HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Itoshe kusema sekretarieti ya utumishi inatimiza majukumu yake kwa weledi na ustadi wa hali ya juu[emoji4]
Wanajitahi kiasi fulani kutenda haki tofauti na kipindi cha zamani ....ila kwenye kuita saili za oral natafakari sana Unahuitaji watu 180 unaita watu 700...Hii imeaje hapa watu lazima wajenge maswali uwiano haupo
 
Aisee! Pole sana,tuombe mambo yawe mazuri huko kwenye PDF [emoji1787],ikiwezekana Kila aliyefikia hii oral ya MDAs na LGAs apate kazi.Binafsi Nina disability ya kusikia na miguu [emoji91],sijui kama PSRS watanikumbuka[emoji24][emoji24][emoji24]
Kilichobaki n maombi tu Mungu atusaidie ktk hili.
 
Hivyo ni namna unavyoona wewe na vile ni namna ninavyoona mimi kila mtu yupo sahihi katika angle yake.

Lakini maswali yawe ni kupima mtu katika position yake anakwenda kuadd value gani "result oriented" la sivyo tutakuwa tuna mark time.
Ntakupa mifano miwili, kwa waliofanya oral HESLB, Loan officer II,
Moja ya swali waliloulizwa, lilikua ni kwa namna gani watahakikisha wanazuia migomo vyuoni toka kwa wanufaika wa mikopo.

T.M.O Waliulizwa, nini mamlaka ifanye kuhakikisha kuwa kodi inakusanywa to the maximu?

Huoni hizi ni aina ya result oriented qn?
 
Interview mpaka uwe na marking scheme ni interview hiyo? au test? Alafu unasoma kabisa ati 'mensheni fivu taips of ' unaangalia kwenye karatasi
 
Ukiona watu wanakuja na concern kuhusu ORAL za utumishi ujue kuna jambo. UTUMISHI sio wabaya hapana ila kuna vitu vinatakiwa kubadilika na kubwa ni hilo mfumo wa maswali ya kuwauliza candidates.

Maswali yanayopima how generally you understand your job ni muhimu sana sababu ndio kazi yenyewe.
 
Kwani maswali wanayotoa PSRS , hayapo objective?
 
Anataka utumishi waanze kiuliza,
-tell us what do you know about this Institution/corporate.
-tell us about your weaknesses and strenghts
Na maswali mengine kama hayo, amechoka maswali ya ku-mention hata kama yako objective.
🀣🀣🀣🀣🀣 lazima watu wachoke hakuna anaetamani kukutana na ile panel, ila maswali yangekuwa ayo ya subjective nani angeogopa saili za PSRS but pia wawo ingekua mtiani kutoa grade nani apate nani akose maswali yapo subjective.
 
Doooh kla sku knaibuka jipya
Leo sas kubwa ni maswali na aina ya usaili...

Mmeachana kabisa na PDF??[emoji3][emoji3][emoji3]
 
interview kuwa ngumu ina maana gani mzee
 
Hiyo TMO ya mwaka gani?
 
Anataka utumishi waanze kiuliza,
-tell us what do you know about this Institution/corporate.
-tell us about your weaknesses and strenghts
Na maswali mengine kama hayo, amechoka maswali ya ku-mention hata kama yako objective.
Swala ni moja tu waulize Maswali ya ORAL interview.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…