Sekretariet ya ajira bila kua na kanzi data ingepata shida sana, kila kazi waitishe usaili siyo poa. Vipi pia nauli kwa wasailiwa? Hata kutoka la saba kwenda form one kulikua na chagua la pili kwa waliofaulu na kukosa nafasi...waliofaulu nimerudiaKwahiyo unafikiri ni halali kama taratibu inasema ushindani utaendeshwa kwa usaili, na mshindi atapatikana kwa "sequencial picking" ikiwa tu, minimum passmark imefikiwa, iweje walioshindwa katika model hii, wapangiwe kazi katika taasisi nyingine pasipo kushindanishwa?
Kama disability yako ya miguu ni yakuooneka hauwez achwa maana muongozo wao watu wenye disability wanapewa kipaumbele. Disability. Mwanamke. Mzee in that orderKweli kabisa,mfano mimi Nina disability ya kusikia na miguu ,nimepambana wee mpaka nimefika oral ,Lakini wanaweza niacha Wakati kazi za ofisini siwezi shindwa....
Unzngua subri utapat kz wakt wko ukfika...acha kudiscourg mambo ya msing yenye maslahi na vjnaKwahiyo unafikiri ni halali kama taratibu inasema ushindani utaendeshwa kwa usaili, na mshindi atapatikana kwa "sequencial picking" ikiwa tu, minimum passmark imefikiwa, iweje walioshindwa katika model hii, wapangiwe kazi katika taasisi nyingine pasipo kushindanishwa?
Masuala ya ajira na kazi ni kozi yenye masters kabisa kutoka chuo cha ustawi wa jamii. Hakuna kitu unajua kuhusu labour relationsSiasa ktk hii Nchi itatupeleka pabaya.
Tumeona Tamisemi Walipangia watu kazi unaajiri mwalimu aliyemaliza 2010 unakuj kumpa kazi 2022 kweli? Muda huo huyo mwalimu hajatendea kazi fani yake kipindi hicho chote na unampangia kazi bila Interview.
Ukiwaza sana haya mambo utakuw chizi bure
Ngoja nione itakuwaje ,mana Mimi nimefika oral Kwa Kupigana haswa, lakini niwe mkweli oral sikufanya vyema sababu ya kutosikia vizuri...Kama disability yako ya miguu ni yakuooneka hauwez achwa maana muongozo wao watu wenye d
Nime discourage nani, nimeeleza msimamo wangu binafi juu ya hilo suala, hili ni jukwaa huru, sio lazima kuchangia katika michango ya kila mdau, ile inayokuumiza una achana nayo, uchangile ile michango inayokupa faraja tu.Unzngua subri utapat kz wakt wko ukfika...acha kudiscourg mambo ya msing yenye maslahi na vjna
Na bado katika order hiyo haikuzingatiwa, wanacho kihubiri sicho wanacho kitenda.Siasa ktk hii Nchi itatupeleka pabaya.
Tumeona Tamisemi Walipangia watu kazi unaajiri mwalimu aliyemaliza 2010 unakuj kumpa kazi 2022 kweli? Muda huo huyo mwalimu hajatendea kazi fani yake kipindi hicho chote na unampangia kazi bila Interview.
Ukiwaza sana haya mambo utakuw chizi bure
Kama bado haujajibiwa.Ety wadau,, hv hizi Cheque number za waajiriwa Huwa zinatengenezwa na nani au mamlaka gani, na mchakato wake unakuwaje..?
Hebu nitoeni tongotongo hapa
Mkuu naomba nikulize swali, ww unazani kuna kazi ambayo inahusiana na course yako / i mean course yako inafit kwenye io kazi na ukapewa tranning namna ya kuifanya lakini bado ukashindwa kuifanya ipo??Na bado katika order hiyo haikuzingatiwa, wanacho kihubiri sicho wanacho kitenda.
Mkuu jaribu kuelewa, wale wanaokosoa utaratibu wa database sio kwamba hawajui taratibu za kikanuni na sheria zinazoongoza shughuli zao, na ndio maana nimesema toka awali, mimi binafsi, huo ni mtazamo wangu na msimamo wangu ambao kwa sasa hauna athari yoyote dhidi ya utekelezaji wa kanuni na sheria.Mkuu hawajitungii ipo kwenye muongozo wao kuwa kutakuwa na kanzi data na namna ya kuwapangia watu kazi kupitia kanzi data wameeleza, hawawezi kufuata vile wewe unataka labda waziri mwenye dhamana aliambie bunge libadilishe kanuni kama alivyoongeza muda wa kanzi data kutoka miezi 6 kwenda miezi 12.
So ni utaratibu upo.
Sio course yangu tu, hata yaliyo nje ya course yangu, nikipewa training kazi nitaimudu.Mkuu naomba nikulize swali, ww unazani kuna kazi ambayo inahusiana na course yako / i mean course yako inafit kwenye io kazi na ukapewa tranning namna ya kuifanya lakini bado ukashindwa kuifanya ipo??
Ss km Maswali ni haya haya yakujirudia uoni kabsa itafika muda yatazoeleweka na itakuwa ni Kazi Bure Tu. Bora hiyo ya kumention & explain Maswali yanatoka km suprise inakuwa ni vyema .Ndo maana nimesema changamoto zipo lakini bado PSRS ni chujio zuri sana. Changamoto nazoziona ni watu kukalili madude kichwani na kwenda kuyatema na kupata kazi.
Labda wangebadili mfumo badala ya mention, list wangekuja na maswali relevant na experience pamoja na proffession ya mtu na kila wanachotaka
Mfano hizi ni top five questions nilizowahikuulizwa kwenye interviews mbalimbali
1. Why should we hire you?
2. How do you thrive under pressure?
3. Have you failed before? how did you handle it?
4. What are your strengths and weakness
5. How do you proffessionaly address a problem?
erc
Kupitia maswali hayo trust me utapima kila kitu kwa candidate confidence, time management, team playing, skills na vitu muhimu mwajiriwa anapaswa kuwa navyo.
Lakini kuingia kwenye interview unaambia mention sijui types, sijui componets sijawahi kuona kama ni njia nzuri. so nawasupport PSRS ila wabadili vitu kama hivyo.
Kanuni za PSRS zimetaja namna watu wenye ulemavu wanavyopata nafasi. Vuta subira PDF itokeJamani Mimi na disability ya kusikia na miguu,ila nimefanikiwa kufika oral ya MDAs na LGAs .Vipi Kuna vipaumbele vyovyote Kwa wenye disability?
Basi serikali ipo sahihi course wanaamini ww ni intellectual tranning inatosha ww kufanya kazi, ukiwa umefaulu unafaa kupangiwa tasis B.Sio course yangu tu, hata yaliyo nje ya course yangu, nikipewa training kazi nitaimudu.
Sijaelewa hapa mchago wako ume-base katika mada ipi, ya database au ile ya walimu na Tamisemi?Basi serikali ipo sahihi course wanaamini ww ni intellectual tranning inatosha ww kufanya kazi, ukiwa umefaulu unafaa kupangiwa tasis B.
Database i mean utafanyaa taasis B imradi ulifaulu na course yako ina fit tranning inakutosha as long mwajir wako ameridhia.Sijaelewa hapa mchago wako ume-base katika mada ipi, ya database au ile ya walimu na Tamisemi?
Na pia unaweza uitwe kwenye ukatibu wa bunge lakini ni Accountant, na taasis B inataka Accountant, sasa kwanini wasikupe nafasi na vigezo unavyo?Database i mean utafanyaa taasis B imradi ulifaulu na course yako ina fit tranning inakutosha as long mwajir wako ameridhia.
Yeaah kabisa, embu nifungue macho apo kwa FIFO kidogo ka summary.Na pia unaweza uitwe kwenye ukatibu wa bunge lakini ni Accountant, na taasis B inataka Accountant, sasa kwanini wasikupe nafasi na vigezo unavyo?