Hivi nps oral waliuliza maswali ganiUmegusia hoja mbili kwa wakati mmoja.
1. Kuwa hakuna database
2. Hakuna anayejua kama yupo database
While hoja ya 2 ni kweli kuwa hakuna anayejua kama yupo database...ila hoja ya 1 si ya kweli kwa maana database (kanzi data) ipo na wengi tu wameshaajiriwa toka huko.
Yaani ile unapata taarifa kuwa umepangwa taasisi fulani na hukuwahi kuomba kazi taasisi hiyo wala kufanya usaili wao. Au ukaitwa taasisi uliyofanyia usaili baada ya muda kupita wenzako wakiwa wamesharipoti makazini..Jambo hili ni la kweli wala halihitaji mabishano
Hiyo ya kusema taasisi na wafanye sahili wenyewe unataka wewe.Utumishi wameelemewa na mzigo wa majukumu.
Na ndio maana tunataka taasisi na mashirika wafanye saili wenyewe..
Wala amtapoteza muda wakuja huku kujitetea
Ili kupunguza hiyo work load kwa nini suluhisho isiwe ni kuiboresha PSRS? Au kupunguza hiyo milolongo ya hatua mbalimbali huko huko serikalini...?We Mzee upo kwenye system lakini bado unajizima data. Haya mambo unayosema bado yanafanyika utumishi na amna kitu mnaweza fanya.
Tunacholala SS ni bureaucracy ya utumishi .
Kwa kuwa wameelemewa na mzigo mkubwa wa majukumu, kwa sababu utumishi wenyewe Wana upungufu wa wafanyakazi.
Na ndio maana tunataka taasisi na mashirika wafanye saili wenyewe.ili kupunguza workload utumishi,
Lakn mim najiuliza mpka wanaita watu kwenye usaili inamaanisha wameshajipanga kwa kila kitu kuanzia mchakto mzima wa usaili,mishahra na mengineyo sas why mtu akae miezi mpk 3 mi 4 anasbria plecement?au ndo mazoea ya nchi yetu?Ili kupunguza hiyo work load kwa nini suluhisho isiwe ni kuiboresha PSRS? Au kupunguza hiyo milolongo ya hatua mbalimbali huko huko serikalini...?
Najaribu kuwaza kuwa yaani utumishi wanawezaje tu for no reason wakae muda mrefu na majina ya watu wanaostahili kupangiwa vituo vya kazi?
Kwamba wanahitaji miezi kadhaa kufanya internal process zao?
Nachojua ni kuwa mchakato wa ajira unahusisha mamlaka mbalimbali...movement ya kutoka mamlaka moja kwenda nyingine ndiyo inaweza kuleta kuchelewa.
Najiuliza kama hawa wanaosubiri placements kwa zaidi ya miezi 6...kwamba utumishi ndiyo wanakwamisha mchakato wa wao kupewa vituo vya kazi? kwamba wamekaa na majina ya hao watu for no reason at all na hawataki kuyatoa..!
Ukisema mashirika, wizara na wakala wa serikali waajiri wenyewe ili kupunguza workload Utumishi...hapa tutakuwa tunarudi kule kule kwenye ukiritimba na connections ambazo mtoto wa masikini nafasi ya yeye kutoboa inakuwa ngumu.
kumbuka kuwa kila shirika, executive agency, wizara, LGA etc. kuna watu huko wanaojuana wao kwa wao kwanza kabla ya outsiders. Wataweka watu wao kabla ya wa nje kwani mamlaka ya kuajiri ni yao.
Chance za kupita wewe usiyemjua mtu huko wanakoajiri ni ndogo sana. Psrs kwa kiwango fulani inasaidia watu wasio na connections wapate ajira...kama wana mapungufu yaboreshwe.
Au tatizo lipo kwa watendaji kutotimiza wajibu wao kwa wakati?Lakn mim najiuliza mpka wanaita watu kwenye usaili inamaanisha wameshajipanga kwa kila kitu kuanzia mchakto mzima wa usaili,mishahra na mengineyo sas why mtu akae miezi mpk 3 mi 4 anasbria plecement?au ndo mazoea ya nchi yetu?
Mwmabie vijna tunsubiria keka la database aliachilieNgoja nimsalimie bwana H.O KITENGE kidogo online
Mwambie akumbuke jina langu katika makabrashaaa yake,Ngoja nimsalimie bwana H.O KITENGE kidogo online
Vijana kuweni na subraMwmabie vijna tunsubiria keka la database aliachilie
Ndani ya saa 24 kutoka sasa inakuja PDF yenye upana mkubwaMwambie akumbuke jina langu katika makabrashaaa yake,
Kijanaaa, wake sina jamboooo kabisa
Huna janini??Mwambie akumbuke jina langu katika makabrashaaa yake,
Kijanaaa, wake sina jamboooo kabisa
Hata mim naamini hilo kwmba leo mpk kesho pdf zito litaachiwa lenye majina mengi kutoka database na wale jamaa zetu wa nov watatolewaNdani ya saa 24 kutoka sasa inakuja PDF yenye upana mkubwa
Tule asali au sioHata mim naamini hilo kwmba leo mpk kesho pdf zito litaachiwa lenye majina mengi kutoka database na wale jamaa zetu wa nov watatolewa
Sina jambo...Huna janini??
Tule tu wengi wa kutosha jobless hawaishi watkuja wengine kuendeleza uziTule asali au sio
Sema tukila wengi asali humu nani atakuwa anapachangamsha?
Iwe hvyo, yaan kwa hali ya sasa vijana tunaoamini database tupo tayari kwa lolote hata TSG D tunaishii nayooo...Ndani ya saa 24 kutoka sasa inakuja PDF yenye upana mkubwa
Kbsa aisee kikubwa ajira kwnz hayo ya mshahara baadaeIwe hvyo, yaan kwa hali ya sasa vijana tunaoamini database tupo tayari kwa lolote hata TSG D tunaishii nayooo...
Hivi Una ndg huko Taasisi Binafsi mbn umekomalia sn huko Bila Kujari Hali ya Sisi ambao tunategemea Mungu Pekee hatuna ndg yoyote ambae anaweza sema Kwa niaba yetuWe Mzee upo kwenye system lakini bado unajizima data. Haya mambo unayosema bado yanafanyika utumishi na amna kitu mnaweza fanya.
Tunacholala SS ni bureaucracy ya utumishi .
Kwa kuwa wameelemewa na mzigo mkubwa wa majukumu, kwa sababu utumishi wenyewe Wana upungufu wa wafanyakazi.
Na ndio maana tunataka taasisi na mashirika wafanye saili wenyewe.ili kupunguza workload utumishi,