HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Duuuh huwa nasikia tu connection ila duuuh siamini maana huyo mtu akushikilie kuanzia written hadi oral kazi sana.japo kweli kuna watu unaona kabisa huyu alishikiliwa kufika pale sio yy
 
Ukiwa unatumia vpn web yao una i access mda wote,ila sijaona placement mpya!wla data base
 
Mmmmh kwa uelewa wangu japo sio deep sana nafikiri utumishi hawahusiki na suala la kulipa watumishi mishahara kwabhiyo ishu ya ucheleweshwaji wa ajira inawezekana hata mlipaji ambae ni hazina anahusika na kibali cha kupitisha budget ya mishahara nafikiri kinatoka kwa General Secretay wa ikulu hadi rais alidhie pia hapo kwenye hiyo chain

Taasisi hazijazuiliwa kutangaza bali zinaajiri lkn in contract terms na wanalipa wao kama taasisi

Tata za kudumu ukisema taasisi iajiri kama hamna hela ya kuwalipa mshahara kutoka hazina watu watachelewa tu kupangiwa viruo vya kazi

Hitimisho Sekretarieti ya Ajira iendelee tu maana kwenye ma taasisi kuna vituko sana wanaajili kwa kuangaliana ndugu wa watumishi mule mule ndani ya taasisi either inaweza kuwa watu wa dini flan au kabila flan ambayo ni hatari sana hiyo.
 
Haya na ww tukuulize swali mfano ngorongoro au TANAPA wametangaza ajira mtoto wa maskin au mkulima kutoka mtwara lindi au mbeya atapata wapi nauli ya kusafiri kwwnda hadi makao makuu ya hizo taasisi huko arusha?

Nimekaa pale nasubiria jibu lako
 
Duuuh huwa nasikia tu connection ila duuuh siamini maana huyo mtu akushikilie kuanzia written hadi oral kazi sana.japo kweli kuna watu unaona kabisa huyu alishikiliwa kufika pale sio yy
Ipo ndugu chamsingi unaambiwa uvuke kizingiti cha written tu. Ingawa siyo kwa ukubwa ambao utakuwepo tukienda kwenye huo mfumo mwingine ndiyo ambapo akina sisi tutaumia na kupigika sana bora tubaki hukuhuku tu maana hata matangazo ya kazi hatutayaona kabisa.
 
haya na ww tukuulize swali mfano ngorongoro au TANAPA wametangaza ajira mtoto wa maskin au mkulima kutoka mtwara lindi au mbeya atapata wapi nauli ya kusafiri kwwnda hadi makao makuu ya hizo taasisi huko arusha??

nmekaa pale nasubiria jibu lako
Maombi yanatumwa kwa njia ya posta au barua pepe. Wakikuitaji wanakuita kwa ajili ya maojiano.

Hakuna muda wa kupoteza mara written, practical, oral , alafu hakuna kitu
 
Sio kweli , kama huna ndugu aliyesoma fani hiyo utaweza kumuweka .

Na ukumbuke taasisi na mashirika zinazo bodi zinazo hakikisha Kila kitu Kiko sawa
 
Kwani unaweza kutokea kwenye placement bila haujapigiwa simu au kutumiwa message
Ndio mpaka itokee , mpaka Raisi aongee ndio utaona placement zinatolewa kiroo mbaya , database za kuokotaokota
 
Ndio mpaka itokee , mpaka Raisi aongee ndio utaona placement zinatolewa kiroo mbaya , database za kuokotaokota
Ase hapo ni Kazi Ila nahisi wanatoa taarifa kable au baada ya kutoa PDF ya placement
 
Anataka kuturudisha enzi za
Mkurugenzi- Shayo
Meneja - Mushi
Muhasibu-Tesha
HR- Shirima

Watu wanatangaziwa nafasi za kazi kabla hazijatoka zikitoka inakuwa geresha tu. Mimi namfahamu dogo tulikuwa nae UDSM yeye alipomaliza Form six akaanza kufanya kazi TANAPA kama volunteer lakini analipwa baba yake alikuwa Top layer huko TANAPA. Alipomaliza tu chuo kaajiriwa huko huko. UTUMISHI IDUMU MILELE sasa hivi mtoto wa masikini anaweza kuingia TRA
 
Kukosa ajira kusikie tu kwa mtu akijisemesha, unaweza ona dunia si sehemu salama ya kuishi, hawa UTUMISHI nafasi wanatangaza sawa,ila kupata bdo kiiza nene ila hatukati tamaa coz hatuna options.

Wengi wetu utasikia, namfahamu jamaa yangu kapata kazi utumishi bila connection!! mkuu how sure you are?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…