mazaga one
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 2,603
- 4,190
Tushavuta sana kakaSubira sheikh yahtajika
Naomba niongezee kidogo hapa, takwimu zinasema, vijana takribani milioni 1 huhitimu mafunzo mbalimbali kwa mwaka. Kati ya hao, vijana 40000 hupata ajira serikalini na vijana 350000 hupata ajira katika sekta binafsi. Hivyo soko la ajira lina ushindani mkubwa sana.Very fact.!
Nadhan hili swali ungewauliza PSRS ingependeza zaidi mkuuKwa hiyo ukiajiriwa TRA ndio unakuwa na IQ kubwa?
Fact.Kuhusu SUA, hao ni graduates wa MUccobs, Kwa sabbu Kuna kipindi MUccobs ilikuwa chuo kikuu kishiriki Cha SUA, na vyeti vikawa vinatolewa Kwa jina la SUA,
huna uwakika kama next weekTraining nadhan next week.
-kufanya Kazi TRA haimaanishi huwezi kuwa kilaza/ kiazi hiyo ni bahati tu, BTW Mimi nimesoma UoN university of Nairobi sijasoma kwenye institutes.Nadhan hili swali ungewauliza PSRS ingependeza zaidi mkuu
Bado ni fumbo tuuuhuna uwakika kama next week
Hii haina uhusiano wowote na kufaulu usaili labda tuu uwe umeamua kubeza watu wenye GPA kubwa.Takwimu zinaonyesha wenye GPA kubwa Huwa wanakula sana ndoige hawapatagi mchongo mapema na wanakula sana ndoige kwenye sahili
Tangazo huwa linatoka siku ya J4 ili jumamosi na j2 ni usajiri na j3 kuanza training TRATraining kwa watu wa TRA imeanza???
Mambo haya ya kutambiana umesomea wapi yalishapitwa na wakati. Una uhakika gani kama na yeye anasaga rumba? Una uhakika gani ni graduate wa UDSM na sio vyuo vingine?Wat tumesoma uko uko na sa hv ni employees wa TRA we wa udsm Bado unasaga rumba hahah
Aisee kwaiyo jamaa wategemee jumanne ya wiki ijayo
soma mwaka hapo chiniAisee kwaiyo jamaa wategemee jumanne ya wiki ijayo
Duh kumbe ni 2019... mwaka huu wameambiwa wakae na simu karibusoma mwaka hapo chini
Kwani wakitoa Tangazo utumishi kunashida gani la kuripoti kutuo cha kazi kuliko kupiga simu mwisho wa siku lawama au IT hapo utumishi kufanya update kwenye application zao nayo ni ngumu...Tz tupo nyuma sana kidigitaliDuh kumbe ni 2019... mwaka huu wameambiwa wakae na simu karibu
Yaaan na ni tango kweli kwel mzee
Wee ongeza 28 za kutosha hapo walau mpaka wa 6 hivi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Tushavuta sana kaka
28/11/2022
28/12/2022
28/01/2023
23/02/2023
09/03/2023.......................
Noma sana,kama kijeshi tumeshaiva,Sifa uvumilivu Waziii !.....
Na uvumilivu unatamani kujua kama upo au haupo basi!!!!