Mshasha wane
JF-Expert Member
- Oct 16, 2014
- 251
- 665
Ndo maana kuna training/induction course kwa kila new staffSasa utakapoenda kutoa huduma utakuwa na desa kwenye begi au utakuwa unaenda na daftari ofisini, au utagoogle kwanza ndio utoe huduma TUJITAFAKARI.
Come on manFor a profit oriented business lazima apitie hizi mambo ila for service oriented sioni kama kuna haja
We sema unatak source ipi ikaaje hiyo source.kama hujaelewa nachokisema, bac mkuu point yangu haikuwa kwa ubaya, ilaa niishie hapa ili nisikuzee mambo.
Niliyofanya na nikapata kazi ilikuwa hivyo. Na hata ambazo wengine wameenda pia zilikuwa hivyoSorry, umefanya Oral ngapi?
Anakuwepo muwakilishi pale wa tasisi husika ila sio guaranteed kuwa ilivyo ndio itakavyokuwa.
Nimefanya oral 3. Na oral moja sikuona muwakilishi wa taasisi. (Hii ilikuw ya kitofauti kidg maana na polisi walikuwepo kunisahili).
Mkeka wa mwisho unakuw released na PSRS mwajiri anasubir watu.
Mbili hao wanaobaki database je mwajiri anakuwepo kwenye kuwavuta?
Umeona sasa. Kama PSRS WANAAMINIKA why vyuo vijitegemee ktk sahili na psrs wawe facilitators?!
Zipo, siwez taja hapa.. Tatz ni kubwa mno.
Kanuni za uendeshaji usaili za PSRS umezisoma kapitie halfu utaiju haki yako pale inapo tokea usaili haupo sawa na uwe unajaribu kuwauliza, kama hujauliza hina haki ya kulalamika.Sorry, umefanya Oral ngapi?
Anakuwepo muwakilishi pale wa tasisi husika ila sio guaranteed kuwa ilivyo ndio itakavyokuwa.
Nimefanya oral 3. Na oral moja sikuona muwakilishi wa taasisi. (Hii ilikuw ya kitofauti kidg maana na polisi walikuwepo kunisahili).
Mkeka wa mwisho unakuw released na PSRS mwajiri anasubir watu.
Mbili hao wanaobaki database je mwajiri anakuwepo kwenye kuwavuta?
Siajelewa hujaelewa wapi.Ndo maana kuna training/induction course kwa kila new staff
njaa mkuuPsra wawape tu vjana humu ajira hahah povu limekua kali sana 🤣🤣
Nadharia 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣. Kijana kalete sourcenadharia.
Ndugu.. Ndio maana nikasema waajiri wanalalamika kupelekewa vilaza.Pole sana mkuu, kumbuka kazi nyingi ni entry level, kazi ambazo kabla ya kuanza lazima upate training namna kazi inavofanyika.
Zile chache zinazohitaji C.V nzito, huainishwa katika tangazo, ni UONGO kusema jamaa hawatazami C.V ilhali portal ina ina generate C.V kwa kujaza kwa ukamilifu.
Pole sana kijana.
Umejuaje wanalalamika wakat tupo wote hapa tunachezea ndoige za utumishiNdugu.. Ndio maana nikasema waajiri wanalalamika kupelekewa vilaza.
Lini uliulizwa swali kulingana na ulichoandika ktk Cv? Au hujawah ingia oral za psrs?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 jamani waajiri wanalalamika.Ndugu.. Ndio maana nikasema waajiri wanalalamika kupelekewa vilaza.
Lini uliulizwa swali kulingana na ulichoandika ktk Cv? Au hujawah ingia oral za psrs?
Hata sample za maswali aina hii hayana "relevance" yoyote ile katika kupima umahiri wa msailiwa.Mfano hizi ni top five questions nilizowahikuulizwa kwenye interviews mbalimbali
1. Why should we hire you?
2. How do you thrive under pressure?
3. Have you failed before? how did you handle it?
4. What are your strengths and weakness
5. How do you proffessionaly address a problem?
erc
Ni nadharia.Vyuo huwa wanataka watu wao mapema ili wakaanze training(masters) kulingana muda wao wao walioupanga, ndio maana wanalazimika kuchukua jukumu la kuendesha hizo sahili kwa sharti la uangalizi wa mamlaka ya usahili(PSRS).
Kama huwezi kuzitaja humu kama ulivyotaja taasisi za vyuo basi hazipo inabaki kuwa nadharia.
At the end you have come to my point, kama ni nadharia huku takiwa kuleta issue sensitive kama hii hapa, huenda ata inge ku cost.Ni nadharia.
NHIF washawahi kutangaza nafasi kupitia PSRS, hao wengine sijawahi kusikia.Kuna taasisi kama NIC,NHIF,NSSF,PSSSF,TBS hawa wanatoaga wapi wafanyakazi?? Maana sijawahi kuona tangazo lao PSRS au ndo kupenyezana huko na wengine kada zetu zime base uko ni nadra sana kada zetu kufanya usaili aisee ni changamoto sana wakuu
Kanuni hizo hizo zinasemaje kuhusu utokaji wa placement after oral? Je ulinyanyua miguu yako kwenda kulalamika?Kanuni za uendeshaji usaili za PSRS umezisoma kapitie halfu utaiju haki yako pale inapo tokea usaili haupo sawa na uwe unajaribu kuwauliza, kama hujauliza hina haki ya kulalamika.
MDAS mkuuKuna taasisi kama NIC,NHIF,NSSF,PSSSF,TBS hawa wanatoaga wapi wafanyakazi?? Maana sijawahi kuona tangazo lao PSRS au ndo kupenyezana huko na wengine kada zetu zime base uko ni nadra sana kada zetu kufanya usaili aisee ni changamoto sana wakuu
Uliambiwa ni makadirio kuanzia week 3, unaelewa maana ya makadirio.Kanuni hizo hizo zinasemaje kuhusu utokaji wa placement after oral? Je ulinyanyua miguu yako kwenda kulalamika?
Usidharau mtu ndg hasa humu ktk jamvi. Hatuko sawa kama vidole.Umejuaje wanalalamika wakat tupo wote hapa tunachezea ndoige za utumishi