Rejea maneno ya waziri wako alisema mkeka wa database unatoka lini vile 😂Kama taasisi zimetuma mahitaji basi tusubiri utaratibu kutoka utumishi.
Kama watatutoa tuliopo database itakua bora zaidi.
Subira muhimu katika haya mambo.
SawaAlafu mtu anakwambia database haipo hatutaki kuelewa sisi tunasubiria database hata Kama mwez wa 2 umeisha
Tuko pamoja sana mkuu. Huu uzi una historia ya pekee sana.M
Mkuu inaonesha unaingiaga kwa kuvizia humu,,, So mambo mengi yanakupita. Actually watu wengi wamelamba Asali humu kupitia mikeka ilivyotoka katikati na mwishoni mwa Ferbuary.
Watu wamelamba Asali TRA, TARI, ASA, NIRC, PSRS, Wizara ya kilimo na taasisi kibao tu.
Na wengi wao washakimbia humu kwa kuwa washatimiza kile walikuwa wanakihitaji Ila si wengine tupo kwa kuwa tushafanya JF ni sehemu ya Maisha yetu hata kama majukumu yakitamalaki huko Job but hatutoshindwa kuingia humu mara mojamoja
Kwann isimhusu sasa kwan yeye hafanyag?Sawa
NB:hiyo post ya kumfikisha mtu kilele haisuiani na waziri[emoji39]
Mkuu umejuaje uko database?Kama taasisi zimetuma mahitaji basi tusubiri utaratibu kutoka utumishi.
Kama watatutoa tuliopo database itakua bora zaidi.
Subira muhimu katika haya mambo.
Huenda App unayotumia ila tatizo, tumia browser au App ya Browser version hutapata hilo tatizoHv naomba mnisaidie nkiclick attachment kwe jamii forum haifungukagi...napelekwa kule kwenye general forums...sjui madude dude yale ya home yaaan nashindwa kufungua hyo...nafanyeje sasa nikipelekwa huko?
Alisema February wanatarajia kuchukua vijana 1,769 na kuwapangia majukumu mbali mbali so yupo sahihi kama wamechukua February wanaweza kuwa wanagawanya kidogo kidogo.We Mzee unataka kusema u
Rejea maneno ya waziri wako alisema mkeka wa database unatoka lini vile [emoji23]
Yule mzee alikuwa kichomi hashauriki, haelekezeki..shida tupuuu.Hv mtangulizi wake kwann alivurugua michakato yote ya ajira??
Yaaaan aliparaganyisha system nzma mpaka hivi sasa mtu anatafuta mwaka wa 8+ bila kueleweka hatma yake baada ya masomo ya juu
Na watu walichukulia kawaida
usiku wa leo kama sio kesho kabla ya saa nane kuna pdf ya november be prepared.Yule mzee alikuwa kichomi hashauriki, haelekezeki..shida tupuuu.
Tawileeeusiku wa leo kama sio kesho kabla ya saa nane kuna pdf ya november be prepared.
Atuone sisi tunaliobakiza tumaini la database...kweli huyu maza ni muelewa, halafu mimi sawadogo ni mtu wa manyoni. hawa watu wa pwani ni watu waliojaa huruma sana na leo kakiri kuwa jukwaa la JF analipitiaga sana. jk nk suala la fursa za ajira kwao ni nje njee
Hawa jamaa hawajui tu kuwa wanatupa stress SanaAtuone sisi tunaliobakiza tumaini la database...
Nan huyo tumpe tuzoKwanini utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini
Aliyewaza hili swali, sidhani kama alitegemea huu uzi ungefika hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kikubwa dua hipo siku utalamba asali ajira ngumu kutokana na hali ya dunia uchumi kushuka na vita ya UkraineHamna mpya....hakuna cha database wala cha nini zaidi ya vimikeka vya mchongo vya kb 30....nchi yangu inahitaji uvumilivu wa hali ya juu....tuendlee na mapambno ya maisha
Basi tu nahisi Imani ndani ya moyo inaniambia hivyo.!Mkuu umejuaje uko database?
Alisema February wanatarajia kuchukua vijana 1,769 na kuwapangia majukumu mbali mbali so yupo sahihi kama wamechukua February wanaweza kuwa wanagawanya kidogo kidogo.
Training nadhan next week.Mrejesho Waliopangiwa TRA wameshaaza training au bado
Alikufa kwa stress za kusubiria placement[emoji23]Nan huyo tumpe tuzo