mfwende sawadogo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 2,466
- 5,674
watu wamepanic balaaHapo uwezi Jua mtu anaweza kuwa Jobless lkn Piah akawa na Stress za Mahusiano plus Shida ya Pesa Akili lzm ikose ufanisi
Tatizo Serikali Yetu 🤔 inaleta mvulugano kwenye vichwa vya Vijanaw
watu wamepanic balaa
database imedatisha wanaaTatizo Serikali Yetu 🤔 inaleta mvulugano kwenye vichwa vya Vijana
Na yenyew inatoka tena haupo mamamaaaaeeeh Unaweza jitia kitanza ukikumbua kuanza Upya mpk Ufike Oraldatabase imedatisha wanaa
Kama hawatatoa watakua wametufanyia psychological torture ya hali ya juu...bora wangekaa kimya kuliko kuongopa kwenye jambo lenye kubeba hisia za wengidatabase imedatisha wanaa
bado una matumaini bro. ?Kama hawatatoa watakua wametufanyia psychological torture ya hali ya juu...bora wangekaa kimya kuliko kuongopa kwenye jambo lenye kubeba hisia za wengi
Bora yenu nyie mna saili 2 sisi wenye 3 yani mpk utoboe tena huko oral daah shughuli nyingine aiseeNa yenyew inatoka tena haupo mamamaaaaeeeh Unaweza jitia kitanza ukikumbua kuanza Upya mpk Ufike Oral
Yapo kwa mbali mkuubado una matumaini bro. ?
Ukiwa 3 upo vyema Kaka si wengine sijui Tulisoma makozi gani Linabagua Post za kuomba.Bora yenu nyie mna saili 2 sisi wenye 3 yani mpk utoboe tena huko oral daah shughuli nyingine aisee
ICT OFFICER GRADE II Ni hatarBora yenu nyie mna saili 2 sisi wenye 3 yani mpk utoboe tena huko oral daah shughuli nyingine aisee
Acha tu bro sio poaICT OFFICER GRADE II Ni hatar
sijui kanzi data itatukumbuka jamanAcha tu bro sio poa
Hahaaaa 😃😃😃😃Watu wamerithi vyeo vya wababe wale malegendary jobless humu waliopata asali juzi kati hapa akina Yakunle na Kyagata , walikuwa watata wale wajomba 😆😆😆😆 🙈🙈🙈🙈 nilikuwa naangalia mizozo humu nacheka sana , argument kidogo tu ugomvi humu siku nzima , ila nadhani asali itawabadilisha ,tuvumiliane tu ni stress za ujobless hizi wakuuwazee ujobless usitupeleke mpaka hatua ya kutukanana. nikweli ajira ngumu ,fursa adimu lkn tujiepushe na matusi ni hayo tuu
Bora kz zingekua zinatoka nyingi mara kwa mara...sas mfano toka ega benjamin watoe system ndo mpk leo mwez wa 6 sjui huko duhsijui kanzi data itatukumbuka jaman
Kuna kada mziki wake mnene...but all in all tukomae t mkuu hamna namna utumishi ndo hawa wamekamia game no wayICT OFFICER GRADE II Ni hatar
Duuuh hakuna aliyechukuliwa hata kanzidata baadaye? Tuna miez tisa bila placement kutoka
yani mwanang acha tu bora wangekua wanachukua wote tulofanya EGA maana interview zile ni pasua kichwaBora kz zingekua zinatoka nyingi mara kwa mara...sas mfano toka ega benjamin watoe system ndo mpk leo mwez wa 6 sjui huko duh
Sema kuna jamaa amemchokoza kamtupia tusi kali kule mwanzoniHapo uwezi Jua mtu anaweza kuwa Jobless lkn Piah akawa na Stress za Mahusiano plus Shida ya Pesa Akili lzm ikose ufanisi
Yah hakuna namna, tumuombe mwenyezi Mungu.Tuwe wapole tu Sisi ni kijisehemu kdg sn kwny Nchi Acha tuwatazame wao wanachofanya
uzoefu atapata kazini kaka.kabisa mtu haiwezekani kamaliza zaman anafanya kazi sehemu labda kajishikiza au private anauzoefu wa miaka kama minne au mitano kazini
anaomba ajira utumishi anaitwa usaili anachinjwa written tu af kuna mtu amemaliza chuo mwaka huo hana hata exposure ya kazi anaitwa huo mwaka na anapata ajiraa
to be honest huyo mtu anakuwa hayupo competent kama huyu mwenye uzoefu wa miaka 4 au 5