HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
PDF la database tuwadai tusikubali kudanganywa hivi
wewe unatakiwa ujiulize lini utumishi walitangaza ajira kwenye kitengo chao...
utapata jibu au lisome vinzuri hilo tangazo la kazi waliopangiwa wamesema nov/dec to 4january 2023 wanamaanisha nn
 
Si kuna wanaoitwa Agro-Economy??
Na wengine Agro-Business kabisa au hatuelewi tunapotezwa na majina hayo?
Naomba kutoa ufafanuzi kwa kadri ninavyoelewa.
SUA kuna degree programmes za kilimo kama vile;
1. Agronomy, hawa ni wataalam wa udongo nk.
2. Horticulture, wataalam wa mboga mboga, matunda, maua nk.
3. Forest, wataalam wa misitu hawa.
4. Agribusiness and Agriculture economics(AEA). Watu wa kilimo biashara na uchumi wa kilimo.
5. Agriculture engineering.
6. Irrigation and water resources engineering.
Nk nk nk....
 
wewe unatakiwa ujiulize lini utumishi walitangaza ajira kwenye kitengo chao...
utapata jibu au lisome vinzuri hilo tangazo la kazi waliopangiwa wamesema nov/dec to 4january 2023 wanamaanisha nn
Sijakuelewa
 
Sijakuelewa
Soma tangazo lao hapo [emoji116] hao hawajawai kuita interview ila wamepangiwa...sasa tunauliza data base wakati tunaona wanatoa kidogo kidogo?swali la kujiuliza wanamaana gan wanasema waliofanya usaili nov/december na jan 4 wakati hawajawai ita tangazo lao+ watu Data base wanamaanisha nini?
 
wewe unatakiwa ujiulize lini utumishi walitangaza ajira kwenye kitengo chao...
utapata jibu au lisome vinzuri hilo tangazo la kazi waliopangiwa wamesema nov/dec to 4january 2023 wanamaanisha nn
Kwa maana hiyo wewe kama ulipiga interview hizo tarehe na haujatokea kwenye hyo PDF ndo kusema Baba jeni bye byeeeee???

Au kuna maana nyingne
 
Wa January nne washaitwa ni it technician na programmer wa tra ambao hawakuitwa nadhani

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Wa January nne washaitwa ni it technician na programmer wa tra ambao hawakuitwa nadhani

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
programmer wa wa tra wamelamba asali tamu Utumish...kwa mwendo huo soon TRA wataita watu wengine kazini kama wanaenda kwa mtiririko huo wanaonyesha.....
 
Asante sana sote tutapata, tuwe na subira muda unakuja
Mungu ni Mwema kila wakati,tusikate tamaa wala tusiogope,ukawe mtumishi mwema maana Bwana umemfurahisha machoni pake na amekuteua wewe miongoni mwa kondoo wake,ukiona tunalalamika sana usitukufuru kwa vile tu hata shetani mwanzo alikuwa malaika mtiifu wa Bwana.

Lakini tunapofadhaika pia hatutaacha kuwakumbusha utumishi kuboresha utendaji wao maana sehemu yenye shida ni hapo kwenye placement na uhalisia wa uwepo wa kanzidata..vingine hatuna shida maana bila kusoma utumishi hata uwe una gpa ya 4 ila kama hupitii vya darasani yena kwa userious hutoboi.
 
Hao nambari nne kwenye miundo ya utumishi wa umma wanakubarika kama WACHUMI DARAJA II
 
Hii ya kutoka kwenye database nmeanza kuamin kwel wanachukua nmeangalia majina ya technician II kwenye tangazo la calling for interview TRA yapo hongeren Sanaa mliobahatika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…