Mbona hata mimi nimeandikiwa hivyo na sisubiri placement yeyote nilikandwa tra laba nitokee kwenye database.No placement available for you ahahaha
Uliomba post ganMbona hata mimi nimeandikiwa hivyo na sisubiri placement yeyote nilikandwa tra laba nitokee kwenye database.
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Mzee umepata kazi nini? Humu watu wanapenda sana kupeana amsha amsha.Kukosa kazi (kwa muda mrefu) kuna sababisha mtu kua mkali. Angalia hali ilivyo humu
tuma screenshot kaka.
Post ilikua na watu wangap na wamechukuliwa wangap
Tumuache tu IT afanye yake kutakua na vitu wanaweka sawa.
Tuliingia oral 59 walikua wanahitaji 26 na ndo walochukuliwa.Post ilikua na watu wangap na wamechukuliwa wangap
Inawezekana hiyo ni kama status kwa wale wanapangiwa kazi sasahv.Sema inacheza cheza
Mara uikute hyo new
Mara usiikute
Itakuwa ni wao wenyewe huko wamechanganyikiwa
Iko hivi ukifungua placement ikiwa ishatime out mda wa kukaa idle unapokua umelog in ndo anaonyesha new ila ikiwa active itaonyesha no placement found ko haina maana yoyote jaribuni kulog in muone kama iyo new itaonekana.Sema inacheza cheza
Mara uikute hyo new
Mara usiikute
Itakuwa ni wao wenyewe huko wamechanganyikiwa
Ukiiona hiyo new ujue hujalog in ndo maana utakapojaribu kufungua my application itakuomba credentials.Mm sioni tena hyo new
Mara nkiingia tena naiona
Sasa sielewi ndo nn[emoji3][emoji3][emoji3]
Anyway haya ni kutishana tu uhakika ni PDF
lkn uhakika zaidi ni pale umepokea barua na umeripot kwa muajiri...uhakika saaaana ni pale umepewa 1st installment ya asali
Sasa ile uhakika uhakika kabisa ni pale umetoka ATM kuchomoa mzigoMm sioni tena hyo new
Mara nkiingia tena naiona
Sasa sielewi ndo nn[emoji3][emoji3][emoji3]
Anyway haya ni kutishana tu uhakika ni PDF
lkn uhakika zaidi ni pale umepokea barua na umeripot kwa muajiri...uhakika saaaana ni pale umepewa 1st installment ya asali
Unawezeje kufika huko ukiwa hujalogin?mm hapa sija log in ndo iyo new inaonekanaView attachment 2539442
Ameotea[emoji3][emoji3]Unawezeje kufika huko ukiwa hujalogin?