HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Acha hao waongee tu Miongoni mwa Maswali ya TMO lilikuwepo Swali la TIN na Benefits zake (Ss sijui wao wanataka Maswali gani ndy wajue wanapima uelewa wa Mtu)
 
Pia haya maswali mengi hayafai kuuliza mchanganyiko wa entry graduate na wenye experience haya maswali pia yanatumika sana kwa private sectors sana, na unavojiandaa na private sectors hujiandai sawa na utumish naomba tusichanganye mambo.
Ndio maaaa tunakwambia Utumishi changamoto yao ni hayo maswali. Lengo la ORAL interview nikumpima candidate mfano ni vile wanavyofanya private sector sio kwamba utumishi wafanye kama private BALI waulize maswali subjective kama ORAL interview inavyotaka.

Wewe kaa na Utumishi wako muendelee kubandika (cramming) na kubandua plus madesa kibao kwenye begi lakini ujue hiyo sio ORAL interview.
 
We unajibia maswali kwenye keyboard unaona rahisi sana, Maswali haya yanahitaji uwe unajua na uwe na logical reasoning na on top of that ni subjective in nature sio yale ya kwenu ya ku-LIST.

Pili unaweza kuwa sahihi kuwa unaweza kuyafanya ila hatupo hapa kuonyeshana yapi ni maswali magumu na mapesi HAPANA. Ila tunaeleweshana how ORAL interview should be and why.
 
unafahamu aina oral interview?????
 
unafahamu aina za oral interview?????
 


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…