YaWanaitisha sahili kulinda maslahi yao , wazee wa per Diem hao πππππ, wachomoe Data bezi [wasiitishw usahili si inakuwa against na matumbo yao mkuu ? QUOTE="_saul, post: 45567052, member: 699906"]
Hili tangazo dah mbona ICT wamefanya usahili juz Tu hivyo kwenye database wapo kibao hata hao medicine, statistics and political science si walifanyisha muhas, mda na nyingine jaman.
Mbona wanatangaza wakat database Wana watu na wanakinzana na kanuni zao

Hadi lini???Muwe na subira wakuu
Wamekusikia ndugu, naamini wanaendelea kufanyia kazi.Website ya utumishi saa hivi tumekuwa tukiitembelea kila wakati kama mie hapa kila baada ya dakika tatu naenda kuangalia pale kwenye placement.
psrs mtatuuwa tuko chini ya miguu yenu hemu toeni hayo majina ya placement kuanzia November hadi february , pamoja na ule mpidiefu wetu pendwa wa data base tujue moja mnatutesa sana na stress[emoji24]
La wp?kunatangazo la kazi waliliweka wakaliondoa chaap
Mzee tulia ,utapata pressure bure .Mwachie Mungu....ila Utumishi (PSRS)popote mlipo ,msiniache kijana wenu.Huko private sector na disability niliyonayo ya kusikia na miguu hawanitaki...macho yote yamebaki kwenu.Hvi kama ukipata placement..uko kwenye my application (account) yako..huwa panandikaje??.msaada
Aisee!Je,wanapataga kwenye placement?Yes wapo, hata humu zimetumwa sana screenshots
Ukirudi nyuma nilituma pdf yake leoLa wp?
Mkuu ukishakua na NOT basi hiyo ni bye bye baba jeni...hujafikisha 50% ya oral.Aisee!Je,wanapataga kwenye placement?
Mhhhhhh....Mkuu ukishakua na NOT basi hiyo ni bye bye baba jeni...hujafikisha 50% ya oral.
YaWanaitisha sahili kulinda maslahi yao , wazee wa per Diem hao πππππ, wachomoe Data bezi [wasiitishw usahili si inakuwa against na matumbo yao mkuu ? QUOTE="_saul, post: 45567052, member: 699906"]
Hili tangazo dah mbona ICT wamefanya usahili juz Tu hivyo kwenye database wapo kibao hata hao medicine, statistics and political science si walifanyisha muhas, mda na nyingine jaman.
Mbona wanatangaza wakat database Wana watu na wanakinzana na kanuni zao
YaWanaitisha sahili kulinda maslahi yao , wazee wa per Diem hao πππππ, wachomoe Data bezi [wasiitishw usahili si inakuwa against na matumbo yao mkuu ? QUOTE="_saul, post: 45567052, member: 699906"]
Hili tangazo dah mbona ICT wamefanya usahili juz Tu hivyo kwenye database wapo kibao hata hao medicine, statistics and political science si walifanyisha muhas, mda na nyingine jaman.
Mbona wanatangaza wakat database Wana watu na wanakinzana na kanuni zao
Subira ya nyokoMuwe na subira wakuu
Sekretarieti ya AjiraWamekusikia ndugu, naamini wanaendelea kufanyia kazi.
YaWanaitisha sahili kulinda maslahi yao , wazee wa per Diem hao πππππ, wachomoe Data bezi [wasiitishw usahili si inakuwa against na matumbo yao mkuu ? QUOTE="_saul, post: 45567052, member: 699906"]
Hili tangazo dah mbona ICT wamefanya usahili juz Tu hivyo kwenye database wapo kibao hata hao medicine, statistics and political science si walifanyisha muhas, mda na nyingine jaman.
Mbona wanatangaza wakat database Wana watu na wanakinzana na kanuni zao
Hatari sanaMkuu ukishakua na NOT basi hiyo ni bye bye baba jeni...hujafikisha 50% ya oral.
Hamna mpya....hakuna cha database wala cha nini zaidi ya vimikeka vya mchongo vya kb 30....nchi yangu inahitaji uvumilivu wa hali ya juu....tuendlee na mapambno ya maishaKumekucha