Kwan kabla ya 2015 watu wasokuwa na connection walkuwa hawaajiriki? Yaaani kulkuwa na malalamiko mengi kama ilivyo sasa?Hivi Una ndg huko Taasisi Binafsi mbn umekomalia sn huko Bila Kujari Hali ya Sisi ambao tunategemea Mungu Pekee hatuna ndg yoyote ambae anaweza sema Kwa niaba yetu
Cha Muhimu PSRS waendelee na Jukumu Lao Wanamsaada Mkubwa sn Kucheleweshwa Kwa Placements ni kitu kdg tu madamu mlifanya interview mlishamaliza Majukumu Yenu Kwa Asilimia 90%
Sina Imani na Taasisi Binafsi kufanya Interview zake wenyewe naona kutakuwa na nafasi za mjuano Kwa kiasi kikubwa sn kitu kitachotunyima Raha si Watoto wa Wakulima zaidi ya Jembe hakuna anaetujua
Tuishi kwa imani mzee na subira pdf IPOO mkuu ni suala la muda tuMm binafsi siamin Kama Kuna database na Kama ipo kwa Nini wazir aseme afu hatuon kitu huwez kusema watu wote wametoka database kwa placements zilizotoka nooooo!!!
Pdf la database i meanTuishi kwa imani mzee na subira pdf IPOO mkuu ni suala la muda tu
And I hope i will be among watakuja kutoa ushuhuda hapa wa kulamba asali π€Pdf la database i mean
Mi nakuombea sana mkuu utoboe uko positive sana.And I hope i will be among watakuja kutoa ushuhuda hapa wa kulamba asali [emoji847]
Amiin kiongozi...sote pia tufanikiwe katika mapambano yetu ya kusaka ajira π€²
Oi nimeshuhudia Jobless (Mwalimu wng mwenyewe) kiuhalisia wa Muonekano wake uliakisi Maisha yake halisi na alikuwa na ufaulu nzuri na ana CPA Piah lkn hakuwai kupata Kazi (Before Utumishi) na alijitolea kuwa Mwalimu wa Masomo ya Biashara Advance baada ya kukataa tamaaKwan kabla ya 2015 watu wasokuwa na connection walkuwa hawaajiriki?
Yaaan kulkuwa na malalamiko mengi kama ilivyo sasa??
Maana hadi miaka hyo mashirika ya umma yalkuwa na uwezo huo na mambo yalkuwa poa tu na ajira zilitoka mno...matatzo yalianza mara tu baada ya kurundika watu mtaan halaf ajira nyingi zlipoanza kupitia utumishi
TGS D mtapata ila msiwadai rushwa wananchi wahudumieni kwa welediIwe hvyo, yaan kwa hali ya sasa vijana tunaoamini database tupo tayari kwa lolote hata TSG D tunaishii nayooo...
Usikute kwenye database hiyo idadi ya watu 1700+ hawafiki, Hivyo PSRS Wanavuta vuta muda na watu waliofanya hizi saili za karibuni kuja kujaziliza hizo nafasi.Mm binafsi siamin Kama Kuna database na Kama ipo kwa Nini wazir aseme afu hatuon kitu huwez kusema watu wote wametoka database kwa placements zilizotoka nooooo!!!
shida ni je hzo nafasi 1700+zipo kwenye mataasisi au hazipo?Usikute kwenye database hiyo idadi ya watu 1700+ hawalifiki, Hivyo PSRS Wanavuta vuta muda na watu waliofanya hizi saili za karibuni kuna kujaziliza hizo nafasi.
Watu 1700+ ni nyomi la watu tulisichukulie poa...
Nawaza kwa sauti.
Na wewe mbona una itetea PSRS,Hivi Una ndg huko Taasisi Binafsi mbn umekomalia sn huko Bila Kujari Hali ya Sisi ambao tunategemea Mungu Pekee hatuna ndg yoyote ambae anaweza sema Kwa niaba yetu
Cha Muhimu PSRS waendelee na Jukumu Lao Wanamsaada Mkubwa sn Kucheleweshwa Kwa Placements ni kitu kdg tu madamu mlifanya interview mlishamaliza Majukumu Yenu Kwa Asilimia 90%
Sina Imani na Taasisi Binafsi kufanya Interview zake wenyewe naona kutakuwa na nafasi za mjuano Kwa kiasi kikubwa sn kitu kitachotunyima Raha si Watoto wa Wakulima zaidi ya Jembe hakuna anaetujua
Hizo zipo ndo maana mama Jenista akazisema,shida ni je hzo nafasi 1700+zipo kwenye mataasisi au hazipo?
ngoja tusubiri na tuombe mungu pia asaidieHizo zipo ndo maana mama Jenista akazisema,
Coz kwa logic ya kawaida kwani yeye atapata manufaa gani kutupanga wasakatonge??
Kwani uwezo wa kukaa kimya bila kusema chochote alikuwa nao kabisa.
Post 1700 kwa serkali ni chache sn kk labda tu waamue vinginevyoshida ni je hzo nafasi 1700+zipo kwenye mataasisi au hazipo?
Weka Wazi anaweza kutoboa wapi km PSRS mifano ni mingi sanaNa wewe mbona una itetea PSRS,
PSRS wanajitahidi kufanya kazi kwa bidii na weledi lakini mzigo mpe mnyamwezi
PSRS~{wameelemewa na kazi}+{bureaucracy}
= Majobless vilio.β
Acheni kujificha kwenye kivuli Cha kusema kua mnasaidia watoto wa wakulima masikini.
Hii kauli Naona mnaitumia sana
Hakuna mtoto wa masikini anaeweza kutoboa
Kikubwa mrija wa asali ufungukeTGS D mtapata ila msiwadai rushwa wananchi wahudumieni kwa weledi
Sasa Ili TATIZO la PSRS kuzidiwa na majukumu si mnalijua na ni la muda mrefu , mmefanya nn kupunguza Hilo TATIZO , usitake kujipakaza matope aisee.Ili kupunguza hiyo work load kwa nini suluhisho isiwe ni kuiboresha PSRS? Au kupunguza hiyo milolongo ya hatua mbalimbali huko huko serikalini...?
Najaribu kuwaza kuwa yaani utumishi wanawezaje tu for no reason wakae muda mrefu na majina ya watu wanaostahili kupangiwa vituo vya kazi?
Kwamba wanahitaji miezi kadhaa kufanya internal process zao?
Nachojua ni kuwa mchakato wa ajira unahusisha mamlaka mbalimbali...movement ya kutoka mamlaka moja kwenda nyingine ndiyo inaweza kuleta kuchelewa.
Najiuliza kama hawa wanaosubiri placements kwa zaidi ya miezi 6...kwamba utumishi ndiyo wanakwamisha mchakato wa wao kupewa vituo vya kazi? kwamba wamekaa na majina ya hao watu for no reason at all na hawataki kuyatoa..!
Ukisema mashirika, wizara na wakala wa serikali waajiri wenyewe ili kupunguza workload Utumishi...hapa tutakuwa tunarudi kule kule kwenye ukiritimba na connections ambazo mtoto wa masikini nafasi ya yeye kutoboa inakuwa ngumu.
kumbuka kuwa kila shirika, executive agency, wizara, LGA etc. kuna watu huko wanaojuana wao kwa wao kwanza kabla ya outsiders. Wataweka watu wao kabla ya wa nje kwani mamlaka ya kuajiri ni yao.
Chance za kupita wewe usiyemjua mtu huko wanakoajiri ni ndogo sana. Psrs kwa kiwango fulani inasaidia watu wasio na connections wapate ajira...kama wana mapungufu yaboreshwe.
Taasisi na mashirika wakifanya usaili wenyewe atapata TUWeka Wazi anaweza kutoboa wapi km PSRS mifano ni mingi sana
Wewe ni mkandaji π toka kitambo, na sio kwamba eti ukipata job kupitia utumishi hii ya mlolongo mrefu,Hiyo ya kusema taasisi na wafanye sahili wenyewe unataka wewe.
Mimi kama mmoja wa tuliopata mrija huku sekretarieti tunataka system ibaki kama ilivyo, maana watt wa maskini pia tunaona kabisa tunapata nafasi ofisi zenye asali ya kutosha.
Kama Bado unapambania kombe, kula sana msuli uwe unapita mchujo, jiandae vizuri oral na usisahau kumuomba MUNGU wako akusimamie, nafasi Yako itakuja tu.
Suala la taasisi ziajiri zenyewe ni BIG NO, humu najua Kuna wengi wenye ushuhuda wa kupata nafasi ofisi ambazo najua waliokuwa wanaona kama ni ndoto kuingia, lakini shukrani zao ziiendee Sekretariet
Nafasi yake ni ndg snTaasisi na mashirika wakifanya usaili wenyewe atapata TU