HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Kuna raia ananisumbua dm anasema wamemuandikia (new) kwenye kipengere cha placement kwenye app, nimekosa cha kumjib kuna mwenye same scenario.?????
 
Umejibu nilichokuuliza au unaendelea kulalamika?
 
Kuna raia ananisumbua dm anasema wamemuandikia (new) kwenye kipengere cha placement kwenye app, nimekosa cha kumjib kuna mwenye same scenario.?????
Ngoja nidownload app kwanza nione
 
Kanitumia hio mm sina app now so sifatilii tena izo vitu.
 
Hata mm nmeandikiwa hvyo[emoji2960][emoji2960][emoji2960]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…