mazaga one
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 2,603
- 4,190
Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?
- Likaibuka kundi la kutoa muongozo namna ya kujiandaa na kujibu maswali katika mtihano wa mchujo, videdea wakapata kazi, wanapita kwa kuchungulia sasa.
- Limepita kundi la kutoa mbinu namna ya kujibu oral, vinara wakapata kazi, tupo nao kwa uchacje sasa.
- Kumekua na kundi la kujadili status na maana zake baada ya oral, vinala wa mjadala mmoja mmoja wanachomoka.
- Sasa tupo katika mjadala wa mkeka wa sub, keka la database,.... Kila evolution na vinara wake, kitaeleweka.
mm mwenyewe nishawahi kutukanwa humu huwa najiuliza mtu hatujuani anapata wapi ujasiri wa kumtukana mwenzie mana humu kuna watu ni baba au mama wa familia na watoto lkn mtu anamtukana mwenzie kama anamjua sana vilewazee ujobless usitupeleke mpaka hatua ya kutukanana. nikweli ajira ngumu ,fursa adimu lkn tujiepushe na matusi ni hayo tuu
chronic depressionmm mwenyewe nishawahi kutukanwa humu huwa najiuliza mtu hatujuani anapata wapi ujasiri wa kumtukana mwenzie mana humu kuna watu ni baba au mama wa familia na watoto lkn mtu anamtukana mwenzie kama anamjua sana vile
tunakuwa kama watu wa vilabuni wakati humu ni watu wenye focus zao kabisa
Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?
- Likaibuka kundi la kutoa muongozo namna ya kujiandaa na kujibu maswali katika mtihano wa mchujo, videdea wakapata kazi, wanapita kwa kuchungulia sasa.
- Limepita kundi la kutoa mbinu namna ya kujibu oral, vinara wakapata kazi, tupo nao kwa uchacje sasa.
- Kumekua na kundi la kujadili status na maana zake baada ya oral, vinala wa mjadala mmoja mmoja wanachomoka.
- Sasa tupo katika mjadala wa mkeka wa sub, keka la database,.... Kila evolution na vinara wake, kitaeleweka.
Tulia mzee kz ushapata wenge la nini sasa mkuuTRA waite tu watu kwa ajili ya training jamanii dah
Mkuu kama bado unazo received, komaa na maandalizi kipindi hiki.Wengine hata hatujawahi toboa written lakin tunaamini one day
Hadi nyie mnalia jamanTRA waite tu watu kwa ajili ya training jamanii dah
Humu n mwendo wa wenge tuhh...Tulia mzee kz ushapata wenge la nini sasa mkuu
Hawana shukrani watu kama hawa....na wakae benchi mpk wajifunze kuacha wengeHadi nyie mnalia jaman
Zihurumieni basi hata zile pongezi zetu kwenu za mirija ya asali kufunguka!
Asali huondoa makasiriko haha mtu unarudi kwenye fomu ya sawa ukipata mrijaHumu n mwendo wa wenge tuhh...
Wengi wana wenge la placement za November, Wengi tuna wenge la database, wengine wenge la Status...
In short jobless n mtu wa wenge tuh, ndo maana wadau wakipata vitengo wanaanza kuwa na maneno ya hekima, hasira zinapungua, wanaanza kutoa comments za motivation,
Humu hakuna mtu aliyepata kitengo akaendelea kuwa na makasiriko
😃😃Hawana shukrani watu kama hawa....na wakae benchi mpk wajifunze kuacha wenge
Labda hawatoshi mkuu...mana muongozo unasema usaili utaitishwa ikiwa kanzi data haina watu au watu wapo ila kwa idadi pungufuKuna tangazo naliona
Watu mbalimbali wameitwa
Yaaan ukijaribu kutafakari kwa undani kwenye kanzidata hawakosekani ila zmetangazwa nafasi lukuki tu[emoji2357][emoji2357][emoji2357][emoji2357]
Yeah Ila nasubiria mke wangu apate placement anipe nauli mamb magumu kinomaMkuu kama bado unazo received, komaa na maandalizi kipindi hiki.
Mhhhh mfano mdogo wakemia wapo kama wote hukoLabda hawatoshi mkuu...mana muongozo unasema usaili utaitishwa ikiwa kanzi data haina watu au watu wapo ila kwa idadi pungufu
Hahaha pole sn mkuu kikubwa fanya maandalizi mapemaYeah Ila nasubiria mke wangu apate placement anipe nauli mamb magumu kinoma
Wewe endelea kujiandaa,hakuna miujizA kuingia Oral, zaidi ya kujiandaa vizuri kabla, epuka maandalizi zima moto, fahamu tu wakiita kwa oral ni siku tano tu.Yeah Ila nasubiria mke wangu apate placement anipe nauli mamb magumu kinoma
Unazingua asa ushapata Kaz unalalamika nini hujui unatukumbusha machungu tuliokandwaTRA waite tu watu kwa ajili ya training jamanii dah