hamna ww utakua una ndugu yako kwenye hizo taasisi ila hana connecrion utumishi ndio mana unalalamikia sana suala la utumishi kuzipa vibali taasisi zi ajiri ajira za kudumu zenyeweNjia ipo nayo ni
Rais wetu mpenda haki aruhusu TU taasisi na mashirika, wafanye saili wenyewe.
Utokaa ulalamike Tena kwenye huu uzi
N/W wa utumish hv ni mtot wa nan vile?[emoji2357][emoji2357][emoji2357]yaan kabisa na ww unafurahia aona hiyo ya methodology????
kwaio mzee anamuweka mtoto wake.mtoto wake nae atamuweka mtoto wake.bro utumishi wa umma sio kama familia ya malkia elizabeth
inahusiana vipi na unachotaka kukiwasilisha hapa fafanua ujibiwe vizuriN/W wa utumish hv ni mtot wa nan vile?[emoji2357][emoji2357][emoji2357]
Acha uoga mkuuMkuu usiturudishe kuzimu
Mbona hizi 👆 rushwa zipo utumishi mpaka Sasa ivi , Sema zinafanyika kwa usiri sana . Na nyie wakandaji hili mnalifahamu fikanaamin unatambua kuhusu mana ya rushwa mfano mm ninaweza kuwa sina ndugu ila kama nimtumishi wa EWURA na wametangaza kazi watakujabwatu tu lazima kunishawishi kwa sababu nipo EWURA niwataftie tobo kwa gharama tutayokuliana ukizngatia uwezo huo labda ninao wa kuwaconnect.
Watu wameingia oral TRA wana majibu yote
Bro nadhani zaidi ya 90% waliopita TRA wamepambana kwenye sailiWatu wameingia oral TRA wana majibu yote
Sasa ungekuwa wewe ndio baba wa uyo mtoto ungekubali mtoto wako aangaike kitaa , ni vile TU nyie vijana wa juzi hamna exposure, subiri makae kidogo mtajua ukweli wa mambo ukojeyaan kabisa na ww unafurahia aona hiyo ya methodology????
kwaio mzee anamuweka mtoto wake.mtoto wake nae atamuweka mtoto wake.bro utumishi wa umma sio kama familia ya malkia elizabeth
Unadhani 😂Bro nadhani zaidi ya 90% waliopita TRA wamepambana kwenye saili
kila nafsi ni yenye kujijuaUnadhani 😂
Kipindi Cha jk , maisha ya mtanzania yalikuwa na maana sana. Vijana walikuwa wanapata job kirahisi TU.Mkuu usiturudishe kuzimu
Utumishi Wana jitahidi kutenda Haki .kila nafsi ni yenye kujijua
Na uo Ndio ukweli mchungu ,Isje ikawa na sisi wa Nov 28 tutasubiri hadi mwaka[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yah hii ni fact mkuuUtumishi Wana jitahidi kutenda Haki .
Lakini Wana kabiliwa na mzigo mkubwa wa majukumu, kumbuka utumishi nao Wana upungufu wa wafanyakazi ,Sema wanajikaza wako fit kumbe wameelemewa na mzigo wa kazi
He's not surekila nafsi ni yenye kujijua
I am sureHe's not sure
Mwanafalsafa ni mtoto wa nani .Ndo maana memwambia kuhus N/W wa huko ni mtot wa nan?
Aliye nacho aongezewe tu
Kuna familia ni royal family.....
Mzee aliwah kuw mkulu....mtot wazir[emoji817]
MmmmmmhWatu wameingia oral TRA wana majibu yote
ukiwa boss una ndugu au mtoto ana shida ya ajira utamuacha?yaan kabisa na ww unafurahia aona hiyo ya methodology????
kwaio mzee anamuweka mtoto wake.mtoto wake nae atamuweka mtoto wake.bro utumishi wa umma sio kama familia ya malkia elizabeth
Usishangae uo Ndio ukweriMmmmmmh