Multi-skilled
JF-Expert Member
- Mar 1, 2023
- 1,119
- 4,156
tuwe na subira mkuu ila naona kama mwezi wa 7 hivi watakuwa wanasubiri fungu la bajeti lipite kwanza sina uhakika lakini hahahahaWatabiri wa PDF la MDAs na LGAs mkuje huku....
Safi sana umeelewa vizuri sana Ahsante pia kwa kujaziaNakuelewa sana poti, hili zoezi la usahili wangefanya ma hr sio mtu katoka huko hajui hata psychology ya candidate naye ni interviewer hii si sawa ukisha muuliza mtu written professional questions kilichobakia ni kuwa na series ya questions ambazo ni more brainstorming kumjua mtu kiundani, lakini mention this and that hapana aisee [emoji28]
Duh....ilo tangazo ni la mwaka wa bajeti 2022/2023...tuwe na subira mkuu ila naona kama mwezi wa 7 hivi watakuwa wanasubiri fungu la bajeti lipite kwanza sina uhakika lakini hahahaha
Aisee umenitisha sikuona neno watabiri dah[emoji23]Watabiri wa PDF la MDAs na LGAs mkuje huku....
Siku hizi ndio umechangamka balaaHuu uzi bado upoo
Mkuu unataka waulize maswali ya kukujua katika oral? Muhimu ni kuuliza maswali yanoweza kutoa uelewa wa kazi aliyoomba msaliliwa.Nakuelewa sana poti, hili zoezi la usahili wangefanya ma hr sio mtu katoka huko hajui hata psychology ya candidate naye ni interviewer hii si sawa ukisha muuliza mtu written professional questions kilichobakia ni kuwa na series ya questions ambazo ni more brainstorming kumjua mtu kiundani, lakini mention this and that hapana aisee [emoji28]
Aisee! Pole sana,tuombe mambo yawe mazuri huko kwenye PDF [emoji1787],ikiwezekana Kila aliyefikia hii oral ya MDAs na LGAs apate kazi.Binafsi Nina disability ya kusikia na miguu [emoji91],sijui kama PSRS watanikumbuka[emoji24][emoji24][emoji24]Aisee umenitisha sikuona neno watabiri dah[emoji23]
Duh mbn mim sioni chchteNo placement available for you ahahaha
Hivyo ni namna unavyoona wewe na vile ni namna ninavyoona mimi kila mtu yupo sahihi katika angle yake.Mkuu unataka waulize maswali ya kukujua katika oral? Muhimu ni kuuliza maswali yanoweza kutoa uelewa wa kazi aliyoomba msaliliwa.
Ukitafakari kwa undani, saili za utumishi ziko standard, na zime cover eneo lote linaloweza pima uwezo wa msailiwa katika kutimiza majukumu yake kulingana na kada husika.
Nakuelewa sana poti, hili zoezi la usahili wangefanya ma hr sio mtu katoka huko hajui hata psychology ya candidate naye ni interviewer hii si sawa ukisha muuliza mtu written professional questions kilichobakia ni kuwa na series ya questions ambazo ni more brainstorming kumjua mtu kiundani, lakini mention this and that hapana aisee [emoji28]
Nooo ni 2021/2022 Maana ilikuwa mwezi wa 5Duh....ilo tangazo ni la mwaka wa bajeti 2022/2023...
Pengine next time wakikuuliza kama una swali waulize hilo swali mbona mnatuonea Mkuu.MBona wa upande wetu maswala ya explain how ..... ni mengi kuliko hizo mention au sisi hao PSRS wanatuonea
itabidi niwaulize maana nasikia kuna raia wengine wanaambiwa wamention tuPengine next time wakikuuliza kama una swali waulize hilo swali mbona mnatuonea Mkuu.
Ata mm nilikutana na maswali 2 ya class pure, lakin mawili mengine yaliitaji uwe vizuri ku change materials ya darasani jinsi yatakavo tumika kwenye area uliomba kazi, na huwez kutoboa kama haupo fresh kichwani, utumish wapo vizur thatz y sometimes ata anaeongoza class akakosa kazi na ww ukapata japo kuwa wana base na maswali ya class.MBona wa upande wetu maswala ya explain how ..... ni mengi kuliko hizo mention au sisi hao PSRS wanatuonea
Itoshe kusema sekretarieti ya utumishi inatimiza majukumu yake kwa weledi na ustadi wa hali ya juu😊Ata mm nilikutana na maswali 2 ya class pure, lakin mawili mengine yaliitaji uwe vizuri ku change materials ya darasani jinsi yatakavo tumika kwenye area uliomba kazi, na huwez kutoboa kama haupo fresh kichwani, utumish wapo vizur thatz y sometimes ata anaeongoza class akakosa kazi na ww ukapata japo kuwa wana base na maswali ya class.
Mention aina tatu za weledi [emoji23]Itoshe kusema sekretarieti ya utumishi inatimiza majukumu yake kwa weledi na ustadi wa hali ya juu[emoji4]
Itoshe kusema sekretarieti ya utumishi inatimiza majukumu yake kwa weledi na ustadi wa hali ya juu[emoji4]