daniel enocy
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 380
- 413
Apo mkuu haieleweki ila hata mimi hili wazo la kupiga simu naona halijakaa freshKwani wakitoa Tangazo utumishi kunashida gani la kuripoti kutuo cha kazi kuliko kupiga simu mwisho wa siku lawama au IT hapo utumishi kufanya update kwenye application zao nayo ni ngumu...Tz tupo nyuma sana kidigitali
Subra tu Cha muhimApo mkuu haieleweki ila hata mimi hili wazo la kupiga simu naona halijakaa fresh
Vijana asali hii apa, Sema mpaka uipate,
Oy, Jombaa nilitaka maongez kidogo na wew nakupataje aseeUko kada gani mkuu?
NI BORA WAKATOA PLACEMENTS TUJUE KAMA UMEPATA HATA KWA MIEZI SITA NI RAHISI KUVUMILIA KUSUBIRIA ISHU NI WASEME UKWELI, KUSUBIRIA MATOKEO MDA MREFU NI NGUMU ASEE INATESATRA ratiba yao haikuwa tayari kupokea wafanyakazi kazi wengne toka tunafanya written ratiba yao yakuita watu kazini ilikuwa mwezi wa sita na walikuwa waongeze idadi kidogo lkn mambo yaliharibika mama alipoingilia kati hawakuwa wamejiandaa ndio maana ikabidi warudishe watu hadi maandalizi yakae sawa lk kinachohitajika ni uvumilivu huo wa mda usiojulikana
Yan kwa utumishi kama haufaulu saili zao we unahesabika ni kilaza tu hata kama umesoma Harvard alaf chuo akimfanyi mtu awe competent, being competent it's just the matter of your own intelligence.-kufanya Kazi TRA haimaanishi huwezi kuwa kilaza/ kiazi hiyo ni bahati tu, BTW Mimi nimesoma UoN university of Nairobi sijasoma kwenye institutes.
La November hilo na December, nafikiri ni moja ndo kati ya lile linapigiwa kelele, shuhuda hapa.Hutu tu pdf tunasikitisha sana
sawa afsaLa November hilo na December, nafikiri ni moja ndo kati ya lile linapigiwa kelele, shuhuda hapa.
kaleo kamependeza kiasi kamechukua tutaasisi twingi kidogo.Hutu tu pdf tunasikitisha sana
Wewe unasema hivo, kuna mdau humu kila katika mada ikitajwa TRA, lazima aibuke kuulizia kuhusu kupigiwa simu. Kwake yeye nafikiri anahisia tofauti.NI BORA WAKATOA PLACEMENTS TUJUE KAMA UMEPATA HATA KWA MIEZI SITA NI RAHISI KUVUMILIA KUSUBIRIA ISHU NI WASEME UKWELI, KUSUBIRIA MATOKEO MDA MREFU NI NGUMU ASEE INATESA
Kwann tena mkuu? Wewe haukufanya mojawapo ya hizo taasisi?Hutu tu pdf tunasikitisha sana