hii ni kweli kiasi kuna point psrs wanajichanganyaga lkn vipanga wanapenya sana aysee.Ukifatilia vzr tangia PSRS wachukue hii ishu ya Ajira. WAAJIRI wamelalamika sana kuhusu kupelekewa vilaza.
Unajua ni kwanini?
Ktk hii michakato kuna siasa.
Fatilia watu humu wale wale competent hawapati kazi, ukitaka upite sahili za PSRS jifanye Hujui kitu. Ukiweka ujuaji tu umeisha.
Mbili PSRS hawasomi CV kbs ktk usahili yaaan hawaangalii una CV nzito kias gani. Ushawah ona wapi recruitment inafanyika bila kuzingatia Uzito (QUALIFICATION) zilizopo ktk Cv?
Kuna Madudu sana huko
ni kweli kabisa.Ni kwa baadhi ya post sio zote wanzotaka exprience...mzee hizi ni ajira za umma unapoweka kigezo cha exprience unatka waliomaliza chuo na hawajpta kz sehem yyte wqsiajiriwe?
😄😄😄😄 kweli kabisaPsrs wakikukanda utawasema sana 🤣🤣🤣
kweli bro kama unajua unajua tyuu na maswali ya psrs ni basic, sasa ukishindwa hayo unataka useme unajua nini kingine cha msingi kama sio kaaina ka ujuaji na stress na mikando.Bwanaa tuache utani ukiona mtu kapata kazi utumish kapita kwa nguvu zake yupo vizur, ayo maswali common naweza andaa nje ya usaili nika kremu yanayohusiana na facat yangu ila utumish siwezi.
nagongelea msumariTena ieleweke Utumish washasema Usikariri Bali Ifahamu Kada hivi mtu anachukulia Poah Mtihani unatakiwa kufanya Saa 1 (naumeingia Kweny Chumba cha Mtihani saa 1 ) arafu unakuja kufanya Mtihani saa 7 (Hapo km umekariri utoboi Kabisa sidhani vitu vya kusoma Siku 1 na Kukariri vikakaa kichwani zaidi ya masaa 4 visivurugane humo kichwani)
iko waziiiUtumishi mbali na kujua material yako ya darasani inabid uwe mentally fit.
unapoingia oral ukiitwa ndani panel inakuwa na fomu ambayo alama hujazwa humo, ile fomu pia inakuwa na taarifa zote za msingi za msahiliwa yaani cv yako wanakuwa nayo pale mbele hadi zile working experience ulizoziandika kwenye mfumo yaani mahali ulipofanya hizo kazi hadi miaka yake mpaka elimu yako. Naomba nikusihi mkuu usiliseme jambo ilhali huna ujuzi naloUkifatilia vzr tangia PSRS wachukue hii ishu ya Ajira. WAAJIRI wamelalamika sana kuhusu kupelekewa vilaza.
Unajua ni kwanini?
Ktk hii michakato kuna siasa.
Fatilia watu humu wale wale competent hawapati kazi, ukitaka upite sahili za PSRS jifanye Hujui kitu. Ukiweka ujuaji tu umeisha.
Mbili PSRS hawasomi CV kbs ktk usahili yaaan hawaangalii una CV nzito kias gani. Ushawah ona wapi recruitment inafanyika bila kuzingatia Uzito (QUALIFICATION) zilizopo ktk Cv?
Kuna Madudu sana huko
Naona kwangu ipo vilevile haijabadilikaNaona washarekebisha huko... my applications inafunguka
Kuna waliobadilishiwa status??
Kwangu ipo vilevile ......Tuzidi kuomba Mungu hamtupi mja wake....ni swala la mda tu kuwaitNaona washarekebisha huko... my applications inafunguka
Kuna waliobadilishiwa status??
- fafanua alisemaje Kuhusu kusajili Line za simu?.Naona God bless Lema anafunguka vitu konki boda boda sio ajira ni laaana .
Kusajiri line sio ajira dadeki sijui tufanyeje sisi
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Lini uliulizwa swali kutoka ktk CV yako??? nijibu hili swali.unapoingia oral ukiitwa ndani panel inakuwa na fomu ambayo alama hujazwa humo, ile fomu pia inakuwa na taarifa zote za msingi za msahiliwa yaani cv yako wanakuwa nayo pale mbele hadi zile working experience ulizoziandika kwenye mfumo yaani mahali ulipofanya hizo kazi hadi miaka yake mpaka elimu yako. Naomba nikusihi mkuu usiliseme jambo ilhali huna ujuzi nalo
Sio Kweli., Sio KWELIUkifatilia vzr tangia PSRS wachukue hii ishu ya Ajira. WAAJIRI wamelalamika sana kuhusu kupelekewa vilaza.
Unajua ni kwanini?
Ktk hii michakato kuna siasa.
Fatilia watu humu wale wale competent hawapati kazi, ukitaka upite sahili za PSRS jifanye Hujui kitu. Ukiweka ujuaji tu umeisha.
Mbili PSRS hawasomi CV kbs ktk usahili yaaan hawaangalii una CV nzito kias gani. Ushawah ona wapi recruitment inafanyika bila kuzingatia Uzito (QUALIFICATION) zilizopo ktk Cv?
Kuna Madudu sana huko
- Yeah to some extent, Kuna ofisa mmoja mstaafu wa TRA,alihojiwa (jina lilihifadhiwa) Kuhusu Psrs akasema eti kuwa wanaletewa Watu wenye uwezo mdogo Sana, hawajui Kazi, ufanisi mdogo that is to say ni Vilaza.Ukifatilia vzr tangia PSRS wachukue hii ishu ya Ajira. WAAJIRI wamelalamika sana kuhusu kupelekewa vilaza.
Unajua ni kwanini?
Ktk hii michakato kuna siasa.
Fatilia watu humu wale wale competent hawapati kazi, ukitaka upite sahili za PSRS jifanye Hujui kitu. Ukiweka ujuaji tu umeisha.
Mbili PSRS hawasomi CV kbs ktk usahili yaaan hawaangalii una CV nzito kias gani. Ushawah ona wapi recruitment inafanyika bila kuzingatia Uzito (QUALIFICATION) zilizopo ktk Cv?
Kuna Madudu sana huko
Wanaoingia asaivi wanaingia kwa entry level serikali iliondoa kigezo cha experience... na huyo officer anafahamu kabisa kwamba kuna kipindi cha matazamio kwa waajiriwa wote wapya wa serikali kisichozidi miezi 12 hivyo muajiriwa mpya anapewa fursa ya kujifunza kazi na kuangaliwa kama anaweza kuzimudu.. muheshimiwa natumai utakuwa umenielewa- Yeah to some extent, Kuna ofisa mmoja mstaafu wa TRA,alihojiwa (jina lilihifadhiwa) Kuhusu Psrs akasema eti kuwa wanaletewa Watu wenye uwezo mdogo Sana, hawajui Kazi, ufanisi mdogo that is to say ni Vilaza.
Swali tell us about yourself au ulikuwa unataka uulizwe nini mkuuLini uliulizwa swali kutoka ktk CV yako??? nijibu hili swali.
Alidanganya huyo alishindwa kumpenyeza mwanae ndo analialia. Mimi kuna vijana nawafahamu ni weupe ila kipindi hicho cha Jk walipenyezwa na ndugu zao.- Yeah to some extent, Kuna ofisa mmoja mstaafu wa TRA,alihojiwa (jina lilihifadhiwa) Kuhusu Psrs akasema eti kuwa wanaletewa Watu wenye uwezo mdogo Sana, hawajui Kazi, ufanisi mdogo that is to say ni Vilaza.
Hapo ananpagawisha MG, MG hana raha tena kufuatia ujio wa GL.Naona God bless Lema anafunguka vitu konki boda boda sio ajira ni laaana .
Kusajiri line sio ajira dadeki sijui tufanyeje sisi
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Kwa kada zetu hizi za teknolojia ndo balaa waulize walioingia kwenye hizo sailiLini uliulizwa swali kutoka ktk CV yako??? nijibu hili swali.