Ofisi yao wanaijenga eneo gani hapa Dom?View attachment 2537363View attachment 2537363Yaah, uzuri ni kila taasisi ina mazuri yake mengi na changamoto chache, nimepitia ukarasa wao wa insta, nimekutana na success story.
Pia wanaendelea na ujenzi ya ofisi ya ukandaji.
Mimi nitasimama na utumishi.
Ofisi yao wanaijenga eneo gani hapa Dom?
Wake jamani ,watupe kipambele na sisi wenyewe disability ,tulitumikie taifa...
Course yangu wamefundisha ila faculty zingine HapanaChuo nilicho soma mm ni cha gov, na kulikua na course mbili college yangu yote facat zaid ya 10 walisoma introduction to computer na Development study aka DS ilikua lazima kila course wasome izo kwa college yangu, so kama chuo chako hakina siwez lazimisha, ilaaa duuh 🤣🤣🤣🤣.
haahh nishawai kumuuliza lecture wangu kwanin io coz wanaisoma degree facat zote, alinijib utaenda fanya kazi kwa nani ambapo computer hai usiki, yaani ww hutaandika ata barua ya kikazi, ukiwa na degree na hujui computer ww ni mjinga kama wengine. Mi naimani vyuo vyote wanasima lakin kama hawasomi iko chuo mtaala wake una shida sehem.Course yangu wamefundisha ila faculty zingine Hapana
Unawezaje kumaliza degree yako na computer hujui, kazi za chuo na sijui ma project, research unafanyaje, thats why wanaifundisha mwaka wa kwanza.Course yangu wamefundisha ila faculty zingine Hapana
mpaka sasa hakuna mkeka mpya.naimani database pdf itakuwepo tu,ni suala la mudaPDF la database naona tumepigwa
Kweli unemployment ishakua pandemic crisis katika hili taifa.Iyo kheri jitakie mwenyewe kwanza
Sidhan kama lipo tenampaka sasa hakuna mkeka mpya.naimani database pdf itakuwepo tu,ni suala la muda
Chuo gani hichoCourse yangu wamefundisha ila faculty zingine Hapana
Kbsampaka sasa hakuna mkeka mpya.naimani database pdf itakuwepo tu,ni suala la muda
View attachment 2537383
Hayo maswala ya labour relations kwangu ni kama maji, hivyo vitu nimesomea na navijua na navifanyia kazi kila iitwayo leo.
vile vile narudia tena humu tuache kudharau watu humjui mtu unakurupuka kuleta ujuaji.
Hizo ni baahi ya tools tu.. Kuna Guidelines zingine zipo kwenye makablasha.
Jitahidi kuwa humble bro.
- Uandishi wako sio wa Ki- Chuo Kikuu, unashindwa kutofautisha Kati ya Lecturer na lecture? au umesoma IFM?haahh nishawai kumuuliza lecture wangu kwanin io coz wanaisoma degree facat zote, alinijib utaenda fanya kazi kwa nani ambapo computer hai usiki, yaani ww hutaandika ata barua ya kikazi, ukiwa na degree na hujui computer ww ni mjinga kama wengine. Mi naimani vyuo vyote wanasima lakin kama hawasomi iko chuo mtaala wake una shida sehem.
Lecturer ni anaye fundisha so hapo naandika kwa lugha ya kitaa mtu ambay ana akili timamu ataelewa namanisha nn wa kizaz cha sasa ila kama cha zamani lazima usielewe kama ww🤣🤣🤣🤣- Uandishi wako sio wa Ki- Chuo Kikuu, unashindwa kutofautisha Kati ya Lecturer na lecture? au umesoma IFM?
Kwa kuku saidia lecture wangu = lecturer.- Uandishi wako sio wa Ki- Chuo Kikuu, unashindwa kutofautisha Kati ya Lecturer na lecture? au umesoma IFM?
IFM ndo wana uandishi mbovu au hahahah ila we jamaa bhana- Uandishi wako sio wa Ki- Chuo Kikuu, unashindwa kutofautisha Kati ya Lecturer na lecture? au umesoma IFM?
Watu wa IFM izi dharauuu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 uyuuu mwambaa sijui kama ana vyetiii, naisi aliokota🤣🤣🤣🤣🤣IFM ndo wana uandishi mbovu au hahahah ila we jamaa bhana
Very fact.!Urahisi wa upatikanaji wa kazi hapo Awali (Unaweza kuwa ulikuwa rahisi Kwa sababu ya ushindani mdogo uliokuwepo)
Twende Mbele turudi nyumba Serikali Yetu kutokana na maboresho ya mazingira katika Sekta ya Elimu imefanya namba za wasomi (wahitimu) kuongezeka hivyo ushindani umekuwa Mkubwa.
Nahisi Sisi wenyewe ni mashahidi wa ili Miaka ya hivi Karibuni zimetangazwa nafasi nyingi mno lkn bado haziwezi kutoshereza Idadi ya wahitimu.
Kuna baadhi ya Mambo sio vyema kuanza kulinganisha na Miaka ya Nyuma na hii kutokana na nature ya ongezeko la watu km tu Sensa ya 2012 watanzania tulikuwa Millions 44 na Sensa ya Mwaka Jana (2022) Idadi ilikuwa ni 61 Millions (Ongezeko la 17 Millions Sawa na Ongezeko la 39% kutoka Sensa ya 2012.
Hivyo Bhasi tutambue wasomi wameongezeka na Ushindani Umekuwa Mkubwa tofauti na zamani na uwenda Idadi ya Jobless imeonekana kuwa kubwa Kwa sababu ya Uwazi wa Nafasi za Matangazo ya Kazi kuwa Wazi zaidi tofauti na Miaka ya Nyuma (Kabla ya PSRS)