Ndio uone vijana tunavyoteswa na serikali yetu watu wanafaulu mitihan hawapati nafasi hadi database inaexpire cha ajabu kila siku kazi zinatangazwaKusema kwamba watu hamna database mmh siamini maana wazr alizngmza wazi kwamba kuna watu 1769 wamo humo database
WanazinguaKijana unatamani uende ofisini kwao ukawazabe vibao. Hahaa
N
Ndio uone vijana tunavyoteswa na serikali yetu watu wanafaulu mitihan hawapati nafasi hadi database inaexpire cha ajabu kila siku kazi zinatangazwa
Kaka punguza hasira 😃.Umesoma kanuni za utumishi au unaropoka Tu.
Kanuni inaelezea hawapaswi kutangaza kazi za Kada ambazo watu walifaulu na wapi database. Na haiwezekani eti database iwe haina watu mfano accountant au HR watu wamepiga pepa wengi wamefika oral unataka kusema wote walifeli. Nini maana ya kanzidata sasa maana kufanyisha interview kila siku ni cost kwa graduate na serikali pia
Ifikie wakati utumishi waanze kutoa notification iwapo mtu atawekwa kwenye database ili kuondoa lawama kama hizi
Mimi nafikiri hata huko database watu wanatofautiana marks. Kwahiyo wote mpo database Ila mmoja ana high marks atachukuliwa huyoUmesoma kanuni za utumishi au unaropoka Tu.
Kanuni inaelezea hawapaswi kutangaza kazi za Kada ambazo watu walifaulu na wapi database. Na haiwezekani eti database iwe haina watu mfano accountant au HR watu wamepiga pepa wengi wamefika oral unataka kusema wote walifeli. Nini maana ya kanzidata sasa maana kufanyisha interview kila siku ni cost kwa graduate na serikali pia
Mfano na mshkaji wangu amepita oral 5 lakin Hana placement hata moja na hawaamini tena utumishi, written nyingine aliongoza oral amefanya vizur tu hajawahi shindwa labda kujibu au niniKaka punguza hasira 😃.
Inatia mashaka kana hizi mambo haiwezkn mtu aingie oral 5 wasimpe kazi hawa jamaa kuna sehemu kuna shidaMfano na mshkaji wangu amepita oral 5 lakin Hana placement hata moja na hawaamini tena utumishi, written nyingine aliongoza oral amefanya vizur tu hajawahi shindwa labda kujibu au nini
Mtu kama huyu utamwambia nini akuelewe na amefanya interview zaidi ya 10 na sio kwamba kwao ni Safi hapana ni kudandia malori tuMfano na mshkaji wangu amepita oral 5 lakin Hana placement hata moja na hawaamini tena utumishi, written nyingine aliongoza oral amefanya vizur tu hajawahi shindwa labda kujibu au nini
Hizi mambo ndio zinafnya tunaanza kutilia mashaka hii michakato ya ajirMfano na mshkaji wangu amepita oral 5 lakin Hana placement hata moja na hawaamini tena utumishi, written nyingine aliongoza oral amefanya vizur tu hajawahi shindwa labda kujibu au nini
Huyu bwana wampe kz aisee sio poa kbsa oral 5 dahMfano na mshkaji wangu amepita oral 5 lakin Hana placement hata moja na hawaamini tena utumishi, written nyingine aliongoza oral amefanya vizur tu hajawahi shindwa labda kujibu au nini
Yan ni huzun na doubts kibao Borea oral matokeo yatoke ajue amefeliHizi mambo ndio zinafnya tunaanza kutilia mashaka hii michakato ya ajir
Labda anafeli oral anashindwa kujua hapo mtihanHuyu bwana wampe kz aisee sio poa kbsa oral 5 dah
Oral 5 ni nyingi bro hata kama hujui kujieleza wao wenyewe wakikuona kwa mara hizo 5 aisee ubinadam inabdi uwapitieLabda anafeli oral anashindwa kujua hapo mtihan
Status hafuatilii Sana maana zinabadilika kila mara
Competition sasa ni kubwa.Oral 5 ni nyingi bro hata kama hujui kujieleza wao wenyewe wakikuona kwa mara hizo 5 aisee ubinadam inabdi uwapitie
Duh hatari hay mkuu acha tuendlee kula mtori nyama tutazikuta chiniCompetition sasa ni kubwa.
Nawaza Kama hizo 5 zote maybe Kuna 1 amefaulu yupo kanzidata, sasa wangekua wanajitahid atleast baada ya miez 3 wanatoa watu kanzidata nyomi ingepungua na labda angepata. Maana ikipita mwaka sijui miez sita record zake zinafutwa
Kuna ishu za Examination mkuu, bila wale waliosomea Uhasibu hutoboi, udanganyifu na ukwepaji wa kodi kupitia Financial statements utakuwa juu, uwepo wa hao watu unapunguza hatari ya udanganyifu.Ukiwa 3 upo vyema Kaka si wengine sijui Tulisoma makozi gani Linabagua Post za kuomba.
Moyon uwaga nawazaga Kimya Kimya
Ilikupunguza Msogamano wa watu kwenye Usahili iwekwe Wazi Kazi ya TMO aombe aliesoma Taxation only Kazi ya Uchumi aombe aliesoma Uchumi iwe hivyo kwenye Kazi zote
Sio unaruhusu wote kuomba arafu Mwingne huko kwingine humruhusu kuomba kiukweli ili no tatzo.
Mfano
Mtu wa Uchimu anaruhusu kuomba Kazi ya Taxation
Lkn Mtu wa Taxation haruhusiwi kuomba Kazi ya Uchumi.
Hapa kuna Sehem uwaga naona haipo Sawa Kabisa.
Wengine tupo nyakati zote ngumu na nyepesiKwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?
- Likaibuka kundi la kutoa muongozo namna ya kujiandaa na kujibu maswali katika mtihano wa mchujo, videdea wakapata kazi, wanapita kwa kuchungulia sasa.
- Limepita kundi la kutoa mbinu namna ya kujibu oral, vinara wakapata kazi, tupo nao kwa uchacje sasa.
- Kumekua na kundi la kujadili status na maana zake baada ya oral, vinala wa mjadala mmoja mmoja wanachomoka.
- Sasa tupo katika mjadala wa mkeka wa sub, keka la database,.... Kila evolution na vinara wake, kitaeleweka.