Kama database ingekuwepo basi baada ya kufanya oral kwenye system ingeonyesha kama upo kwenye database au umekosa.Mm binafsi siamin Kama Kuna database na Kama ipo kwa Nini wazir aseme afu hatuon kitu huwez kusema watu wote wametoka database kwa placements zilizotoka nooooo!!!
Mfano shirika la ndege linahitaji wafanyakazi kadhaa.Nafasi yake ni ndg sn
Waambie aisee, Hawa vijana TATIZO wanaliona, ila wanaamua kukaza kichwa TU,Kwan kabla ya 2015 watu wasokuwa na connection walkuwa hawaajiriki?
Yaaan kulkuwa na malalamiko mengi kama ilivyo sasa??
Maana hadi miaka hyo mashirika ya umma yalkuwa na uwezo huo na mambo yalkuwa poa tu na ajira zilitoka mno...matatzo yalianza mara tu baada ya kurundika watu mtaan halaf ajira nyingi zlipoanza kupitia utumishi
Yaani muajiria amruhusu psrs kutoa tangazo la ajira June, ifike November amruhusu aitishe usahili, wa written na oral, ichelewe placement mje mseme huyo mwajiri hawahitaji hao "ajira mpya", kuweni serious kidogo mnapoleta hoja humu.
[/QUOT😆😆😆 ,Ndio maana Kuna jamaa kawauliza hawa watu kuna mtu alishaomba na kupata ajira za mkatabaGuys tusipotoshane japo utumishi kuna urasimu mwingi lkn mchakato wao sa sahili upo 90% fair. Taasisi zikianza kuajiri zenyew hizo ajira tutazisikia kweny bombaUna mbuyu wa kukupigania kupata kazi huo mfumo ukirudishwa huko kwenye taasisi za serikali ndugu ? ,Tusijekulaumiana tena ,maana wabongo huwa hatuthamini kitu mpaka kikiondokaMfano shirika la ndege linahitaji wafanyakazi kadhaa.
Eg.Airplane maintenance 10.
Ivi shirika la ndege linaweza kuweka watu ambao hawajasomea hiyo fani, kisa ndugu.
Na ukumbuke cv za waombaji zinapitishwa kwenye bodi kwa uhakiki zaidi.
Uo mtazami wenu ufikirieni Tena ni majanga kwa taifa letu
Naunga mkono hoja, Utumishi waendelee ingawa wana mapungufu yao pia.Utumishi wana mapungufu ila kurudisha ajira kwenye taasisi is a big mistake.
Mfano, taasisi nyingi zinaajiri on contractual terms kwa kutumia bajeti za ndani na asili wanafanya wenyewe kila leo lakini nani humu amepata??
TBS wanatoa internship kila mwaka, nani amepata humu??
Acheni utumishi waendelee na hiyo kazi. Hata kama huna connection, kunachokubeba ni uwezo wakoView attachment 2535523
Hahahaaa.Niamini mimi, ukipata mrija utafuta hii kauli[emoji23]
Patience, patience is key
Nimeona Kwa Maandishi yako kuna sehemu hakupo Sawa km sio Stress za Mapenzi bhs ni Mawazo ya Ujobless.Mfano shirika la ndege linahitaji wafanyakazi kadhaa.
Eg.Airplane maintenance 10.
Ivi shirika la ndege linaweza kuweka watu ambao hawajasomea hiyo fani, kisa ndugu.
Na ukumbuke cv za waombaji zinapitishwa kwenye bodi kwa uhakiki zaidi.
Uo mtazami wenu ufikirieni Tena ni majanga kwa taifa letu
Asnte kwa kutufariji kiongoziWana jamvi msiwe na shaka pdf la mama Mhagama bado lipo linakuja,subra yahitajika.
Hujajua unacho kiongea labda kama una nia ya kupotosha.We Mzee upo kwenye system lakini bado unajizima data. Haya mambo unayosema bado yanafanyika utumishi na amna kitu mnaweza fanya.
Tunacholala SS ni bureaucracy ya utumishi .
Kwa kuwa wameelemewa na mzigo mkubwa wa majukumu, kwa sababu utumishi wenyewe Wana upungufu wa wafanyakazi.
Na ndio maana tunataka taasisi na mashirika wafanye saili wenyewe.ili kupunguza workload utumishi,
nimekaa paleeeWana jamvi msiwe na shaka pdf la mama Mhagama bado lipo linakuja,subra yahitajika.
Acha roho mbaya mzeenimekaa paleee
Vijana wakipewa kz ww unaumia mkuu?why so negative?nimekaa paleee
Vyeti feki ulikua umezaliwa?!Nimeona Kwa Maandishi yako kuna sehemu hakupo Sawa km sio Stress za Mapenzi bhs ni Mawazo ya Ujobless.
Hata hizo Connection unazosikia Siku zote anapewa mtu mwenye sifa na vigezo (Umuhimu wake ni usaidia mtu asiwe kwenye ushindani tu) huwezi sema wanataka Aircraft Maintenance upele mtu mwenye Civil Engineering.
Sijawai sikia Connection ya hivi
Ni kweli aisee, nadhani wiki lijalo linaweza kushushwa. Wiki hii imekuwa tulivu.Wana jamvi msiwe na shaka pdf la mama Mhagama bado lipo linakuja,subra yahitajika.
🤣🤣🤣🤣🤣 Bado nilikuwa nipo Kiunoni Kwa Mzee wngVyeti feki ulikua umezaliwa?!
“Ukiona watu wenye akili tena timamu wanashauri mambo ya kijinga ujue fika wako na masilah nalo.” Mwisho wa kunukuuWe Mzee upo kwenye system lakini bado unajizima data. Haya mambo unayosema bado yanafanyika utumishi na amna kitu mnaweza fanya.
Tunacholala SS ni bureaucracy ya utumishi .
Kwa kuwa wameelemewa na mzigo mkubwa wa majukumu, kwa sababu utumishi wenyewe Wana upungufu wa wafanyakazi.
Na ndio maana tunataka taasisi na mashirika wafanye saili wenyewe.ili kupunguza workload utumishi,
Lkn kaka ww unaichukuliaje hii“Ukiona watu wenye akili tena timamu wanashauri mambo ya kijinga ujue fika wako na masilah nalo.” Mwisho wa kunukuu
Hizi taasisi zimeshindwa kujisimamia zije zisimamie kwa usawa,usahihi na haki watu kupata ajira?
Kama ni hoja utumushi wamezidiwa kwa kukosa man power basi ianze kuajiri kwa ajiri yaje yenyewe then ndo waajiri kwa ajiri
khee kivipi mzee,Vijana wakipewa kz ww unaumia mkuu?why so negative?