Mimi nashindwa kumwelewa, anashindwa kutofautisha kati ya msimamizi wa sera, msaidizi na fundi nchundo.Anataka utumishi waanze kiuliza,
-tell us what do you know about this Institution/corporate.
-tell us about your weaknesses and strenghts
Na maswali mengine kama hayo, amechoka maswali ya ku-mention hata kama yako objective.
Hapana, kila msailiwa aliulizwa maswali yake.Kumbe interview ile kila panel ilikuwa na maswali yake?
AiseeeeMimi nashindwa kumwelewa, anashindwa kutofautisha kati ya msimamizi wa sera, msaidizi na fundi nchundo.
Pia anashindwa kutofautisha kati ya Govt. na Private set up, pia kati ya profitable na Non-Profitable institution.
Pia anasahau kuwa kuna entry post na experienced post, tena haujui kuwa mtu wa degree ya kazi husika hashindwi kufanya hizo kazi.
Mwisho ni kwamba, hata kama sijafanya field ya kazi husika, lakini zile SOP nimezimeza na nikazishuka kulingana na maswali husika si natoboa interview.
That's makes two of us different au umebadilisha swali Mkuu?Hapana, kila msailiwa aliulizwa maswali yake.
Nimesema huko juu kuwa wengi mnaziona interview za Private sector kama ni common lakini msichojua ni kuwa kila jibu unalotoa linapima Knowledge, skills na abilities zako so ni same and common questions but never common answers.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] lazima watu wachoke hakuna anaetamani kukutana na ile panel, ila maswali yangekuwa ayo ya subjective nani angeogopa saili za PSRS but pia wawo ingekua mtiani kutoa grade nani apate nani akose maswali yapo subjective.
Wewe unaona hilo jibu sio sahihibkwa swali ulilouliza au unafikiri hili ni jibu tofauti na swali ulilouliza?That's makes two of us different au umebadilisha swali Mkuu?
Na ndipo interviewer anapo dig deep kumjua candidate sababu subjectivity ina muexpose mtu anakipi special.Nimesema huko juu kuwa wengi mnaziona interview za Private sector kama ni common lakini msichojua ni kuwa kila jibu unalotoa linapima Knowledge, skills na abilities zako so ni same and common questions but never common answers.
Mfano:
How do you become an expert on the products or services you are marketing?
Hilo swali hapo juu ni rahisi ila kwa sababu ni subjective majibu yake hayawezi kuwa sawa kwa kila candidate.
Narudia tena shida sio taasisi, shirika au kampuni shida ni kuwa ORAL interview inatakiwa ikupime wewe una uwezo gani, ujuzi gani na maarifa gani ya kufanya kazi husika mingine ni mifano tuMimi nashindwa kumwelewa, anashindwa kutofautisha kati ya msimamizi wa sera, msaidizi na fundi nchundo.
Pia anashindwa kutofautisha kati ya Govt. na Private set up, pia kati ya profitable na Non-Profitable institution.
Pia anasahau kuwa kuna entry post na experienced post, tena haujui kuwa mtu wa degree ya kazi husika hashindwi kufanya hizo kazi.
Mwisho ni kwamba, hata kama sijafanya field ya kazi husika, lakini zile SOP nimezimeza na nikazishuka kulingana na maswali husika si natoboa interview.
Rafiki yangu labda kama ni interview za art sijajua fresh pande io ila za science itakubid u link na materials ya darasan you cant escpae to be objective.Nimesema huko juu kuwa wengi mnaziona interview za Private sector kama ni common lakini msichojua ni kuwa kila jibu unalotoa linapima Knowledge, skills na abilities zako so ni same and common questions but never common answers.
Mfano:
How do you become an expert on the products or services you are marketing?
Hilo swali hapo juu ni rahisi ila kwa sababu ni subjective majibu yake hayawezi kuwa sawa kwa kila candidate.
Exactlyy 100%Na ndipo interviewer anapo dig deep kumjua candidate sababu subjectivity ina muexpose mtu anakipi special.
Mkuu acha nipumzike naona mbombo ngafu...Wewe unaona hilo jibu sio sahihibkwa swali ulilouliza au unafikiri hili ni jibu tofauti na swali ulilouliza?
Hakuna ART wala SCIENCE kwenye oralRafiki yangu labda kama ni interview za art sijajua fresh pande io ila za science itakubid u link na materials ya darasan you cant escpae to be objective.
Karibu tena.Mkuu acha nipumzike naona mbombo ngafu...
Kama wewe ni engineer jipime sasa hapoHakuna ART wala SCIENCE kwenye oral
Angalia standard maswali ya engineer world wideView attachment 2539793
Amen aisee...Kilichobaki n maombi tu Mungu atusaidie ktk hili.
vp training bado hawajaitwa?Hiyo pdf iliyotoka hapo valentine day
We bado hujapigiwa simu?vp training bado hawajaitwa?
Ndio kwani tayari washapigiwaWe bado hujapigiwa simu?
Usijione mwamba nimeona umetight screw za ufahamu.Karibu tena.
bado simu yangu inazingua vp wamepigiwa naomba niambie?We bado hujapigiwa simu?