HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Fatilia mzee.
Nakupa white:
Fatilia sahili za MZUMBE na UDSM. Wanadominate usahili wao wenywe wanajua kbs kuna upuuz gan unaendelea
Taasisi za Vyuo Vikuu(Mzumbe, UDSM, DUCE, MUCE, MUST, OUT, MUHAS, ARDHI, UDOM, SUA n.k) wanaendesha sahili zao chini ya uangalizi wa PSRS na hizo taasisi sijaona wapelekewe watu kutoka Database. Wana standard zao ndio maana GPA ni kigezo mojawapo.

Tukiachana na Taasisi za vyuo, kuna taasisi nyingine iliyolalamika kupelekewa vilaza na PSRS?
 
Yes umeongea point.

Pia navyojua maswali hayatakiw kuw uniform kuna baadhi yataingiliana ila maswal yanatikiw yawe tofaut kulingana na CV ya mtu. Hiyo ndio standard ya dunia nzima. Ila hapa TZ ni upuuzi unaendelea
 
That's the point... Ndio maana waajiri wanalalamika kupelekew watu wasii reliable.

Hilo swala ndio nw wanaliangalia fatilua mikeka ya juzi inataka experience 3yrs+ u knw y?

Alaf anatokea MTU kuja kuweka hoja za kibishani.
Ni kwa baadhi ya post sio zote wanzotaka exprience...mzee hizi ni ajira za umma unapoweka kigezo cha exprience unatka waliomaliza chuo na hawajpta kz sehem yyte wqsiajiriwe?
 
Mim nafikri ipo sabbu inaowafnya wabse kwenye hayo maswali ya mention...
Unahisi ni sababu gani? Mkuu interview ni standard practice kinachofanyika china na marekani ni hivyo, south africa na ghana ni hivyo why iwe tofauti kwa Tanzania?
 
Umeona sasa. Kama PSRS WANAAMINIKA why vyuo vijitegemee ktk sahili na psrs wawe facilitators?!

Zipo, siwez taja hapa.. Tatz ni kubwa mno.
 
Ni kwa baadhi ya post sio zote wanzotaka exprience...mzee hizi ni ajira za umma unapoweka kigezo cha exprience unatka waliomaliza chuo na hawajpta kz sehem yyte wqsiajiriwe?
Ngj nikuulize swali. Nini maana ya BEST CANDIDATE?

Ndio maana nikasema taasisi zinalalamika kupelekw watu incompetent. Mfn unapeleka Mtu hajui kutumia computer applications unaaza kumpa trainings hajui kuandika official letters hajui SOPS za kazi yake.. Mwajiri gani atafurahia hayo?
 
Kuna taasisi kama NIC,NHIF,NSSF,PSSSF,TBS hawa wanatoaga wapi wafanyakazi?? Maana sijawahi kuona tangazo lao PSRS au ndo kupenyezana huko na wengine kada zetu zime base uko ni nadra sana kada zetu kufanya usaili aisee ni changamoto sana wakuu
 
Usiongee vitu ambavyo hutaweza thibitisha, inawezekana hoja yako ni sahihi, ungebaki nayo kama huna uwezo wa ku backup au ungeambatanisha na source sio maneno tu.
Nimekuuliza ulitaka source iweje yaan ktk hilo nililoongea.
 
Kaka nakutolea mfano katika interview ya TRA kuanzia written mpaka oral staff wa TRA walikuwepo kusimamia.

Katika pannel ya oral watu wa utumishi walikuwa na kazi ya kufuata watu kwenda kwenye hall la interview na mmoja aliyekuwepo ndani alikuwa kama katibu, the rest walikuwa ni staff wa TRA. (Na hii huwaga ipo hivi kwenye kada zote) sasa unasemaje wanapelekwa watu vilaza ikiwa waliohusika kwenye interview ni hao hao?
 
Pole sana mkuu, kumbuka kazi nyingi ni entry level, kazi ambazo kabla ya kuanza lazima upate training namna kazi inavofanyika.

Zile chache zinazohitaji C.V nzito, huainishwa katika tangazo, ni UONGO kusema jamaa hawatazami C.V ilhali portal ina ina generate C.V kwa kujaza kwa ukamilifu.

Pole sana kijana.
 
For a profit oriented business lazima apitie hizi mambo ila for service oriented sioni kama kuna haja
 
ichi ndo nilichokuwa na maanisha Gentlemen kila mtu bila ya source ambae kweli kaingia darasan na ana elimu yake hata ndogo atakuona muongo.
 

Utumishi = Jipu
 
Sorry, umefanya Oral ngapi?

Anakuwepo muwakilishi pale wa tasisi husika ila sio guaranteed kuwa ilivyo ndio itakavyokuwa.

Nimefanya oral 3. Na oral moja sikuona muwakilishi wa taasisi. (Hii ilikuw ya kitofauti kidg maana na polisi walikuwepo kunisahili).

Mkeka wa mwisho unakuw released na PSRS mwajiri anasubir watu.

Mbili hao wanaobaki database je mwajiri anakuwepo kwenye kuwavuta?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…