INSIDER MAN
JF-Expert Member
- Nov 7, 2018
- 2,057
- 20,963
Ukiwa TRA ndio utajua waliosomea Uhasibu ndio muhimu zaidi ya hao waliotoka ITA.
Fahamu kuwa kila eintity huwa inaandaa financial statement mbili, moja for general purposes ingine for tax purpose only, hizo zote huandaliwa na muhasibu, acha mbwembwe wewe.Accounts unasoma Tax kama course, mtu wa Tax toka 1st year anasoma tax utamshinda kwenye masuala ya examination na audit ila kwenye investigation anakuacha mbali. Mtu wa Tax yuko deep zaidi kuliko aliyesoma accounts.
Sawa Ghomein Ayatollah 👍Fahamu kuwa kila eintity huwa inaandaa financial statement mbili, moja for general purposes ingine for tax purpose only, hizo zote huandaliwa na muhasibu, acha mbwembwe wewe.
Wewe kama hautaki kazi serikalini au hauko tayari kushindana, kausha. Haina maana ya kuhitaji huruma katika hili. Nafasi 2, shortlist 2000+ na watu wanaenda, nini watu 200+?Hv kweli nafasi inahtaji watu wawili
Halaf pale znawekwa kozi za watu wa kada tofauti.....unatarajia nn hapo??
Yaaan nafasi za watu wawili kada kama nne tofauti......si ndo kuita watu 200 kwa nafasi ya watu wawili
Hii inapelekea wale wakongwe ...wenye miaka 5+ kutojishughulisha na kuomba kazi ya namna hii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we jidanganye hivyo hivyoAccounts unasoma Tax kama course, mtu wa Tax toka 1st year anasoma tax utamshinda kwenye masuala ya examination na audit ila kwenye investigation anakuacha mbali. Mtu wa Tax yuko deep zaidi kuliko aliyesoma accounts.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we jidanganye hivyo hivyo
Wewe ndio nitumie maana umeanza kuogelea dimbwi kabla yanguNitumie link ya uzii wa subaru kaka, unaposhindaa siku izii.
Unajua kila mwaka tunatoa sheria mpya za kodi?Aliyesoma Tax yuko deep zaidi kuliko aliyesoma Accounts. Kwenye masuala ya kodi.
Mkuu, acha kujidanganya. Futa kabisa hiyo "notion"Aliyesoma Tax yuko deep zaidi kuliko aliyesoma Accounts. Kwenye masuala ya kodi.
Lakini hatujawahi kuona pdf yao zaidi ya kuona re-advertiseMbona kanuni zinasema ipo kanzidata ya wakufunzi passmark 70+
Ebu lete na caption/intro ya pdf ya WakufunziOrodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi
baada ya nafasi kupatikana.[emoji23][emoji174]
Hivi private huwaga kuna matokeo kuwekwa wazi?Matokeo ya oral yaanikwe wazi ,pia na notification za mtu kuwekwa data base zianikwe ili ijulikane kama mtu yuko data base au hamna nadhani hii itakuwa ni jambo la maana sana hata kama watajichelewezha huko mtu kwa mfano ukijua uko data base au imefaulu oral kwa kiwango kipi unakuwa na amani hata kuendelea na ishu nyingine ,unajua ni suala la muda before wakupangie kazi
utumishi wanajitahidi sana kufanya kazi lkn kuna maeneo yanahitaji maboresho kiukwel hasa hilo suala la kurundika watu wengi kwenye saili za mchujo mm bado sili hafiki sana kiukweliHv kweli nafasi inahtaji watu wawili
Halaf pale znawekwa kozi za watu wa kada tofauti.....unatarajia nn hapo??
Yaaan nafasi za watu wawili kada kama nne tofauti......si ndo kuita watu 200 kwa nafasi ya watu wawili
Hii inapelekea wale wakongwe ...wenye miaka 5+ kutojishughulisha na kuomba kazi ya namna hii
Kwa uzoefu watu hao 200 wachache sana.Hv kweli nafasi inahtaji watu wawili
Halaf pale znawekwa kozi za watu wa kada tofauti.....unatarajia nn hapo??
Yaaan nafasi za watu wawili kada kama nne tofauti......si ndo kuita watu 200 kwa nafasi ya watu wawili
Hii inapelekea wale wakongwe ...wenye miaka 5+ kutojishughulisha na kuomba kazi ya namna hii
Hamna ,kule mara nyingi Kwanza hasa bongo hapa interviews huwa ni general unagongwa written na oral hapo hapo ,hizo ni zile za kufanya interview physically , interview mseto hizo , ingawa kwa njia ya mtandao hawa NGOs na makampuni sikuhizi interview maswali ni oral Tu tena kwa mtandao kama ni zoom au Skype.Hivi private huwaga kuna matokeo kuwekwa wazi?