongo hii ukiwa nje ya mfumo lazima ujae lawama,upauke kwa msoto. utanyamaza tu pale mambo yameenda upande wako,kijana niseme tu hakuna wakukusikiliza maoni yako kwa sasa endelea kupambana
Kua mpole kijana subr keka la database huenda ukapoozeka moyo ukaacha kulalama🤣🤣🤣🤣🤣 Napohisi sio Sawa lzm nizungumze hakuna namna
Keka likonkwenye pipe jiandae mkuu kwa lolote
Mbn Mi nishakubali kuanza Upya toka matokeo yametoka Valentine's Day hiyo database ije km Ajari tu.Kua mpole kijana subr keka la database huenda ukapoozeka moyo ukaacha kulalama
Kauli mbiu ya sekretariet ya ajira ni ielewe kada yako usikariri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hiyo ni kwa upande wako, vipi kwa upande wa panelists, watatoa marks nyingi kwa yule aliyejibu kwa ku-base na definition au kwa huo "uelewa"?
Karibu sana kwenye mapambanoWakuu mimi ni mpya.
Nimehitimu 2021.
Sasa hivi ndio naweza kuomba ajira kupitia PSRS.
Nasubiri zitangazwe za kada yangu.
Nimesoma sehemu kubwa ya thread, nimejifunza mengi.
So nitakuwepo hapa mpaka kieleweke.
Shukuran,Karibu sana kwenye mapambano
Duh majibu magumu japo yana ukwelimsaka ajira mwenzangu,aliwacheki utumishi kwa phonecall wamedai hawafanyi kazi kwa tamko la mtu ama kiongozi fulani. wao wanafata sheria,taratibu na kanuni zilizopo. database kama ipo sawa awe anatembelea page yao huku pia asisite kuomba nafasi hizi zinazo tangazwa.
Hiyo ni kauli mbiu yao tu, walioingia ndani katika oral ukweli wanaujua, uelewa haupimwi kwa sampuli ya maswali ya, "mention five .....Kauli mbiu ya sekretariet ya ajira ni ielewe kada yako usikariri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Oi kuna Kazi za Pump Operator (KOROWASA) umezionaKaribu sana kwenye mapambano
Duh?mbona wanaleta maneno mengi hao...mpaka boss kaongea inamaana kakaa na management...msaka ajira mwenzangu,aliwacheki utumishi kwa phonecall wamedai hawafanyi kazi kwa tamko la mtu ama kiongozi fulani. wao wanafata sheria,taratibu na kanuni zilizopo. database kama ipo sawa awe anatembelea page yao huku pia asisite kuomba nafasi hizi zinazo tangazwa.
Leo nimeliota asee nimeota nakula kitengo sehemu nyeti wanakovaa suti tu.Keka likonkwenye pipe jiandae mkuu kwa lolote
Nitaangalia crteria zote kwa maana ya knowledge, skills, uwezo wa kiakili, urahisi wa kufundishika na kujifunza, compliance kwenye miiko ya udaktari, midnset ya kupanua wigo wa elimu na ujuzi etc. Huwezi kumchukua mtu aliyezoea kufanya kazi business as usual kwa kigezo cha experience ukaacha talented young doctors
Kumbuka, hata ukimchukua muuza bucha ukamuweka hospitali, mwisho wa siku atajua vitu vingi unaweza dhani ni daktari.
Angalia wafanya usafi wengi wa mahospitalini hua wanajua a lot of medical things.
mfano wako ni irrelevant mkuuNitaangalia crteria zote kwa maana ya knowledge, skills, uwezo wa kiakili, urahisi wa kufundishika na kujifunza, compliance kwenye miiko ya udaktari, midnset ya kupanua wigo wa elimu na ujuzi etc. Huwezi kumchukua mtu aliyezoea kufanya kazi business as usual kwa kigezo cha experience ukaacha talented young doctors
Kumbuka, hata ukimchukua muuza bucha ukamuweka hospitali, mwisho wa siku atajua vitu vingi unaweza dhani ni daktari.
Angalia wafanya usafi wengi wa mahospitalini hua wanajua a lot of medical things.
sio aliefeli oral apite aachwe aliefauluKwa hiyo ufeli written tukuite kisa unauzoefu 🤣🤣🤣🤣🤣 wa kazi hiyo ebu acheni kupigia Upatu Uzoefu ni kuwanyima fursa Freshers
🤔🤔Ukijua kutofautisha kati ya SERIKALI YA JAMHURI YA MUUNGANO na SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR utakuwa umetatua tatizo lako kubwa sana.
Huwa nawaza kama una digrii kweli, au una Degrii ya CHUPI.