Umeshapata job ya Utumishi wa Umma mkuu?Yaan natamani sana, ila nkitoka asubuhi ndo mpaka usiku narudi tu nalala
Mkuu wewe ni lijendi tuliyehaso pamoja kutika ukandwaji, umepata job wapi mkuu?Oooh kumbe mkuu..
Ila zinaonesha Huwa na mchakato mkubwa sana eti..
Mheshimiwa, umeshapata mrija wa asali tufurahi pamoja?Usaili wa PSRS unaitaji mtu awe vizuli sana kuchanganua mambo, ufikiri haraka na uwe na majibu sahihi zile 5 point kwa maswali ma 4 kama ni IQ na kupima ufanisi wa akili ya msailiwa mi naona wamefanikiwa, ku handle pressure ya yale maswali sio pouwa, naona kama vile nili experience interview moja nzito sana nilizo fanya compared na za private sectors nilizofanya i was very comfortable in sail za private sectors.
Mkuu inaonesha unaingiaga kwa kuvizia humu,,, So mambo mengi yanakupita. Actually watu wengi wamelamba Asali humu kupitia mikeka ilivyotoka katikati na mwishoni mwa Ferbuary.Mkuu wewe ni lijendi tuliyehaso pamoja kutika ukandwaji, umepata job wapi mkuu?
[emoji55][emoji55][emoji55][emoji55]Mkeka utauona wa mchongo kwa kua jina lako halipo,ila likiwepo utauona ni wa maana sana hata iwe 1kb[emoji23]
Labda kama you don't care about ur fellows!Mkeka utauona wa mchongo kwa kua jina lako halipo,ila likiwepo utauona ni wa maana sana hata iwe 1kb[emoji23]
Bado wanasubiri Kibali cha wale 176 waende sambambaMrejesho Waliopangiwa TRA wameshaaza training au bado
Duh,nadhan tumeongea lugha mbili tofaut hapoLabda kama you don't care about ur fellows!
But if you care kwa kumaanisha..kufuata barua utafuata na asali utalamba kama kawaida ila still utakwa unauona ubabaishaji unaoendelea
Yaaan sema kwa ujumla kibongobongo mtu akishapata ulaji wa yeye mwenyewe.....akajihakikishia kwamba yy na jamaa wake wa karibu mrija wa asali unalambwa kwa kiasi chake ndo atawaza about others na wala hutaona anajihusisha kwenye mapambano ya wenzake wapate...ndo maana unaona sasa hv kuna mjadala mzito kuhusu bodaboda...wapo wanaosema ni kazi kama kazi zngne ingawahe watoto wao hata hawawezi thubutu hata kuifanya...
Na wapo wanaosema ni kazi ya laaana ambao wanajaribu kufumbua watu macho kwamba ni kazi sawa but wapo walosababisha hadi ionekane ni kazi licha ya changamoto zake lukuki...
Kwa hyo nachotaka kusema hapa ni kwamba.....kuonekana kwenye PDF hakumfanyi mtu kutokuaddress na kuendelea kuona yanayoendelea kule ndani kama ni.... au basi ngoja niishie hapa
Mrejesho Waliopangiwa TRA wameshaaza training au bado
unamaana gan...zanzibar au bara wanatakiwa waongezeBado wanasubiri Kibali cha wale 176 waende sambamba
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Hizi 176 ni zipi mkuu? Au kuna ajira mpya 176 zitatangazwa za TRA?Bado wanasubiri Kibali cha wale 176 waende sambamba
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
wamefungua office nying sijui kama watatosha haoSio kawaida nahisi kuna vitu watakuwa wana sort out.
Pale kulikuwa na watu wa data base ila ndo hivyo tamko liliwai kutoka kabla ya wao hawajarusha jiwe hewaniHizi 176 ni zipi mkuu? Au kuna ajira mpya 176 zitatangazwa za TRA?
Hizi 176 ni zipi mkuu? Au kuna ajira mpya 176 zitatangazwa za TRA?
inamaana waziri hajakaa na management yake mpaka anaongea vile...vyombo vya habari kavilipa yeye kutangaza inshu hiyo!!!!tusitete ujinga ungesema yupo jukwaa la siasa anaongea hy habar hapo sawaTamko la database lilitolewa na mwanasiasa ambae siyo Mtendaji mkuu wa utumishi lakini lawama mnapeleka kwa utumishi. Navyojua mimi katibu mkuu ndo Mtendaji mkuu, kama angetoa yeye tamko nadhani mngekuwa na nguvu ya kulaumu