Mwangu1024
Member
- Feb 6, 2023
- 91
- 179
Kaka nakutolea mfano katika interview ya TRA kuanzia written mpaka oral staff wa TRA walikuwepo kusimamia. Katika pannel ya oral watu wa utumishi walikuwa na kazi ya kufuata watu kwenda kwenye hall la interview na mmoja aliyekuwepo ndani alikuwa kama katibu, the rest walikuwa ni staff wa TRA. (Na hii huwaga ipo hivi kwenye kada zote) sasa unasemaje wanapelekwa watu vilaza ikiwa waliohusika kwenye interview ni hao hao?
Nakataa kwamba comp inafundishwa kila course. Nakataa kabisaaa
Rudi chuo ulichosoma ukaulize vizuri ,computer inwfundishwa katika programme zote zinazotalewa na taasisi za elimu,curriculum ipo hivyoNakataa kwamba comp inafundishwa kila course. Nakataa kabisaaa
- Uandishi wako sio wa Ki- Chuo Kikuu, unashindwa kutofautisha Kati ya Lecturer na lecture? au umesoma IFM?
Ukiona mtu miaka hii bado anajivunia chuo alichosoma basi kuna tatizo mahaliJamaa unapenda sana kuropoka waliosoma IFM wapoje?
Kama bado haujajibiwa.
Hilo ni jukumu la HAZINA maana wao ndio wanaolipa mishahara, hiyo ni reference namba ya mshahara wako.
Muda unaotumika hadi uipate: Hapa sijui, ila sisi tulizipata baada ya siku 22 tangu ajira ianze
Kama bado haujajibiwa.
Hilo ni jukumu la HAZINA maana wao ndio wanaolipa mishahara, hiyo ni reference namba ya mshahara wako.
Muda unaotumika hadi uipate: Hapa sijui, ila sisi tulizipata baada ya siku 22 tangu ajira ianze
Ni moja ya kipaombele Chao, kama ume indicate kwenye profile na utaweza kumudu position husika. Endelea kuomba mungu mrija wa asali upo karibu nduguJamani Mimi na disability ya kusikia na miguu,ila nimefanikiwa kufika oral ya MDAs na LGAs .Vipi Kuna vipaumbele vyovyote Kwa wenye disability?
- ulikuwa hujui kutofautisha Kati ya Lecturer na lecture, Sasa mtu kama wewe ukiambiwa uandae Ripoti ofisini si ndio itakuwa na makosa kibao ya Lugha.Lecturer ni anaye fundisha so hapo naandika kwa lugha ya kitaa mtu ambay ana akili timamu ataelewa namanisha nn wa kizaz cha sasa ila kama cha zamani lazima usielewe kama ww🤣🤣🤣🤣
Huwa wanaandika Lecture badalanya LecturerJamaa unapenda sana kuropoka waliosoma IFM wapoje?
Badalanya ndo nini au kiswahili nacho tatizo kuandika?Huwa wanaandika Lecture badalanya Lecturer
Lecturer na lecture unaelewa? Au ndio wale wa IFM, IAA,nitBadalanya ndo nini au kiswahili nacho tatizo kuandika?
Unadharau za kipimbi mkuuLecturer na lecture unaelewa? Au ndio wale wa IFM, IAA,nit
Kidharau watu ni dalili ya uchache wa akili....jitahidi watu wasijue HUNA AKILILecturer na lecture unaelewa? Au ndio wale wa IFM, IAA,nit
NdioKwahyo Mlishakuwa mmeanza kazi tayari then after 22days mkapata cheque number..?
we ni kituko ndugu yangu yaani comments zako uwa zina sadifu the way ulivo.- ulikuwa hujui kutofautisha Kati ya Lecturer na lecture, Sasa mtu kama wewe ukiambiwa uandae Ripoti ofisini si ndio itakuwa na makosa kibao ya Lugha.
[emoji9][emoji9][emoji9]Kila nikiwaza tunachosubiria kwa hamu kitatoka mwezi June naishiwa nguvu[emoji2960][emoji2960]
Mbaya zaidi usiwemo sas
Umesoma hizo ni edition za mwaka gani? Au unakurupuka tu.
- hizi Sheria, ndio zinakufanya ujidai unajua labour relation?
- Kwa hiyo tukikupa mgogoro wa kazi utaweza?
- halafu hizo Sheria zishakuwa revised, hazitumiki Kwa Sasa, unatakiwa uwe na revised edition, ukitumia hizo Sheria Mahakamani na popote Pale unakuwa ume cite deadlaw kasome Sheria ya Law revision act na statutory interpretation act.