Kwa brand, kwa scope na approach ni tofauti, lakini wote si wamesoma marketing na zile 5P's wamesoma na wazi apply kotekote?Ndio maana nasema wengi hamfanyi interview, iko hivi the way your skills and experience matches company A nitofauti na itakavyomatch company B kwa same position.
Marketing officer wa logistic company ni tofauti na wa Agricultural company
Customer care wa vodacom ni tofauti na customer care wa Reggency Hotel
Itakuhitaji uwe na uwezo mzuri wa kuzungumza, ku-convince na kufitisha ujuzi wako na uzoefu kwenye kampuni husika.
Hutakiwi kuongea kama umekremu, bali kufanya conversation kulingana na culture ya kampuni husika na namna mnavyoweza help each other
Masuala ya ajira na kazi ni kozi yenye masters kabisa kutoka chuo cha ustawi wa jamii. Hakuna kitu unajua kuhusu labour relations
Kabisa, hata PSRS hayo maswali ya techicalities na uzoefu yapo.Huyo jamaa kwa hoja yake hiyo amekwama, ni maswali ya kukariri tu.
Katika maelezo yangu kama umesoma vzr nimesema kuna mwalimu ambae kamaliza hiyo miaka na namjua hakuw ktk sekta ya ufundishaji. Na kapata kazi. Nimeongea as a case study.Unajua sielewi ni kitu gani unataka kusema Most ya Walimu wengi wanapata nafasi za kujishikizana na kujitolea kwenye Shule Binafsi ili kujiweka Sawa na Kinachojili kwenye Fani zao
Sitaki kuamini km kuna Mwalimu ambae afatilii mabadiliko ya mitaala inapotolewa na Sekta yake ya Elimu. Kumaliza zamani sio kigezo cha kusema Mwalimu alikuwa hafundishi sehemu yoyote (Shule au Tuition Center). Hicho unachokita kumaanisha ni ubaguzi Kwa walimaliza zamani wkt nafasi zenyew zina Age margins ( unahisi hiki kitu kiliwekwa Kwa Bahati Mbaya) km Mpaka mtu mwenyewe Miaka 42 anaruhusiwa kuomba unategemea awe amemaliza hivi Karibuni (2020 - 2022)
Nakubaliana na wewe, hakuna kitu kinaleta head ache kama saili za oral utumishi, unaingia na swali lako moja tu, la kujitambulisha, mengine uta-twist huko huko kulingana na ulivo jaliandaa.Bwanaa tuache utani ukiona mtu kapata kazi utumish kapita kwa nguvu zake yupo vizur, ayo maswali common naweza andaa nje ya usaili nika kremu yanayohusiana na facat yangu ila utumish siwezi.
Kwani entry job haikuhitaji uwe knowledgeable about your work? Unafikiri mashirika na private companies hayana entry jobs? Umewahi kufanya internship kwenye shirika lolote? ulifaulu vipi usaili?Kwa brand, kwa scope na approach ni tofauti, lakini wote si wamesoma marketing na zile 5P's wamesoma na wazi apply kotekote?
Sasa hapa wewe unashindwa kutofautisha entry job post na nyinginezo.
Kabisa yani hayo ur weakness sijui strength, sijui where do u see urself after 5 yrs ku solve changamoto za facat yako najiandaa nje ya uwanjaaa na nayakuta kama yalivo, ila sio utumish akili inabid ifanye kazi.Nakubaliana na wewe, hakuna kitu kinaleta head ache kama saili za oral utumishi, unaingia na swali lako moja tu, la kujitambulisha, mengine uta-twist huko huko kulingana na ulivo jaliandaa.
Kwa private sector, framework ya maswali yote unakua nayo, ni wewe tu ku-tailor kulingana na information zako katika C.V.
Mtu unakuja na madaftari siku ya interview what the heck? ndio maana matajiri siku hizi wanaajiri wakenya, wasouth, wahindi sababu wanafanya kazi kwa kitumia ujuzi sio madaftariKabisa, hata PSRS hayo maswali ya techicalities na uzoefu yapo.
Sasa kuna core values za kiutumishi nazo zipo na maswali yake kwenye interview unaulizwa pia.
Approach inayotumika PSRS na Huko private haiwezi kuwa sawa, lakini content ya interview ni ile ile.
Sasa kwani interview za PSRS, utaenda kujibu na hauna knowledge nini maana ya theory ya darasani nini maana ya FPT?Kwani entry job haikuhitaji uwe knowledgeable about your work? Unafikiri mashirika na private companies hayana entry jobs? Umewahi kufanya internship kwenye shirika lolote? ulifaulu vipi usaili?
Oi Mi naomba nikuache Kwa namna unavyoandika nashindwa kuelewa upo upande gani (Kigezo cha taswira ya Mtu Moja ndy uifanye iwe taswira ya watu wote huu ni ukosefu wa Maarifa km Rafiki yako alikosa pakujishikiza bhs usidiliki kumfananisha na wengine huyo ni Rafiki yako)Katika maelezo yangu kama umesoma vzr nimesema kuna mwalimu ambae kamaliza hiyo miaka na namjua hakuw ktk sekta ya ufundishaji. Na kapata kazi. Nimeongea as a case study.
kujitolea and blah blah haina maana kama mtu huyo hajafanyiw usahili
tusidanganyane ktk hili.
Sasa kama mifumo ya kukupa uwanja wa kupractice hicho ulichosomea!!!, kwanini usipitie madesa kukumbushia mambo kidogo?Mtu unakuja na madaftari siku ya interview what the heck? ndio maana matajiri siku hizi wanaajiri wakenya, wasouth, wahindi sababu wanafanya kazi kwa kitumia ujuzi sio madaftari
Kwa kukazia kupata watu wazoefu kazini zile course zinazoitaji watu wazoefu au wanaojua kazi zao vizur kuna kuwa na saili za practicals, huwez toboa utumish kama ni kilaza kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaa.Sasa kama mifumo ya kukupa uwanja wa kupractice hicho ulichosomea!!!, kwanini usipitie madesa kukumbushia mambo kidogo?
Falsafa ya kumaster kitu ni kukifanya mara kwa mara na kwakuwa ni entey level, akizama kazini full ni ndani ya mwezi ashakuwa officer mkubwa, tena specialist...
Tena ieleweke Utumish washasema Usikariri Bali Ifahamu Kada hivi mtu anachukulia Poah Mtihani unatakiwa kufanya Saa 1 (naumeingia Kweny Chumba cha Mtihani saa 1 ) arafu unakuja kufanya Mtihani saa 7 (Hapo km umekariri utoboi Kabisa sidhani vitu vya kusoma Siku 1 na Kukariri vikakaa kichwani zaidi ya masaa 4 visivurugane humo kichwani)Ivi kujibu pont 20 na sometimes kujieleza pressure ya kukimbizana na mda ndani ya dk 7 ad 8 kuna kilaza anae wezaaa toboa au asiejua kuchanganua mambo acheni utani utumishi wapo vizur sanaa tuweleze changamoto zao sawa lakin kwenye sehemu walizo patia tuwasifu.
sahihi kaka.Tena ieleweke Utumish washasema Usikariri Bali Ifahamu Kada hivi mtu anachukulia Poah Mtihani unatakiwa kufanya Saa 1 (naumeingia Kweny Chumba cha Mtihani saa 1 ) arafu unakuja kufanya Mtihani saa 7 (Hapo km umekariri utoboi Kabisa sidhani vitu vya kusoma Siku 1 na Kukariri vikakaa kichwani zaidi ya masaa 4 visivurugane humo kichwani)
Jamaa kashazoea Oral tu pekee yake bila kufanya Writtensahihi kaka.
Utumishi mbali na kujua material yako ya darasani inabid uwe mentally fit.Jamaa kashazoea Oral tu pekee yake bila kufanya Written