haha ukute mwenye anahusika na database ni shabiki wa man u πYaani hadi leo Sekretarieti ya Ajira hawatoi pdf la database?
mheshimiwa waziri jenista mhagama
mheshimiwa raisi wa jamhuri wa muungano wa Tanzania.
Itakuwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]haha ukute mwenye anahusika na database ni shabiki wa man u [emoji24]
Ha ha ha,mkuu bana.
Kwa status kuna nn mkuu??Tumeweka malumbano ya hoja!!
Ngoja tujitulize kwani keka letu la database , keka letu la November , Ukija status ndo hatuelewi kabisa
tuta mtext mama yetu instagram kule[emoji16] waache watuone waonehaha ukute mwenye anahusika na database ni shabiki wa man u [emoji24]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Leo mnashushiana vitu vizito jobless humu, mmerithi mikoba ya Kyagata na Yakunle ,safi sana [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38],tupunguze stress
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wanasema wewe ni mbadi kwenye makasiriko[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ha ha ha,mkuu bana.
Bado nipo mkuu humu,ukiona nimepotea ni masaa kadhaa tu kwa sababu ya majukumu ya kazi na familia.Leo mnashushiana vitu vizito jobless humu, mmerithi mikoba ya Kyagata na Yakunle ,safi sana πππππ,tupunguze stress
ππWanasema wewe ni mbadi kwenye makasiriko[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwema mkuu ? ,Kimya sana au loans board wamekumeza na majukumu ?Bado nipo mkuu humu,ukiona nimepotea ni masaa kadhaa tu kwa sababu ya majukumu ya kazi na familia.
Pdf zito la moto linashushwa , vuta subraMy Application kuna nini leo,,
Naona kuna kitu kinaendelea hata kwenye app kuna shida pia
Nadhani wanalekebisha status ili ziendane na uhalisia,My Application kuna nini leo,,
Naona kuna kitu kinaendelea hata kwenye app kuna shida pia
Written huwa mkiwa wengi tu, ila mkiwa wachache moja kwa moja kwenye practical ambayo inaunganishwa na Oral, yaani unaambiwa uandae somo katika topic yoyote ambayo upo vyema na uipresent kupitia powerpoint slides kisha utashuka madini yako hapo, baada ndio unafanya Oral.Sijawahi kuapply post za tutorial assistant,hua zinakuaje kwa anaejua.
Written yake ni kama post zingine au? Na oral yake ipoje?
Me nipo mkuuKwema mkuu ? ,Kimya sana au loans board wamekumeza na majukumu ?
Meck pro naye katususa ,mwifa yupo , malegend wa huu uzi msitukimbie bana ,muwe mnakuja mara kadhaa kutuliza stress
na wenge za ma jobless humu πππππππππ
leo sidhan kama patapita hivhiv.H
Wanaweza shusha placement Leo huoni ya tra na rea wamezitoa naona website inasumbua maana toka jtat hamna placement
inawezekana viongozi wanatuchora nini? wanatufanyia kama ile kitu 'tema mate tumchape' πππNaona mmehama kwenye mada,
Tunachopigania sio taasisi kuajiri wala nn ila hivi ni kweli kabisa sisi wasomi na digrii kikawaida kusema mchakato wa ajira umekuwa mrefu kiasi kuwa mtu anaomba kazi mpaka anasahau,anaitwa interview usiku wa manane then akimaliza asijue hatma yake ni ipi.anyetetea kusema ni michakato akasome muongozo wao...ukiona ajitmra imetangazwa basi kibali kipo tyr na fungu lake lipo tyr(kwa mujibu wa muongozo)ndio maana serikali kupitia bunge waziri wa fedha lazima aseme mwaka huu tumekusudia kuajiri watu kadhaa na kiasi flan cha pesa kitatumika kwenye ajira hizo mpya na wabunge wanaridhia bajeti inapita,then itokee watu wakae mwaka mzima tuseme et ni mchakato kwamba pesa ilipitishwa hewa au.
Jana nilisema ukiona kiongozi wa juu nae kalalamika badala ya kusolve tatizo basi ujue kuna shida sehemu.kauli nyingine ni za kupeana moyo tu ila uhalisia wanasiasa wanatuzingua sana hasa kwenye mambo ya msingi.
Ishu sio taasisi siajiri zenyewe inshu ni nini utumishi wanaficha kuhusu hizi saili??kwa nn uwazi usiwepo tu mapema kama mtu kakosa au amepata??na ikiwa utumishi hamna shida why mkuu aliwasema tena kwa malalamiko??ikiwa hamna shida kwao why wakubali kila siku kubeba lawama kwa kauli za wakubwa wao ikiwepo hii ya juzi ya mheshimiwa mhagama?