Armstrongs
Member
- Sep 8, 2022
- 54
- 281
Hongera sana mkuu,umepata kazi lini?Guys nimepata Kazi...mimi Ndio muanzilishi wa huu Uzi sema Account ilipigwa BAN.
Ila tuendeleee kupambana.
Nimepata kaz bila connection.
Japo nilikandwa Taasisi kama 5 uko Nyuma.
Sikutegemeea kupata kazi.
Ila tupambaneni wadau Mungu Ni Wetu Sote.
ASEEEEEEEE KONGOLE SANA MWAMBAGuys nimepata Kazi...mimi Ndio muanzilishi wa huu Uzi sema Account ilipigwa BAN.
Ila tuendeleee kupambana.
Nimepata kaz bila connection.
Japo nilikandwa Taasisi kama 5 uko Nyuma.
Sikutegemeea kupata kazi.
Ila tupambaneni wadau Mungu Ni Wetu Sote.
Mkuu nikifuata Barua nitakuja kwa kutuliiia...Hongera sana mkuu,umepata kazi lini?
Mbona umeandika kifup sana jamn[emoji3061]
Em tusmlie kiref,legend mwenye uz wake
- nani kakudanganya maswali yale manne/ matano Ndio kipimo Cha U-Genius?Yan kwa utumishi kama haufaulu saili zao we unahesabika ni kilaza tu hata kama umesoma Harvard alaf chuo akimfanyi mtu awe competent, being competent it's just the matter of your own intelligence.
SawaMkuu nikifuata Barua nitakuja kwa kutuliiia...
Nieleeeze kila kituu. Humuu.
Maana huu Uzi bado haujamaliza Mwaka ila ushuhuda watu wametooa wengi sana.
Mimi naye nimebahatikaa kupata..
Kikubwa tupambaneee
We umesomea WAP bhana tuache kuchungunguza Mara we wa IFM kikubwa tuombe Mungu tu tupate kaz- nani kakudanganya maswali yale manne/ matano Ndio kipimo Cha U-Genius?
-kwa hiyo wewe wa IFM unajilinganisha na wa Harvard,? Vigezo vya kujiunga IFM division hadi Three, Harvard je?
Aisee watu wachache sana,nimeona Wahasibu nilisoma nao wamelamba asali!.Dah database inatema kama choo cha mbuzi noma sana
Acheni huu upuuzi wa kuringishiana vyuo mlivyosoma, Kuna watu tumesoma vyuo vyenye profile kubwa bongo lakin tukienda utumishi tunakandwa! profile ya chuo na kufaulu interview za utumishi ni vitu viwili tofauti! By the way, kusoma chuo chenye profile kubwa sio kipimo Cha kuwa wew ni intellect sana kuzid hao waliosoma hivyo vyuo unavyoviona kama ni low class! Yamkini! pepa tu la form six lilikuja upande wako ukapata nafasi ya kwenda hicho chuo, au ulibebwa tu na GPA ya kupewa toka diploma! Let's stop this nonsense and pray to God that we get the chance to enjoy the national cake, Period!- nani kakudanganya maswali yale manne/ matano Ndio kipimo Cha U-Genius?
-kwa hiyo wewe wa IFM unajilinganisha na wa Harvard,? Vigezo vya kujiunga IFM division hadi Three, Harvard je?
Jaman kwenye kipengele cha INORGANIC LAB SCIENTIST walihtajika wakemia wanne...ila hapo ni kama wametoa majina mawili na majina hayo yapo mwisho mwisho...hao wawili watakuwa wapi????Placement ya NIT ARU OUT
Kwa kweli ni yenyeweLa November hilo na December, nafikiri ni moja ndo kati ya lile linapigiwa kelele, shuhuda hapa.
NdoigeJaman kwenye kipengele cha INORGANIC LAB SCIENTIST walihtajika wakemia wanne...ila hapo ni kama wametoa majina mawili na majina hayo yapo mwisho mwisho...hao wawili watakuwa wapi????
Hawajafikia minimum pass mark zinazotakiwa, hawajafaulu.Jaman kwenye kipengele cha INORGANIC LAB SCIENTIST walihtajika wakemia wanne...ila hapo ni kama wametoa majina mawili na majina hayo yapo mwisho mwisho...hao wawili watakuwa wapi????
Pole sana mkuu, tuzidi kujipanga vema zaidi.Kwa kweli ni yenyewe
Wakuu sjatoboa[emoji3063][emoji3063][emoji3063][emoji3063][emoji3063]
Waliopata hongereni sana
Mkawe watumishi wazuri
Pole kkKwa kweli ni yenyewe
Wakuu sjatoboa[emoji3063][emoji3063][emoji3063][emoji3063][emoji3063]
Waliopata hongereni sana
Mkawe watumishi wazuri
Hahahahah Jamani Nina jambo nitawarudia ndugu Zangu.Nawapenda sana sana🥰👏🙏🔥🔥mazaga one my friend zimebaki ngapi,tupe update
Hongera Sana na asante kwa kuanzisha uzi huu hakika umeleta impact kubwa sana vijana wenzako Mungu akubarikiGuys nimepata Kazi...mimi Ndio muanzilishi wa huu Uzi sema Account ilipigwa BAN.
Ila tuendeleee kupambana.
Nimepata kaz bila connection.
Japo nilikandwa Taasisi kama 5 uko Nyuma.
Sikutegemeea kupata kazi.
Ila tupambaneni wadau Mungu Ni Wetu Sote.